Ongera mzee wetu Doctor Mpango kwa kweli una OFU YA MUNGU na akupe maishe marefu safi sana kwa kujali maisha baada ya hapa Duniani kuna mengine kwani hakuna mali nyingi na dhuruma mtu atarithi ufalme wa Mbingu.
Nimekuelewa mzee Mpango unaogopa nchi hii kupigwa mnada mbele yako bora uondoke madarakani nchi inazidi kutekwa na majizi serikari inanyamaza mpo vizuri na ndugai ❤
Weee unafaa kuwa kiongozi unajua uongozi ni kupora mali za waislamu kama alivyofanya bwana yule laa hasha wakala uongozi ni kusimamia uadilifu na kulinda katiba asidhulumiwe mtu mali yake kwavile ni muislamu huu si uadilifu. Acha niendelee kusoma kitabu cha Eric Kabendera naona Ban Saanane alivyochukuliwa hatimaye kuuwawa kikatili...!
Mzee ameshindwa kuvumia ukiukwaji wa haki za watz ulivyoshamili , amaona ni heri nikose fahar za dunia lkn nikae mbali na uovu unaoendelea hapa nchini ili akaurithi uzima wa milele
Bora Sana mungu akusimamie Mr mpango,nchi inathamini wapiga Debe, machawa wasanii,wakati inamgandamiza Dreva Kila Kona, akasomee udreva awe na Cheti wakati ana leseni,asibebe mkaa wakati anarudi nyumbani, serikali inambana asilipwe vizuri na mwajiri wake, ukiangalia Dreva ni mpiga kura mzuri .
Yanayo endeleea kwenye hii Nchi ukiwa mpenda usawa na haki utaogopa kubwa miongoni mwa watawala utaficha wapi uso wako siku ya kiama Hongera Mpango Kwa uamuzi wako Mungu Akubariki
Kuna Siri kubwa ktk hili.makamubwa raisi ni nafasi kubwa sana.awezi kuiacha eti kisa anataka apumzike Ili Aishi miaka mingi.mungu pekee ndiye apangaye mtu Aishi miaka mingapi.uwezi kujiongezea umri Kwa kula sana au kulala sana.hapo Kuna namna kinana alijiuzuru. Spika ndugai naye alijiuzuru.kuna madudu katikati ya haya.kama sikosei sakata la ndugai lilianzia aliposema nchi imeuzwa inaonekana ukisema ukweli unawakwaza wapenda madaraka.juzi kwenye mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi Kuna mjumbe kijana sijui anaitwa kwasi alitoa hoja za msingi sana kuhusu uteuzi wa raisi wapigiwe kura wagombea japo watu pamoja na mazuri yote uliyoyafanya kuwe na kupambana na wagombea wengine Ili mazuri uliyoyafanya yakupitishe.ila alipotoa hoja Ile mapokeo ikawa tofauti akaonekana kama amekosea.na wajumbe wengi baada ya kuunga hoja ya msingi wanaunga mkono hoja za wakubwa.inaoneka pale wamefuata ugali TU.na huyu mstaafu kikwete alishapumzika Sasa mbona kama yupoyupo kwenye hotuba yake inaonyesha yupo kumpigia debe mama.nchi yetu marndeo hayasongi Kwa sababu wabunge na viongozi wetu wapo Kwa masirahi yao.tunaona bungeni wanapitisha mambo hata yasiyo na masirahi Kwa taifa maadamu wamepewa maelekezo Toka juu.hawasikilizi hata wananchi waliowachagua navyojua Mimi bandari ndilo lango la uchumi mnakubaliana kukodisha.huku wananchi wengi walikuwa hawajakubaliana na mpango huo.sasa hapo demokrasia Iko wapi? Siyo kuwa kwenye vikao vya maamuzi siyo mtapitisha hata kama wananchi hawajakubaliana.kumbukeni mpo hapo tuliwapeleka kutuwakilisha sisi tuliowachagua.
