Mdundo wa Baraka na Alikiba nisamehe ulivyokuwa unatengenezwa studio

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 195

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 8 ปีที่แล้ว +14

    Unaweza kuwa msanii mkali mwnyw vocal ya uhakika bila kutoboa pua, masikio na wala kuchora tattoo. That is my KING hongeren kwa kazi nzuri PRINCE & KING

    • @phatmahamisi4982
      @phatmahamisi4982 8 ปีที่แล้ว +3

      Hassan Kayla humeonaeeee amna shobo wala maringi mtu mmoja safi sana simple boy Mola atuifadhie king wa bongo

    • @jumaahamadi1499
      @jumaahamadi1499 6 ปีที่แล้ว +3

      Ali anatisha sana

  • @qwaraypaschal3704
    @qwaraypaschal3704 6 ปีที่แล้ว +64

    Kama unaikubali sauti yake kiba gongs 👍

  • @calskim4173
    @calskim4173 5 ปีที่แล้ว +3

    Mic u dinna long time hatujakuckia on Air come back....Af Barak uliua brand yako mwenyew ona apo ulivyokua Hot #king Kiba 2020 🔥🔥

  • @farajiissa560
    @farajiissa560 ปีที่แล้ว +1

    Baraka mungu anakuona omba msamaha kaka unakosea mkuuu bt nampenda huyu kazi zenu

  • @ayanseef4433
    @ayanseef4433 7 ปีที่แล้ว +9

    genius alikiba dadek wallah nikiwa studio nikiiba hiko ka daftar nikaimbe mie

  • @isihakamtaalam2099
    @isihakamtaalam2099 6 ปีที่แล้ว +2

    Kaka king kiba waweza sana big up sana mmetisha kweli pamoja na baraka.

  • @fgfshrhvds9988
    @fgfshrhvds9988 8 ปีที่แล้ว +8

    Shally mzee.
    Good job guyz, much love frm kenya.Love u guyz.

  • @japhngamba1558
    @japhngamba1558 8 ปีที่แล้ว +6

    Let them blessed.Wanastahili kuwepo walipo.Hongera Kingkiba and Da Prince.

  • @laineedianawebb1050
    @laineedianawebb1050 8 ปีที่แล้ว +7

    Wow....well done guys...👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾👍🏾

  • @phatmahamisi4982
    @phatmahamisi4982 8 ปีที่แล้ว +9

    mm napenda vile Ali na baraka wanavyo pendana na kuekeana heahima big up guys

  • @calskim4173
    @calskim4173 5 ปีที่แล้ว +2

    Ommy Dimpoz we love you bro apo ilikua before hujaumwa aise ulikua shavu sana kaka 😅✌🏽✌🏽

  • @idrisjafar37
    @idrisjafar37 2 ปีที่แล้ว +3

    This Guy got vocals bana🤔😎📣📣📣📣🔥🔥🔥🔥

  • @kidotimuu3270
    @kidotimuu3270 8 ปีที่แล้ว +4

    shikamoo king kiba....shikamooo prince crown... kwel mnapambana mziki mnono unatoka kwenu

  • @fijiboy3859
    @fijiboy3859 8 ปีที่แล้ว +2

    Doha-Qatar...thumb-up for u somooo.....

  • @jadenraphael1982
    @jadenraphael1982 3 ปีที่แล้ว +3

    This guy is the best one for really oh my God

  • @sayosmartboy272
    @sayosmartboy272 8 ปีที่แล้ว +4

    Watu wengneeee buanaaa yaaaani wanajiandkia kile kinacho kuja kwenye ubongo pspo kuanglia kma kinafaa su akifaii mngejua taabu za voice room msingeongeaaa ujinga Shikamoooo KIBG MAAANA SIO KWA VOCO IZO

