@@manilabonalumanula1014 endapo wote tunajielewa, basi ya nini kutumia ligha kali?? Ati. " Umemwona Kingwendu, mbona waimbaji........" Mie si mshabiki wa muziki abadan. Kwa hivyo ya muziki siyajui.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂...Aiseee... Tuliwamisi sana... Maana miaka ile tulikuwa tunawaona tu kwenye Kaole group... Aisee mnatupunguzia sana stress... Bambo hebu ongeza lafudhi yako ya kuongea kama ile ya zamani ... ilikuwa inachekesha ..Mtanga.. Unamuita wee mutango upi wapi
Tumemiss msemo wa bambo, vina zake. We love you guys.. from Burundi
Mambo mtanga mimi nipo Congo 🇨🇩
Mnatufurahishaga sana…combination yenu.
Leo mimi wa kwanza
Nimechaka sana kwakiono hicho mtanga hakuna fundi hapo 😂😂😂😂😂😂😂🤩
Mwenye kajumba😀😃😄😁😆😅🤣😂
Hii morya kali bwana mutango watu wahuku kwetu tunawependa sana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 love from Mozambique 🇲🇿
Tuli wa miss nyie watu wawili kitambo 😁😁👌
Nafurai kuwaona 😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤👍👏🇹🇿
Love from Kenya...fundi bila tester
Mtanga pure comedy hakuna makelele mengy simple pure comedy...
Washaaaaaaa dah hii noma sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa ndo wenyewe Sasa😃😃😃😃
Mtanga na bambo nawakubal sn frm geita town
Hahahahaaha....khatarii wallahi iko poa sana Maashaallah
Love from Canada 🇨🇦
Bambo bana .....et vip Kuna umeme hapo ...nimecheka kinoma😂😂
😂😂😂😂aaaah ni noma mafundi wa mchongo
Hahaheee huuiiiiiiii mbavu zangu nakufaaa hahaaaaaaaaa hatareee
😅😅😅 safi sana...wenye comedy wamerudi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtanga mauno ya shotiiii hayo 🤣🤣🤣
Tizama na hii, bonyeza hapa 👇
th-cam.com/video/nVRPwDKmQ3g/w-d-xo.html
Hahaaaaaaaa,hahaaaaaaaa,hahaaaaaaaaaaa,haaaaaaaa,.. ..Hawa jamaa sio...!
Mwenye kajumbaaa
Mtanga bn unazambi san umenichekesha mno khaa
Mtanga hio sura ni comedy tosha😆😆😆🤣🤣🤣👍🏽👍🏽👍🏽
Tizama na hii, bonyeza hapa 👇
th-cam.com/video/nVRPwDKmQ3g/w-d-xo.html
My favorite Duo 😅
Wow respect sana i like the comedy
Muko vzr bamboo na mtangaa hamubahatishi kwenye kazi zenu hahahaaha
Mbavu zangu mm dah 😂😂😂
Bamb unavo ongea hivo unanitoa mbav sana🤣🤣🤣🤣🤣
Tizama na hii, bonyeza hapa 👇
th-cam.com/video/nVRPwDKmQ3g/w-d-xo.html
😂😂😂😂 comedy mnajua sanaa nimewakabal sana hata kama mlikaa kimya mda kidogo ila ubunifu haujaisha kabisa.
Uhakika
Mtanivunja mbavu mie
kazi nzuri sana
🤣🤣🤣🤣wananikumbusha enzi za pwagu na pwaguzi!
Mmetisha
Ahahaha from kenya
Out way short cut 😂😂😂😂😂😂😂kweli nyinyi ni viboko kweli
Kweli hii comedy maana huyo dada ameenda kuwashika wakati wao wapo kwenye shoti ya umeme bila ya yeye kuathirika na chochote hahaha
Nakubali san
Good to see them return on the big screen
Bonyeza na hapa uone hii 👇....
th-cam.com/video/Nwjf3aRNYPY/w-d-xo.html
Ho
Ila wabongoo
Hii kali sana
Thanks so much, this is what I have been waiting for long.Welcome back legends
Oggg nawakubalii sanaaas
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃
Hakika hili ni Balaa
Hiii tanesco itauwa😂😂😂😂
🤣🤣🤣👍
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mtanga utatuua kwa cheko
Aaah hapo umeme upo halafu mdogo aah bamboo noma sana
Inakuwaje watoto wkiangalia hii video ??
