@seramati it's hard to tell who is involved unless you have have been delivered and walking same path with God that's the only way you can find the demons 😈 doing this evil acts .
Kwanza Poleni Kwa wale wote wamefiliwa na wale wameunguwa wapona haraka . Tuombe sana sababu Kenya tuko na maafa mingi sana ambao haielweki . Na Kiswahili ya huu zamaa ni sawa kabisa .
Nakumbuka nihuu mwaka kulikuwa na voice clip iliyokuwa ikizunguka kwa groups za WhatsApp sjui ninabiii aliyekuwa anatoa ujumbe yakuwa mungu amekwambia kua tuombe sana nazaid tuombee watoto washule 😢 😢 jukutakuwa na vifo mingi nawengi watakuwa vijana nawatoto washule 😢😢😢😢haikuchkua mda shule moja ikaanguka ukuta ikaua watoto 😢ileajali pia watoto wa university 😢😢saii hiyo tena watoi wameteseka kwamoto had kupoteza maisha jaman 😢😢😢😢 yan kenya majanga hayaish 😭😭😭
hii ni kafara, sparks za bulb zinaaezaje choma bed, they sacrifice our children tunateta kidogo na hiyo kitu inaisha hivo, bt pia wazazi mtoto wa 9yrs unaezaje mpeleka boarding me i quit business coz of my child, this kenya only GOD will help us, Kafara! na siogopi kusema inauma sana
those kids are too young to sleep alone. they should sleep with housemothers and house fathers.its possible when they awoke they couldn't locate the exits
Through inestigations need to be done , Children cannot be lost just like that and if there is anybody responsible should face the full force of law. Watoto watachomekea shule aje hao ni watoto wengi sana .Pole kwa waathiriwa wote
The fires,the accidents,suicides murders, fake prophets 😢this is too much Kenyans lets wake up n pray akii,blood of Jesus reign upon our nation,oh Lord remember mercy🙏🏻🙏🏻 😢😢😢
Ifungwe kabisa akuna sequlity hapo ifungwe kabisa hiyo si shule hawako serious na watoi amani sacrifice.tuwe tukiombea mashule juu wengi Wana omba devil 😈😈😈😈 ifungwe kabisa akuna sequlity hapo
My deep condolences to the dear parents who had lost thier children, l emphasize with you and pray that God will comfort you and His grace be sufficient, l pray that His peace that surpasses all understanding be upon you. I also pray for those children admitted in different hospital quick recovery, finally l want to encourage those parents who so far have not managed to get thier children to be at peace God is in control and you my prayers is that you will find safe and sound in Jesus name. There God who wipe away tears. God loves all in all situation 🙏
Men ought to pray always. Those prayers saved life. They changed the atmosphere of the area. If God was not present, it could have been worse. May Almighty God comfort the bereaved parents
But they don't tell what caused the fire.....this is too tragic.. Someone find out ...there should be a strict law to ensure always an adult sleeps in the same dorm with the kids.. they are barely 10-12 years olds..What does the guidelines say on safety and emergency preparedness in such cases.
Am also wondering why there was nobody like a matron sleeping in the dormitory with children she can have a small private room in the dormitory.She could have called for help .What could have caused this fire one of my thoughts maybe a person who have a grudge with owner of this school caused this ,or power voltage fault .A fire cannot come from nowhere an kill all those young children.very sad case
Wow the eye witness is a good reporter.May God bless you for the good work
Some of this fires in schools are associated with evil spirits as way of sacrifices. Parents pray for your children always.
True this is not normal, may whoever is involved in this never have any peace in this land of the living
@seramati it's hard to tell who is involved unless you have have been delivered and walking same path with God that's the only way you can find the demons 😈 doing this evil acts .
Kwanza Poleni Kwa wale wote wamefiliwa na wale wameunguwa wapona haraka . Tuombe sana sababu Kenya tuko na maafa mingi sana ambao haielweki . Na Kiswahili ya huu zamaa ni sawa kabisa .
