Ongiri pongexi kubwa kwa kuchagua msimamo wako. Usibebewe upongo na hiyo Familia, walijaribu bt God naye n Nani kwako. Mungu wacha aitwe mungu. 🙏🙏🙏Babake anainsist et ukalipe Mali ilihali umewafanyia vitu vingi. Gachie motwe. Mbele kuzuri ❤❤
Et mwanamke pomba mwenye anapewa advice ya ujinga kumdhurumu bwanake na kumuliki Mali yake na Familia yake akwende na uko. Hata sumu utapewa ndio utamwekea ili umuue na mumiliki Mali yake na Familia yako. Ongiri hakuna upendo apo uyo kimwanamke kiko nayo kwako.Wee unampenda bt yee hakupendi hata n pesako ndio wanapenda s wee na Wanakuonea wivu ilikuwa je ukatangulia kubarikiwa kuwaliko and yet u are te part of tat family bado wanakupiga vita. Ikiwa na wee hauoni iyo family ya nzuri kwamilia basi
Ongiri please nenda na mwanao, hii familia achana nao aisee ni wachawi, sasa ukiwapa nafasi wanakuuwa roho safi,nakupenda kama mama nataka uishi uendelee kutukuza Mungu muumba vitu vyote.
Brighton it's not good to leave angie cry all this time ukiwa comfortable why did you ruin her future if you were not ready to have her in your life you should have shown her earlier enyewe mm naturn 22 September but nasema tano tena
Hawa Watu wasisikunganye miaka Tano sio mchezo samehea bibi yako alijatibu kufanya maendeleo majaribu ya dunia ni lazima endelea na familia yako Ongiri hakuna mwanamke mzuri hii dunia
Congratulations brother for your move ,plz dont let your son with those snakes ,kaa na mtoto wako ,let daktari do anything positive to keep off those so called inlaws out of your ways
Mr.ongiri achana na hyu mchawi atakuua kabla cku zako tafuta mke wa kukuheshimu cz nikikuona wee cio wa mambo mingi unahusle tu kutafuta mtto wa watu run for your safety 🙏🙏
Mr mr mr ogiri omba sana mungu and take your son and run away from that family pliz pliz ju hujui nini wamekupangia next bro safe your life's with your son
Did you watch what really happened😭😭😭💔 th-cam.com/video/Xoy5cT3vLiM/w-d-xo.htmlsi=Xzv11K84a1pgMbb1
yes apo sass❤❤ cuz huyu mwanamke simzuri anatafuta kuangamiza ongiri yeye na babake then wachukuwe mali ongiri run in your life plzzz
Good work brother Brighton 👏
Am the first one here,nipe likes guys,mr Ongiri fungua macho that call baba EVe na Eve are not good at all
N wachawi
Ongiri take your son and go away from this family please hujui nini wsmekupangia next
Agree
Plz ongiri go away from that family
Yes
Very true
I'm happy Ongiri umefunguka macho, hiyo family ungekuwa umeachana mayo tangu juzi!! Thank Ongiri 👋👋👋👋👋🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Asante mr ongiri umechukuwa mahamuzi mazuri
God is faithful ongiri,go to Canada with your son,if you can go to children department with the boy he say who wants to stay with.
May the Almighty God protect Ongiri n his son from the bad evils
Ameeen
Run for your safety and your son ❤
Yes
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Ongiri pongexi kubwa kwa kuchagua msimamo wako. Usibebewe upongo na hiyo Familia, walijaribu bt God naye n Nani kwako. Mungu wacha aitwe mungu. 🙏🙏🙏Babake anainsist et ukalipe Mali ilihali umewafanyia vitu vingi. Gachie motwe. Mbele kuzuri ❤❤
This woman is horrible please Ongiri be careful 😢😢😢😢
Ukweli kapisa
God forbid hear our cry ad save Mr ongiri d his son.Ameen
Amen
Amen
🙏God is a live
Ongiri take your son and raise him.