NAZANI WEWE UNATAKIWA UWENDE IKULU UKAULIZE KWA NINI KAJIUZULU DR MPANGO UTAPATA JAWABU SA HIHI KATIKA WALE WATU WA MEDIA WANAFIKI WAKUBWA WEWE WA BONGO NEWS AU UMETUMWA NA CHADEMA WATUKA YIYI SEREKALI INABIDI IWACHUGUZE
Dr mpango ni mtu hataki kuongoza serikari yenye mashaka. Huyu kiongozi mtakatifu kama wangepatikana watano tuu kwenye uongzi uliyopo hakuna haja ya kuwa upinzani. Huyu.ni mseminari anafunga. Hana tamaa ya madaraka. Mali. Sifa mimi namkubari subiri siku itafika kwa nini hataki madaraka wakati wengine wanalala kwa waganga wa kinyeji.
Hata Mchimbi hatadumu katika nafasi hii kama maovu yanayotamalaki nchini hayatakomeshwa. Ni watu wachache sana wenye hofu ya Mungu wanaweza kuona uovu ukitendeka na kuuvumilia
Kichwa cha habari si Sawa na yaliyomo. Kwa waandishi wa namna hii wanaupeo wa kusaidia jamii yetu, kama kichwa cha habari na dondoo ni tofauti. Au uko chekechea unajifunza uandishi Wa habari?
Hawa jamaaa ni washamba Sana hawajui Nini wanafanya. Porojo tu habari zenyewe kutafuta. Hawajui. Basi wapo wapo tu wapumbavu Sana. Headline. Na porojo. Anayoongea. Havilingani. Ni kuwapotezea watu Muda WAON tu washenzi hawa.
Tapeli wa habari, unatapeli wafuatiliaji wa habari zako. Unaweka kichwa cha habari kizito afu unakuja kubwabwaja na habari ya historia ambayo tunaijua. Shame on you!
Yaweza kuwa kweli au....ni figisu za kisiasa! Kuna mtu muhimu hapa tZ aliwahi kuugua,ikawa siri;kusema tu kwamba anaumwa ikawa kosa la jinsi! Kw io sirikalini lugha ni ya kuunga tu!
Mpango mungu akubariki umefanya kazi kwa hofu ya mungu na kwa uaminifu mkubwa sana huna deni kwa watanzania mungu atakulipia mema amen
Unajua Sheikh Utendaji na Siasa ipo kazi hapo
Hofu gn ya mungu 😅😅😅
Ndio ana hofu ya Mungu
Dokta mpango Mungu azid kukusimamia. Nibora kula mtama, ukabarikiwa. Kuliko kula chakula Cha mfalme, ukalaaniwa.
Kweli
Ongera mzee wetu Doctor Mpango kwa kweli una OFU YA MUNGU na akupe maishe marefu safi sana kwa kujali maisha baada ya hapa Duniani kuna mengine kwani hakuna mali nyingi na dhuruma mtu atarithi ufalme wa Mbingu.
Ofu ya mungu mungu gn rekebisha andika hofu
Ndio ana hofu ya Mungu,na ndo maana kakataa kuwa KIN,GANG,A!
Mungu awe nawe mupenda amani namwenye haki
baba mpango kuna maisha baada ya hapo mungu akusimamie achana.na hayo maizi yanafikir yataishi mrere
Hongerasana. Mzeewetu. Waache wanaojifanya. Kamawataishimirere. Kwenyehiidunia
Hongera Pumzika baba natuombee sana inchi yetu unamambo mengi sana.pumzikaka
Mungu Atukuzwe kwa ajili yako baba. Tunakushukuru mno kwa hekima hii.