  • @segesesayi104
    @segesesayi104 8 ปีที่แล้ว +13

    Umemaliza? finitoo ! Nimecheka sana hii 😂😂😂😂😂

    • @bessab4073
      @bessab4073 6 ปีที่แล้ว +1

      Segese Sayi the same to me😂😂😂

    • @daysunclassic3834
      @daysunclassic3834 5 ปีที่แล้ว +1

      Daaah!! aisee finitooo!! Kali ya mwaka. Wahuni sio watu wazuri😁😁😁

  • @ulafim2719
    @ulafim2719 8 ปีที่แล้ว +17

    SHIKAMOOOO KING KIBAAAAAA

  • @fijiboy3859
    @fijiboy3859 8 ปีที่แล้ว +3

    somooooo achaga ma-boya watokwe na povu....umechapa na imelala papeleeee...😂😂😂😂

  • @halid494
    @halid494 8 ปีที่แล้ว +10

    Namkubali sana Ali

  • @mafurudonald5986
    @mafurudonald5986 5 ปีที่แล้ว +15

    Kama unamkubali kingi kiba gonga like kama zote ili twende sawa

  • @elia5475
    @elia5475 2 ปีที่แล้ว

    sana braza na kuku sana kazi yako

  • @feiswalabdulrahmanaliabdul6677
    @feiswalabdulrahmanaliabdul6677 8 ปีที่แล้ว +24

    kiukweli huyu jama ni mkali he is the king

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 8 ปีที่แล้ว +51

    duh si mchezo tunavyokaa na kutoa coment mbovu mbovu tu bila hata kujua tabu wanazozipata mh huwa hatuwatendei haki

    • @priscilarkahindi9126
      @priscilarkahindi9126 8 ปีที่แล้ว

      kweli bwana huwa watu hawawatendei haki kabisa! unaona vile kiba paka anatoa jicho na jasho!

    • @musamkude
      @musamkude 7 ปีที่แล้ว

      dah wanapata shida kweli

    • @rahmaninoh7434
      @rahmaninoh7434 6 ปีที่แล้ว

      Duuh kwel wanapata shida sana kurecod

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 3 ปีที่แล้ว

      Na hapo ndio kwa King fund wengine wanaweza rud hta wiki mbil wanaambiwa haijakaa sawa

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 8 ปีที่แล้ว +6

    brother kibaaaa and barakaaaa mumetixhaaaaa wanaaaa

  • @safiarashid709
    @safiarashid709 6 ปีที่แล้ว

    Hongereni yaan c kazi ndogo... Polen pia

  • @suleamber7252
    @suleamber7252 5 ปีที่แล้ว +1

    Alikiba kaka ni hatar jaman you're my role model

  • @richardkazungu1519
    @richardkazungu1519 8 ปีที่แล้ว +1

    ally so funyi safiii..barak nice

  • @elvinbakebula7130
    @elvinbakebula7130 8 ปีที่แล้ว +35

    Alikiba umejaliwa sauti but tumen za mond tucheken jamani

    • @kamaluhajj3446
      @kamaluhajj3446 8 ปีที่แล้ว

      hahahaa assee unataka tucheke😂😂😂

    • @tinivanny7562
      @tinivanny7562 7 ปีที่แล้ว

      Original Bakedimpoz hahahahahaha😁😁😁😁😁nacheka kabla hazijatumwa koz balaa

    • @blandinacharles8735
      @blandinacharles8735 7 ปีที่แล้ว

      Original Bakedimpoz hahaaaaaa usitake tuvunjike mbavu

    • @theafricanprincevivecongo8632
      @theafricanprincevivecongo8632 7 ปีที่แล้ว

      original bakedimpoz 😂😂

    • @mohdnyambura6859
      @mohdnyambura6859 5 ปีที่แล้ว

      duuh😂😂😂😂

  • @Msonjo
    @Msonjo 8 ปีที่แล้ว +23

    mziki ni ajira cyo kitu cha rahisi rahisi msichukulie poa

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 8 ปีที่แล้ว +1

    @Phatma hamisi kabisa Mooa ailinde furaha ya wana TZA

  • @clevermaphotos
    @clevermaphotos 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sanaa Bro Kaka #Ali kiba