Yes
Exactly
That's the point
What makes eve hate the son all this 😢.My advice to Eve your still young lower your ego for the sake of your future.
ongiri don't pay anything for this evil father and dota
Ongiri nakuadvice go to the children's office they will give you a letter to protect him it happend to me
Good advice
I love this boy for free
Ongiri good decision kabisa ongiri jipe time kwanza wajana na eve kwanza
Aki akirudia eve nitajua amerogwa that family is dangerous
Very very dangerous
@@Josephineonyango-cl6ql kabisaa aki
I'm happy bro ongiri with your decision please dant leave your son behind like son like father muuuua ❤❤❤❤ but eve forget about her
Congratulations Mr ongiri go go go
Et mwanamke pomba mwenye anapewa advice ya ujinga kumdhurumu bwanake na kumuliki Mali yake na Familia yake akwende na uko. Hata sumu utapewa ndio utamwekea ili umuue na mumiliki Mali yake na Familia yako. Ongiri hakuna upendo apo uyo kimwanamke kiko nayo kwako.Wee unampenda bt yee hakupendi hata n pesako ndio wanapenda s wee na Wanakuonea wivu ilikuwa je ukatangulia kubarikiwa kuwaliko and yet u are te part of tat family bado wanakupiga vita. Ikiwa na wee hauoni iyo family ya nzuri kwamilia basi
Mr ongiri brother go light now with your son please I beg you
Take your son away from kwa "hishani yangu "hawa watu ni wanyama
😂😂😂😂 kwa hishani tu
😅😅😅, ati hishani ya nani😅
@@dancanomwenga6955 yangu🤣
Kwamzazi mwenye akiri awezi dai mahari kwa mambo aliyo fanyiwa evu kimekulamba
Ongiri please nenda na mwanao, hii familia achana nao aisee ni wachawi, sasa ukiwapa nafasi wanakuuwa roho safi,nakupenda kama mama nataka uishi uendelee kutukuza Mungu muumba vitu vyote.
Huyo malaya n mtu wa uganga but mungu ako na wew ongiri
Amen tunashukru kuona ndungu yetu ako poa
Brighton it's not good to leave angie cry all this time ukiwa comfortable why did you ruin her future if you were not ready to have her in your life you should have shown her earlier enyewe mm naturn 22 September but nasema tano tena
Baba ana adabu onjiri amekujengea mschana wako smekusomea badi uoni
Ongiri go with you son
Hawa Watu wasisikunganye miaka Tano sio mchezo samehea bibi yako alijatibu kufanya maendeleo majaribu ya dunia ni lazima endelea na familia yako Ongiri hakuna mwanamke mzuri hii dunia
Anaweza badilika ni nyege tu na maatifa ya baba
Ukweli uyu eve anafaa aombewe kwanza
Kabisa coz hakuna mwanamke mwema kwa hii dunia
Lakini uchawi nayo zi
Congratulations brother for your move ,plz dont let your son with those snakes ,kaa na mtoto wako ,let daktari do anything positive to keep off those so called inlaws out of your ways
Haki pia ongiri amekonda juu ya hiyo mambo umefanya uamuzi mzuri babaa na kama ushaamua sisi ni Nani tupinge
Ata kinjana anafurahia akiwa babake😢eve umetupa Mzee wa maana sana utakunja kuregrets
Mr.Ongiri kindly don't argue with them just leave them and mind your business Mr brother
God's timing is the best,ongiri mungu akupatanishe na mbavu yako
Hakuna mahari Amna chochote! Huyo ni Mzee gaidi mbaya sana na msichana yake! Mahari Kwa kiraka kama hiki!
Congratulations ongiri umefunguka macho mungu akusaidie
Huyu dem anakaa anania mby sana n maelezo yake .
Waaaaooo a very handsome boy ,Mr ongiri usitupe mtoi wako juu ya hio maraya
Yani alikuwa anakunywa pombe😢
Ongiri umefungaka macho, glory to God.