Hongera Sana mzee , mcha mungu Kuna maisha baada ya hapo
Mcha mungu gna au mcha yesu😅😅😅
Nimekuelewa mzee Mpango unaogopa nchi hii kupigwa mnada mbele yako bora uondoke madarakani nchi inazidi kutekwa na majizi serikari inanyamaza mpo vizuri na ndugai ❤
Mpango ana hofu ya mungu? Na atabaki kuwa na heshima yake"" mungu akulinde mpango
Mzee mpango huna deni na watanzania
Kabisa yan
Huyu Dr Mpango anaakili sana tena sana alifaa kua kiongozi wa Dini kabisa huyo nimiongoni mwa viongozi wakuigwa Hongera Hongera sana mzee baba
Huyo mzee mcha mungu ,serikali ya hyu mama imejaa machafuko ya kuuza Mali za watanzania ,mama hufai kuwa kiongoz umeuza nchi vipande vpande
Weee unafaa kuwa kiongozi unajua uongozi ni kupora mali za waislamu kama alivyofanya bwana yule laa hasha wakala uongozi ni kusimamia uadilifu na kulinda katiba asidhulumiwe mtu mali yake kwavile ni muislamu huu si uadilifu. Acha niendelee kusoma kitabu cha Eric Kabendera naona Ban Saanane alivyochukuliwa hatimaye kuuwawa kikatili...!
🎉Mh. Mpango ndiye anaejua sababu za kupumzika, Kama anaona hivyo, ni vizuri apumzike
Msoga anatuvurugia nchi anadhani nchi ni mali yake
Mzee ameshindwa kuvumia ukiukwaji wa haki za watz ulivyoshamili , amaona ni heri nikose fahar za dunia lkn nikae mbali na uovu unaoendelea hapa nchini ili akaurithi uzima wa milele
Anaepuka maovu ya uchaguzi mkuu Ili asiwe mshiriki kwa hofu ya Mungu aliyonayo.
mungu amjalie amejua hakuna haki inatendeka
Mursal 😅😅😅
Bora Sana mungu akusimamie Mr mpango,nchi inathamini wapiga Debe, machawa wasanii,wakati inamgandamiza Dreva Kila Kona, akasomee udreva awe na Cheti wakati ana leseni,asibebe mkaa wakati anarudi nyumbani, serikali inambana asilipwe vizuri na mwajiri wake, ukiangalia Dreva ni mpiga kura mzuri .
Mungu akubari baba
Tujipe muda, kwani muda ndilo jibu sahihi, ngoja tunywe mtori Nyama tutazikuta chini
Alitaka kujiudhuru mapema sanaaaa kuna siri nyuma ya pazia
Yaani dokta mpango wewe ni mfano wa kuigwa kwanza hutaki dhuruma kuna viongozi walisha maliza muda wao ila bado wanaihujumu nchi
Duh! what's rong
Alifata mkumbo yeye ni mteule wa mungu, Ali ingia kwa bahati mbaya
Tunakushukuru baba Kwa uamuzi wako
Mtu anapojiuzuru ameona hukumu mbele isio na sababu , anajua vzr ,hongera mpango Mungu akutangulie
Lisu.na.mpango.watu.wa.mfano.wengine.wajifunze.kwao.maana.mungu.hachezewi
Yanayo endeleea kwenye hii Nchi ukiwa mpenda usawa na haki utaogopa kubwa miongoni mwa watawala utaficha wapi uso wako siku ya kiama Hongera Mpango Kwa uamuzi wako Mungu Akubariki
Wote mnaosema ana hofu ya MUNGU hamjui chochote.Angekuwa na hofu ya Mungu angekataa Mwanzoni alipoteuliwa.Huyo yapo yaliyojificha chini ya carpet
Sawa mwamba tuko pamoja
Mbona unaeleza story tu
Itajulikana tu,Wala sio umri.
Kuna siri chini ya Carpet.Nani huwa anakataa kulamba Asali milele.Hakuna anayetaka Shida.UMRI SIO SABABU NZITO.
Mwenye kusikia na asikikie na mwenye kuelewa na aerewe Nini mipango anamaanisha
Yupo sawa kwa kuwa huyu ni msomi ameona apumzike ili atoe nafasi kwa wengine.