  • @Tonnyfulanymangile396
    @Tonnyfulanymangile396 2 ปีที่แล้ว

    Hii ngoma sio pw

  • @officialjohn9420
    @officialjohn9420 5 ปีที่แล้ว +1

    Barakabaraka munguanakuona

  • @barikibendera8607
    @barikibendera8607 8 ปีที่แล้ว +8

    Kiba kweli unajua aisee... Duh

  • @malaikagire802
    @malaikagire802 6 ปีที่แล้ว +1

    nice kaka

  • @allyclassic1768
    @allyclassic1768 5 ปีที่แล้ว

    Barak rudi mzeeee xca umebumaa

  • @ibrahimissaibrahimissa6134
    @ibrahimissaibrahimissa6134 5 ปีที่แล้ว

    King kiba umetisha sanaa .

  • @saidkundinga3808
    @saidkundinga3808 6 ปีที่แล้ว +1

    duuuh hiyo ngoma kila nikisikiliza bado ainichoshi asa pale anapoimba king kiba jaaamaa nooooooma

  • @abdullynasry2205
    @abdullynasry2205 ปีที่แล้ว

    Sema ally awe anachana nywele jmn

  • @princehakimhakim600
    @princehakimhakim600 8 ปีที่แล้ว +5

    Jamani sautii yanimalizaaa

  • @onlinemovie8580
    @onlinemovie8580 6 ปีที่แล้ว +2

    DOUH!!!!Alikiba anamuandiko mbaya mhhh na hizo nywere ulilala bweni ila unajua jamaa

  • @Azzer_Classic
    @Azzer_Classic 7 ปีที่แล้ว +1

    Broooo naomba mnitafute niko nakipaji bt cjui mtanifikia niko na menge juu ayo tv

  • @the.sanJaco
    @the.sanJaco 5 ปีที่แล้ว +2

    Mziki ndondoto zangu nicheki San Jacob usikie ngoma yangu

  • @fjmmso3654
    @fjmmso3654 8 ปีที่แล้ว +9

    asteria dada weh mzuri lakini hio nyele sijaipenda.

  • @laurentchimbirani5990
    @laurentchimbirani5990 5 ปีที่แล้ว

    Balaaa la jiji #Kingkiba

  • @bashitemakonda1540
    @bashitemakonda1540 7 ปีที่แล้ว +58

    Ndotozangu zilikua niwe mwanamziki Nikaona sina sauti Nikaamuwa kuwa konda WA Daladala

    • @ahmedmpimbi9684
      @ahmedmpimbi9684 7 ปีที่แล้ว +2

      BASHITE MAKONDA ahahahaahahaha dah aiseee umetishaaa brazaaaa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @faudhiasalim3305
      @faudhiasalim3305 6 ปีที่แล้ว +1

      BASHITE MAKONDA ,😂😂😂😂😍🤗 msema kwel kipenz cha Mungu

    • @nasiburamadhani5886
      @nasiburamadhani5886 5 ปีที่แล้ว

      Dah nimecheka sanaaaaa

    • @plantnumplantnum8236
      @plantnumplantnum8236 4 ปีที่แล้ว

      Safi

    • @jimmyx8412
      @jimmyx8412 4 ปีที่แล้ว

      Hahaaa

  • @jayson.chanel.9870
    @jayson.chanel.9870 8 ปีที่แล้ว +3

    finitooooo...!!!hahaha keep it up king kibaaa!!!

  • @sixfingerthedon4907
    @sixfingerthedon4907 6 ปีที่แล้ว

    Kwan mm napenda sana king kiba nakubal sanaa

  • @ramadhaniabdulabdul
    @ramadhaniabdulabdul ปีที่แล้ว

    ngomaa kali sanaa

  • @chantalsalumu2766
    @chantalsalumu2766 2 ปีที่แล้ว

    Na Niki faraga tena ngoma za baraka niiteni umbwa 🦮🚶

  • @manugwainvestments4617
    @manugwainvestments4617 4 ปีที่แล้ว

    umemaliza finito kiba bhn ana usela fln hv secret

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 8 ปีที่แล้ว +8

    mmh kumbe shida hivyo

  • @justinendaki4158
    @justinendaki4158 8 ปีที่แล้ว +22

    who is watching this while reading comments?

