Sasa alelewe wakati yeye amesomea rubani huko ndo kulelewa.sijui mwatakaje waja wivu na hasadi zimewajaa hata wewe watamani lkn tu ndo hivyo hujapata nafasi
@mejumaahuyu kalenga demu wake babaake ana mawe tukiachana na kusomea urubani na hiyo chanell kaipatia kwa demu na aache uongo anapenda sana wanawake wenye shepumwachirero7324
Jamani tutafute pesa wanawake maskin tunazaraulika hatutakiwi
MashaAllah hapo kwenye Qur'an Allah akuongoze ❤❤
Masha Allah mola akuzidishie kila laheri
Tunakupenda sana
Mashaallah,❤❤❤❤alquran lkareeem,waooooo
Masha Allah Rammy Allakuzidishie
Kwa hiyo wanawake wa kimaskini hatutopata waume? Yarabbi tujaalie kipato nasi tupate waume nafsi zinanyongea sisi tusiokuwa na mali
Hayo ni mawono take dada usijari
Masha ALLAH j'adore bcp❤ ❤
Dev kwa huba uko vzuri
Mwandishi nae mbea kweri, ety nani arimuanza mwenzie 😂😂😂
Mash Allah 🤗🤗🤗🤗🤗🌹💝♥️😍❤️♥️ karibu yani Rammy na Nicole tume wa miss sn kwenye huba ❤❤❤❤❤❤
Nicole amsha rudi tayar
Ningepata namba Yako,mwanangu anatamani sana watu kama wewe,maaashallah
Ko masogange je ukumpenda pia?
Nmempenda hapo kwa quran❤❤❤
May Allah bless you, inshallah....
Waandishi wachocheziiiii kweli hataki kuweka mahusianoooo heee
Tunakupenda pia kaka❤❤❤❤
Good 👍 mapenzi yaekewi nguvu ❤
Hongera sana kaka yangu
Umesema ukweli ❤❤❤
Aseme tuu ana taka alelewe 😂😂 vijana kwa mserereko wana penda 😂
Sasa alelewe wakati yeye amesomea rubani huko ndo kulelewa.sijui mwatakaje waja wivu na hasadi zimewajaa hata wewe watamani lkn tu ndo hivyo hujapata nafasi
@mejumaahuyu kalenga demu wake babaake ana mawe tukiachana na kusomea urubani na hiyo chanell kaipatia kwa demu na aache uongo anapenda sana wanawake wenye shepumwachirero7324
Asilimia kubwa ya wanaume wa sasa wanapendq wanawake wenye pesa
Wanapenda mseleleko mxxxieeee
Mashallah ❤❤❤
Mashalla🎉🎉
Kwan Mimi nimesikiya anatembea na lushayna imeishiya wap Tena maana awawasaniii ???
Wanawake wa kitanzania wavivu.
Sio kweli
Ni kweli
Mzinifu
❤
Mimi nampemda rem