Apumuzike ccm changuen mweye akili siyomandio kilajambo
Nyoooo
Kuna Siri kubwa ktk hili.makamubwa raisi ni nafasi kubwa sana.awezi kuiacha eti kisa anataka apumzike Ili Aishi miaka mingi.mungu pekee ndiye apangaye mtu Aishi miaka mingapi.uwezi kujiongezea umri Kwa kula sana au kulala sana.hapo Kuna namna kinana alijiuzuru. Spika ndugai naye alijiuzuru.kuna madudu katikati ya haya.kama sikosei sakata la ndugai lilianzia aliposema nchi imeuzwa inaonekana ukisema ukweli unawakwaza wapenda madaraka.juzi kwenye mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi Kuna mjumbe kijana sijui anaitwa kwasi alitoa hoja za msingi sana kuhusu uteuzi wa raisi wapigiwe kura wagombea japo watu pamoja na mazuri yote uliyoyafanya kuwe na kupambana na wagombea wengine Ili mazuri uliyoyafanya yakupitishe.ila alipotoa hoja Ile mapokeo ikawa tofauti akaonekana kama amekosea.na wajumbe wengi baada ya kuunga hoja ya msingi wanaunga mkono hoja za wakubwa.inaoneka pale wamefuata ugali TU.na huyu mstaafu kikwete alishapumzika Sasa mbona kama yupoyupo kwenye hotuba yake inaonyesha yupo kumpigia debe mama.nchi yetu marndeo hayasongi Kwa sababu wabunge na viongozi wetu wapo Kwa masirahi yao.tunaona bungeni wanapitisha mambo hata yasiyo na masirahi Kwa taifa maadamu wamepewa maelekezo Toka juu.hawasikilizi hata wananchi waliowachagua navyojua Mimi bandari ndilo lango la uchumi mnakubaliana kukodisha.huku wananchi wengi walikuwa hawajakubaliana na mpango huo.sasa hapo demokrasia Iko wapi? Siyo kuwa kwenye vikao vya maamuzi siyo mtapitisha hata kama wananchi hawajakubaliana.kumbukeni mpo hapo tuliwapeleka kutuwakilisha sisi tuliowachagua.
NAZANI WEWE UNATAKIWA UWENDE IKULU UKAULIZE KWA NINI KAJIUZULU DR MPANGO UTAPATA JAWABU SA HIHI KATIKA WALE WATU WA MEDIA WANAFIKI WAKUBWA WEWE WA BONGO NEWS AU UMETUMWA NA CHADEMA WATUKA YIYI SEREKALI INABIDI IWACHUGUZE
Amekosea sana bora angenipa mimi
Tunapanua wigo wa watumia kodi zetu tu ! Hilo ndo ninaliona kwenye sakata hilo.
Ukiwa mwenye hofu ya Mungu na mpenda haki,siku zote nafsi itakuwa inakusuta kufanya kazi na wasiopenda haki ni lazima tu utachomoka kama tairi ya gari
Huyu nchimbi anafit sababu ccm haitaki mtu mpole inataka mtu mkorofi kama nchimbi
Kwanini cover story yenu na ndani yake Ni vitu viwili tofauti? Mlichoandika nje Ni tofauti na ndani. Acheni ubabaushaji
Mzee mpango quber iyo ongera ngoja tuone safu ya mwaka huu
Ukiwa mtu wa mungu na mpenda haki ccm di mahali pako
Ccm ni kuzimu subiri mtaona
Mbona live tuliona ,, Kigogo alikuwa wapi
Kigogo ndo kashika nchi sasa hivi ayajisemeaje?
Dr mpango ni mtu hataki kuongoza serikari yenye mashaka. Huyu kiongozi mtakatifu kama wangepatikana watano tuu kwenye uongzi uliyopo hakuna haja ya kuwa upinzani. Huyu.ni mseminari anafunga. Hana tamaa ya madaraka. Mali. Sifa mimi namkubari subiri siku itafika kwa nini hataki madaraka wakati wengine wanalala kwa waganga wa kinyeji.