  • @doctad3645
    @doctad3645 8 ปีที่แล้ว

    hata mm nimtungaji mzuri na mwimbaji bt cna wakunisaidiaa jamanii

  • @fjbanddav4387
    @fjbanddav4387 5 ปีที่แล้ว

    Studio neme

  • @saandamohamed4056
    @saandamohamed4056 5 ปีที่แล้ว +1

    Celle où celui t'aime pas c son blème mais te le roi Ali,

  • @mauriceekisa8767
    @mauriceekisa8767 7 ปีที่แล้ว

    bhai up Ali and Barack prince

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว +2

    Love you kiba

  • @bwanaafyasmart8420
    @bwanaafyasmart8420 6 ปีที่แล้ว

    HIV jinala produce Ima the boy anatumia kwenye instagram anatumia jina game?

  • @ramanyange224
    @ramanyange224 8 ปีที่แล้ว +45

    mmmmmmmmh nilitaka kuwa msanii ila kwa ugunu huuuu acha nikauze machungwaa shikamoooooo wasanii

    • @deborakamsi
      @deborakamsi 8 ปีที่แล้ว +1

      rama nyange umenichekesha sana na comments yako

    • @chrisvickyg599
      @chrisvickyg599 7 ปีที่แล้ว

      rama nyange hahaha mbavu zangu

    • @sahoombibi7076
      @sahoombibi7076 7 ปีที่แล้ว +1

      rama nyange Rama nyange komenti yako umenifurahisha Hat Mimi duuh hahaha

    • @bessab4073
      @bessab4073 6 ปีที่แล้ว

      rama nyange 😂😂😂😂

  • @zuberihussein4597
    @zuberihussein4597 7 ปีที่แล้ว +2

    Ali noma sana

  • @starcollocollothedon784
    @starcollocollothedon784 7 ปีที่แล้ว +2

    king kiba from 254

  • @jumahguya3258
    @jumahguya3258 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimerudi uku nliposikia baraka akisema hajai rafiki na alikiba

  • @marlyncamden
    @marlyncamden 8 ปีที่แล้ว +11

    hela zote lakini kwenda kwa kinyozi hautaki

    • @michanomichano4931
      @michanomichano4931 8 ปีที่แล้ว

      ulitaka anyone ili akufanyaje

    • @kyungatvonline
      @kyungatvonline 8 ปีที่แล้ว

      usmat muhim sometime

    • @michanomichano4931
      @michanomichano4931 8 ปีที่แล้ว +1

      Mbona wanao vaa hereni hamsem

    • @marlyncamden
      @marlyncamden 8 ปีที่แล้ว

      fadhil simon
      hata fade kidogo ya kushape up nwele atleast bwana siyo unatembea kama mtoto wa mtaani

    • @ramadhanzmlay1331
      @ramadhanzmlay1331 8 ปีที่แล้ว +1

      umenifanya n cheke joh hahahahaha ,,ela zote kwenda saloon shida

  • @justinkibonge8426
    @justinkibonge8426 5 ปีที่แล้ว

    Kingkiba fire

  • @ndetiwaiwc5563
    @ndetiwaiwc5563 8 ปีที่แล้ว +3

    king na prince mmetisha

  • @justinkibonge8426
    @justinkibonge8426 6 ปีที่แล้ว

    Kingkiba

  • @michanomichano4931
    @michanomichano4931 8 ปีที่แล้ว +8

    king in king tu

  • @bryanjonathan6312
    @bryanjonathan6312 8 ปีที่แล้ว

    bonge la ngoma ila dah hamna daftari lakuchorea lyrics asee mpaka mbachorea kwenye diarry???