Am happy for today coz ongeri ako Na Kila kitu yake
Yanaitwa mahaba ama Mr.Ongiri hajui hio wimbo😂😢
Director should not have subjected the son to direct confrontation. the boy should have been kept away from the challenges of the parents
nipitieni tugrow pamoja ❤❤
Brighton plz let the boy go with his daddy pls,that woman is not ok n good plz Ongiri take your son with you plz
Uko mupole kijana namungu akubariki❤ uyu muke anaja shetani
Mungu awasaidie
Mr Ongeri please run away from from this family
Eve kiburi kinekuramba 😂😂😂😂, Mr ongiri u are a wise man ❤❤❤
Ongeri please hajana na hiyo family hiko wajawi please go with your family
Mungu akusaidie bro movie on ajana na uyo mwanamke 😢 Bure kabisa
Even though, whether good or bad, a mother is always a mother no matter
Ongili wachana na huyu mwanamke afunzwe na dunia hakupedi
Kashabadili izo docoment au unaalibu kwaza
Ongiri take care of your son
Hy sio mwanamke wakuishi na Ongiri kabisa Hy mwanamke ni malaya
Wow ongiri,I like your stand you are a man
Mashall ungili ongela ukonamutoi muzuli amegufata gitapia anaonekana nimupore hapendi vitu ucafu kama wew babaake❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Ongiri usimutiye Eve kwa maisha yako , atakuwuwa
Yaani mzee mzeeeeeh but amabi oka aichiromotwe saitani ushindwe nywoma moisekoo oyio omorogi bunaye ise amacharaya mmetupa bahati forever nyinyi
Briaghton good job umesaidia Mr ongiri ee waja mungu akukumbuke pamoja na family yko
Oooi Mr Ongiri don't leave your Son please please
Mr. Ongiri... that's very good of you....wacha leo hata wewe uitwe mwanaume.
Mr.ongiri achana na hyu mchawi atakuua kabla cku zako tafuta mke wa kukuheshimu cz nikikuona wee cio wa mambo mingi unahusle tu kutafuta mtto wa watu run for your safety 🙏🙏
Eve hakuna Mzee hunjenga kwa kina wife amekusomesha nahuna thx
Tulia ss bro kama upepata haki yako mungu atakupa mwanamke mzuri to
Mungu siunipe tu bwana ka Ongiri
Mzee kufa polepole huna shukrani
Mr mr mr ogiri omba sana mungu and take your son and run away from that family pliz pliz ju hujui nini wamekupangia next bro safe your life's with your son
Ongiri run for ur life achana na huyu mwanamke atakuja kukufanyia kitu mbaya kabizaa take ur son bro
Kama ongiri amen exit groly be to God🙏🙏 mungu atakupe make mwema .mungu ndiye amekutoa kwa hayo yote mungu apewe sifa
Brighton unajifanyanga mzuuuuuuuuriiiiiiiiiiiii,,,aaaaaagh unabembeleza huyu mwanamke sasa ama pia umerushiwa mapepo
Ongiri your like my Young brother sisi tutakuambia mengi but make the right choice otherwise you will be doomed
Mr Ongiri take care of yourself and your son please
You could have not included the baby in the story
Aww I like the way Mr Ongiri loves his son ❤
Congratulations 🎊🎊 Mr ongiri go go go
Hati 1.5 million Na msichana anakuchiezea
Mr Ongiri give yourself time, don't be in a hurry to take back this lady, let her learn a lesson kiburi itoke kwanza
Don't pay any dowry Mr Ongiri,, don't pay anything
Ongiri please take you son and potea from that family na God awaprotect aky uyo mzee n mchawi
Mpira umekwisha👍👍👍👍👍👍!
Be careful with that woman anaezakuua akii damu ya Yesu iwe nawe
Ongiri take your son ukae yy
Hakuna cha kucoz anything darktari uko na mwamean mungu
God is good upto this far ...
Brighton nipe # ya ongiri plzzz,,,,woieee am in Riyadh
Wallah kuna wtu n viatu unachezea bahati kuna wenzko wanatamni hyo bahti
Aki watu wanapata mabwana wazuri na wanafanya hivi......mungu si anipee kaa hyu
Mr Ongeri very good usilime mahali wachana na huyo mschana
Uko na mdomo Sana wee mwanamke babako akuoe.
Ongiri, don't argue with her, play it cool, finish with this family and go
Ongiri after io mchezo yte amekufanyia na madharau usiangalie nyuma,run for your life bora umepata vitu zako usijaribu kurudiana na uyo mwanamke plz
Nawewe Ev ume sema unamwanawum
Brighton ambia Mr ongiri awachane n huyu mwanamke
Yes that's it Mr ongiri enda na ua boy
Wrong D, Mr Ongiri wealth will be divided
Ongiri ends na Moto uche hio mwanamke
Ongiri umefanya pia kaanamtoto yako wenyewe