Hongera mpango kwa maamzi hayo
Hao wasiopenda uchaguzi ujue Kuna siku watauana wenyewe kwa wenyewe
Bana chezeya katibu mukuu asitoke mu CCM
At least amegunduwa vijana na sura mpya zinahitajika .. God bless you for wisdom
Wasira ni kijana?
@florencemeza6540 kwani headline inamzungumzia nani?
Kagundua Vijana kibao ni ma Chawa sio kama enzi zake.
@@florencemeza6540 kwa kweli
Makonda
Yawezekana kua ni uamuzi wa busara!
Hata Mchimbi hatadumu katika nafasi hii kama maovu yanayotamalaki nchini hayatakomeshwa. Ni watu wachache sana wenye hofu ya Mungu wanaweza kuona uovu ukitendeka na kuuvumilia
Akiondoka mpango wekeni mipango au sio
Kichwa cha habari si Sawa na yaliyomo. Kwa waandishi wa namna hii wanaupeo wa kusaidia jamii yetu, kama kichwa cha habari na dondoo ni tofauti. Au uko chekechea unajifunza uandishi Wa habari?
Mbona simuoni kigogo hapo,...viTV njaa hivi.,...AyoTV ataendelea kuwabuluza tu
Tuko pamoja tunaendelea kufatilia siasa za Tanzania kwapande zote.
Shida magumu hayavumiliki,ukweli peupe uongo peupe
AJENGEWE SANAMU YAKE HEWANI....YAANI MWAFRIKA KUKATAA MADARAKA MAKUBWA KAMA HAYO..ISIJE IKAWA HUYU BABA NI MJUMBE KUTOKA MBINGUNI.MAAJABU YA DUNIA....
Nyie watu mnakera sana kichwa cha habar kina utofaut mkubwa na kilichomo ndani ,, kama hamujui mnacho kiongea na kuandika kaeni pemben
Hawa jamaaa ni washamba Sana hawajui Nini wanafanya. Porojo tu habari zenyewe kutafuta. Hawajui. Basi wapo wapo tu wapumbavu Sana. Headline. Na porojo. Anayoongea. Havilingani. Ni kuwapotezea watu Muda WAON tu washenzi hawa.
Hapa duniani wakati mwili ukichoka pumzika
Kuna kitu hapo kwa mpango ndio maana kaamua aache tu
Unaongea kingine na kichwa Cha habari kingine.ludi Tena chuo ukaongeze taaluma yako
mfumo wa habari kwa sasa ni ovuo na holela sana siri ipi kigogo kafichua! kwa vichwa vya habari hivi mrudi darasani
Meacheni watamuua
Hapo Kuna jambo
Jambo unalo wewe!
Baba kaomba kupumzika kwa heshima period!!
Kwahy aliyekataliapo hana heshma?
@selemaniigosha Uliza serikali yako ya kichwani kwako....
hizi chanel uchwala mkutano mkuu umeeleza kila kitu muandishi uchwala unaleta mbambamba
Hawa wafungiwe wanasema tofauti kile kilichoelezwa ktk mkutano maalum wa ccm,,
Huyo kigogo muongo Tena mnafiki kwa nini hakusema before tumechoka.
Tupe ww taarifa za kweli .
Mnajaribu kutengeneza tatizo!
Hata aibu hakuna!
Jana tumeelezwa kila kitu!
Kwani kupumzika kazi kwa heshima ni dhambi??
Tapeli wa habari, unatapeli wafuatiliaji wa habari zako. Unaweka kichwa cha habari kizito afu unakuja kubwabwaja na habari ya historia ambayo tunaijua. Shame on you!
Mnamaliza bundle za watu tu
Punguza kiherere hujatumwa kufungua
Chanzo n bandar
Ovyo
Ni uzushi mpango hawezi kujiuzuli
Yaweza kuwa kweli au....ni figisu za kisiasa!
Kuna mtu muhimu hapa tZ aliwahi kuugua,ikawa siri;kusema tu kwamba anaumwa ikawa kosa la jinsi!
Kw io sirikalini lugha ni ya kuunga tu!