  • @mriduhasanikakuba9827
    @mriduhasanikakuba9827 5 ปีที่แล้ว

    Huyu jamaa nifundi balaaa kwameli acha aitwe king

  • @rukiarukia3618
    @rukiarukia3618 8 ปีที่แล้ว +17

    kiba mtu wa nguvu

  • @deewallance9354
    @deewallance9354 7 ปีที่แล้ว +1

    Big up kiba

  • @stevenshonza76
    @stevenshonza76 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂naona kiba hadi jasho dah hatar

  • @middletz2926
    @middletz2926 7 ปีที่แล้ว +1

    gud kka 👑

  • @مهيجهتنزانيه
    @مهيجهتنزانيه 4 ปีที่แล้ว

    Shikamoo king kibaaaaa

  • @abduljmmwanabongo3908
    @abduljmmwanabongo3908 7 ปีที่แล้ว +2

    Oya me naimba ujueelkini apo nimesanda ila sina plomo wala menejment vipi mnanisaidiaje wakubwa

  • @suzanrichard5428
    @suzanrichard5428 7 ปีที่แล้ว

    kali mtu wangu wa nguvu

  • @rahmaninoh7434
    @rahmaninoh7434 6 ปีที่แล้ว

    Duuh nice

  • @godfreywilson2115
    @godfreywilson2115 8 ปีที่แล้ว +1

    jamaa Baraka mweusi mpaka baaaaaaaaaaaaaaaaasi,,hata peter msechu amekuzidi swagg, ahahahaha nafurhig sana mkikutana wew, msechu, baba levo na adam mchomvu,,,,, ni sheeeeeeeeedah.. POP IT UP KIIIIIIIIIIIIIIIIIING KIBA

  • @abdontv8566
    @abdontv8566 5 ปีที่แล้ว +1

    king of kings yebabaaaaaa

  • @alicenice1711
    @alicenice1711 3 ปีที่แล้ว

    King kama king

  • @mansoolniapyala2131
    @mansoolniapyala2131 7 ปีที่แล้ว +1

    kiba the king

  • @a2comedy36
    @a2comedy36 4 ปีที่แล้ว

    Saizi ni mjinga

  • @Xavierdecristo
    @Xavierdecristo 4 ปีที่แล้ว

    King na sauti yake yakipekehe

  • @jimmyx8412
    @jimmyx8412 4 ปีที่แล้ว

    Kiba Ni nyoko Sana, anajua kinoma

  • @halimaamani4095
    @halimaamani4095 ปีที่แล้ว

    Halafu leo baraka unamtukana Ali, ona alivyokopambania

  • @BrunojnrMz
    @BrunojnrMz ปีที่แล้ว

    Alikiba fundi

  • @mariammbughi2702
    @mariammbughi2702 8 ปีที่แล้ว +2

    aisee wasanii wana kaz

  • @isaiahrajab1409
    @isaiahrajab1409 6 ปีที่แล้ว

    Nimegudua huyu jamaa akiwa studio akuwa na mzuka wa ajaab

  • @saulimwakyusa149
    @saulimwakyusa149 8 ปีที่แล้ว

    mbona huyo alie mwita baraka mbona kama mbabe sana kabaraka kamemfata naam

  • @wemakalam9415
    @wemakalam9415 7 ปีที่แล้ว +4

    tabu kweli lakini fundi ni fundi king kiba

  • @aaronmichaelswai1456
    @aaronmichaelswai1456 5 ปีที่แล้ว

    Mmmh hiyo studio ni chafu,unsmart,mbayaaa

  • @mosantana3591
    @mosantana3591 2 ปีที่แล้ว

    Good

  • @deogratiustemu7758
    @deogratiustemu7758 7 ปีที่แล้ว

    Nyie wasanii wa bongo mkasome Muziki sio kila siku mnatuimbia midananda ile ile

  • @gbrowngbatz7867
    @gbrowngbatz7867 5 ปีที่แล้ว

    Alikiba alifunikwa Ile mbaya

  • @jackisongirani245
    @jackisongirani245 3 ปีที่แล้ว

    Kinq kibaaaaaaaa

  • @Azzer_Classic
    @Azzer_Classic 7 ปีที่แล้ว

    Naomba interviem

  • @athumaniabimaely6521
    @athumaniabimaely6521 6 ปีที่แล้ว +1

    nc kiba

  • @sadamikaelalexzandr9352
    @sadamikaelalexzandr9352 3 ปีที่แล้ว

    King