Mshauri wa Usalama wa Marekani afanya mazungumzo na Rais Xi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ก.ย. 2024
  • - Mshauri wa Usalama wa Marekani amekutana na Rais wa China Xi Jinping katika ziara ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili.
    - Shirika la la Marekani USAID limeimarisha juhudi za kupambana na dhulma za kijinsia nchini Kenya.
    Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
    #VOASwahili
    Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

ความคิดเห็น • 5