Nawakubali wakuu
Shuk'ran mtanga comedy 🤣
Tizama na hii, bonyeza hapa 👇
th-cam.com/video/nVRPwDKmQ3g/w-d-xo.html
Sahiv mnaigiza kishua bana🤣🤣🤣🤣sio kama mwanzo
Welcome back
Lengo la kugusa waya n nn,,,? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂 wazee wangu bado mpo vizur
Mtanga ninakukubali tangu enzi hizo comedy zako naneno lako unalotimia mfano bambo,unamuita kabambo,tena senga unamuita kasenga,,allow pongezi san
Ety kameza mate aaaa🤣
Nimecheka 🤣🤣
Komedi za Mtanga zina heshima sio kama za Kingwendu ambazo yeye na wanawake.
Comedy zote zinaelimisha, zinagusa maisha tunayoishi. Umemuona Kingwendu tu mbona mziki wa sasa huuzungzii kama upo tofauti na zamani?
@@manilabonalumanula1014 Mada inahusu waigizaji tena nalinganisha kati ya Mtanga na Kingwendu wala siko kwa waimbaji. Jielewe.
@@Wastara001 tunarekebishana tu, wote ni wasanii na sanaa zinafundisha hivyo mm na wewe tunajielewa isipokuwa tunaweza kutofautiana mtazamo
@@manilabonalumanula1014 endapo wote tunajielewa, basi ya nini kutumia ligha kali?? Ati. " Umemwona Kingwendu, mbona waimbaji........" Mie si mshabiki wa muziki abadan. Kwa hivyo ya muziki siyajui.
@@Wastara001 sijatumia lugha kali ndiyo maana nilitanguliza kicheko kama sehemu ya burudani
😀😃😄tuumie woteee
Wasani shukrani kabisa
Mbavu zangu utanilipa jamani🤭🤭🤭
jus cant control my laughter
Noma sana
Welcome back I love you guys🙌
Yeah nakuona mzee Bambo hapo sawa kabisa
Long way distance
😃😃 hauna nguvu saana
hatari san
Kwani ndani,kule umewasha et
Kweli nyinyi machizi
Leo nimecheka🤣🤣🤣
Tizama na hii, bonyeza hapa 👇
th-cam.com/video/nVRPwDKmQ3g/w-d-xo.html
Outway shout cut
Nyie noma😂😂😂😂
Tizama na hii, bonyeza hapa 👇
th-cam.com/video/nVRPwDKmQ3g/w-d-xo.html
Mafundi wa mchongo😂😂😂
Asantena kwakujatena
Unakuja mdogo 🤣🤣
Duuu mbavu zmeisha
Fresh kabisa ila mboreshe kamera
Unakuja mdogo
Bamboo amenenepaaaaa
Haaaaahaaaa ameshikwa,eti kufa sio mbali haaaaahaaa
Combination kali.
Naceka sana kabisa wafundi waumeme kabisa
Nimecheka😛😛
Bambu nimefurahi sani kukuoni
🤣🤣🤣🤣🤣out new shortcut
Mtanga.zekomed
Kufa sio mbali 😅😅
Mme nivunja mbavuuuuu
Nice
mwenyewi 🤣😂🤣🤣
Mtanga na Bambo the best
Ila hata msichana aliyekuja kuwatenganisha angepaswa kupigwa shock
🤣Inaitwa « Out way shortcut »🙄
Hahaha😅😅😅
Out way shortcut 😅😅
I love ♥️♥️
Hehehehehe..... Balaa belwe
😂😂😂😂😂😂😂😂😂...Aiseee... Tuliwamisi sana... Maana miaka ile tulikuwa tunawaona tu kwenye Kaole group... Aisee mnatupunguzia sana stress... Bambo hebu ongeza lafudhi yako ya kuongea kama ile ya zamani ... ilikuwa inachekesha ..Mtanga.. Unamuita wee mutango upi wapi
😂😂😂😂😂 daaaah!
mafundi vishoka