Maisha ya Yesu ni kielelezo halisi cha maisha yetu kama wakristo. Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri na melody nzuri. Sauti zenu zimfikie kila mmoja aliyekusudiwa na kumuokoa.
The Warriors wanazidi kupasua anga la Tanzania, your favorite songs and lyrics are still very blessings to many people of God. I can feel the modes and modulations yaaan so so yummmyyyyy
Am excited with the message, but also seeing you guys progressing | mnaimba vizuri sana | we should one day invite you At Njiro Arusha Karibuni sana. Greetings to Adam mniko😄
Aminaaaa🙏🙏🙏
Amen Amen
Maingu Maingu Amen
Maisha ya Yesu ni kielelezo halisi cha maisha yetu kama wakristo. Mungu awabariki sana kwa wimbo mzuri na melody nzuri. Sauti zenu zimfikie kila mmoja aliyekusudiwa na kumuokoa.
Amen. Glory to God. Jina la Bwana lipewe sifa
Mbarikiwe Sana songeni mbele kwa kazi ya Mungu
Mungu awabariki The Warriors. I will join you one day.
Twakusubiria kwahamu kubwa karibu tutumike shambani mwa Bwana kupitia uimbaji
Amen amen amen.Kazi njema Sana The warriors.Mungu azidi kuwainua.Tunabarikiwa sana
Amina ubarikiwe piaa
Safi sana watumishi. Mbarikiwe sana
Amina Asante sana Rafiki. Glory to God
Barikiweni sana. Wimbo mzuri na unatia moyo. Nawapenda sana
Asante Fadhili. Mungu akubariki
So nice so blessing
The warriors may God bless abundantly 🌹🌹🌹
Amen. Glory to God
Kazi nzuri mbalikiwe Sana
Amina Asante Amri. Usiache ku subscribe na kushare ili wengi wapate ujumbe huu. Mungu akubariki
Ameeeen 🙌🙌
Mzidi kubarikiwa
Amina. Asante Tajiel.
Napenda sana nyimbo zenu zinanibariki,Mungu azidi sana kuwabariki na kuwainua kihuduma
AMEN barikiwa sana nmefurahi sana ujio wenu mafia sda church kambini mnatubariki sana...
Mbarikiwe sana
Blessing indeed
Amen. Glory to him
Be blessed much the Warriors voices
Glory To God
Thank you Doreen. Glory to God
The Warriors wanazidi kupasua anga la Tanzania, your favorite songs and lyrics are still very blessings to many people of God. I can feel the modes and modulations yaaan so so yummmyyyyy
Asante Mwalimu. Kwa compliments. Mungu apewe sifa
Mbarikiwe sana, mnanibariki
Mubarikiwe
Hongereni Sana, uliuchukua ubinadamu, uliishi nyuma ya Saremala
Asante sana January
Mbarikiwe kwa nyinbo zenye.harmony nzuri.
Asante sana. Ubarikiwe pia Pasensa
Wimbo mzuri wenye ujumbe mzuri,sauti zimepangika vizuri mbarikiwe mfike viwango vya juu.. nimewapenda
Asante Carolyne. Ubatikiwe. Usisahau ku subacribe, na ku share kwa wengine. 👏👏
God's Mission in you is very greaty and awesome😍😍😍😍😍🙌🙌🙌🙌🙌let him be glorified always..
Mwalimu hii Talent yako ya miaka Mingi. Mbarikiwe sana. Muziki wa tofauti sana huu
To God be the Glory
Amen 🙏... Sabbath blessings 🥳
Amen Glory to God
Beautiful voices..perfect harmony. The song has a lovely message too. God bless you all
Thank you. Glory to God. Welcome to our channel. Plz subscribe for more coming videos👏👏
Gongereni sana mnaimba vizuri
Asante ssna
Aksante sane
Good song
My all time favorite.. guys do more of this well arranged some..much love from Kenya ❤❤❤❤❤❤❤
Thank you so much. Soon we will be releasing two songs. Stay tuned.
Am excited with the message, but also seeing you guys progressing | mnaimba vizuri sana | we should one day invite you At Njiro Arusha Karibuni sana. Greetings to Adam mniko😄
I Think for now you are the best Singing group. You guys have your style. Mjinyenyekeze mtafika mbali. Shetani akiwajaribu ombeni sana
Asante sana Robi. Tuombeane tumyinue Mungu