Nakumbuka nihuu mwaka kulikuwa na voice clip iliyokuwa ikizunguka kwa groups za WhatsApp sjui ninabiii aliyekuwa anatoa ujumbe yakuwa mungu amekwambia kua tuombe sana nazaid tuombee watoto washule 😢 😢 jukutakuwa na vifo mingi nawengi watakuwa vijana nawatoto washule 😢😢😢😢haikuchkua mda shule moja ikaanguka ukuta ikaua watoto 😢ileajali pia watoto wa university 😢😢saii hiyo tena watoi wameteseka kwamoto had kupoteza maisha jaman 😢😢😢😢 yan kenya majanga hayaish 😭😭😭
Huyu chali anaerezea vizuri sana
@@annemurugiwambui5031 Ako eloquent or?
hii ni kafara, sparks za bulb zinaaezaje choma bed, they sacrifice our children tunateta kidogo na hiyo kitu inaisha hivo, bt pia wazazi mtoto wa 9yrs unaezaje mpeleka boarding me i quit business coz of my child, this kenya only GOD will help us, Kafara! na siogopi kusema inauma sana
Aki Pole Kwa Familiaaa Wazazi Not Easy Ooh God
Uyu anatueleza vizuri 😢😢ila watoto 70 wako wapi
those kids are too young to sleep alone. they should sleep with housemothers and house fathers.its possible when they awoke they couldn't locate the exits
Kwani huwa watoto wanafungiwa na inje kama kuku dhen hakuna watchman hio shule
@@cirekage asking the same
Aki God comfort this families its not easy
Hakuna watchman hii shule jamani
Where is the directo😊
Hyu jamaa ako sawa kiswahili sawa
@@leahgituku3035 ni product ya quality education siyo wheelbarrow nonsense.
@@MwangiMuhammad-q8r ukweli sio wheelbarrow nonsense
@@susanndungu7293 yes, but daaah,,,pole kwa hizo families
Through inestigations need to be done , Children cannot be lost just like that and if there is anybody responsible should face the full force of law. Watoto watachomekea shule aje hao ni watoto wengi sana .Pole kwa waathiriwa wote
Watoto waliteseka jaman yani mtuunakufa unaona 😭😭😭😭😭😭😭😭😭 😭😭
The fires,the accidents,suicides murders, fake prophets 😢this is too much Kenyans lets wake up n pray akii,blood of Jesus reign upon our nation,oh Lord remember mercy🙏🏻🙏🏻 😢😢😢
Poleni sana for whats happens with fire
Very Painful indeed but God comfort the Affected Families
Wow Phillip,my school mate but my condolences to those affected
Ifungwe kabisa akuna sequlity hapo ifungwe kabisa hiyo si shule hawako serious na watoi amani sacrifice.tuwe tukiombea mashule juu wengi Wana omba devil 😈😈😈😈 ifungwe kabisa akuna sequlity hapo
That man explains well
Very sad no parent should go through this may the lord comfort them 😭😭
Poleni sana kwa familia.
Huyu atafutiwe kazi kwa media jameni kiswahili sanifuu
Akh poleni sana kwa familia 😢😢
Poleni sana kwa familia 😢😢
My deep condolences to the dear parents who had lost thier children, l emphasize with you and pray that God will comfort you and His grace be sufficient, l pray that His peace that surpasses all understanding be upon you. I also pray for those children admitted in different hospital quick recovery, finally l want to encourage those parents who so far have not managed to get thier children to be at peace God is in control and you my prayers is that you will find safe and sound in Jesus name. There God who wipe away tears. God loves all in all situation 🙏
Kwani Kuna kuwaga na kesha ya Thursday?
@@Doris-jr5kk of course
@@Doris-jr5kk Maombi ni ya kila wakati
Yes kuna Kesha ya Thursdays na Kwa Kila siku . Sio sababu ya maombi ni mazoea tu .
Men ought to pray always. Those prayers saved life. They changed the atmosphere of the area. If God was not present, it could have been worse. May Almighty God comfort the bereaved parents
Jana usiku si Friday
Kwani dormitory zilichomeka zote
They are for organ harvesting which is legal in Uganda
Mimi Sitaki kuwatch tena
Watoto wako wapi 70 haki 😭😭
It pains me alot
Haiya huyu ni gathogo
😭😭😭 very traumatizing
So painfull 😢😢😢
Otherwise pole sana. So sad
Pole kwa wazazi
Aky
Very sad. God 😭😭😭😭
But they don't tell what caused the fire.....this is too tragic.. Someone find out ...there should be a strict law to ensure always an adult sleeps in the same dorm with the kids.. they are barely 10-12 years olds..What does the guidelines say on safety and emergency preparedness in such cases.
Am also wondering why there was nobody like a matron sleeping in the dormitory with children she can have a small private room in the dormitory.She could have called for help .What could have caused this fire one of my thoughts maybe a person who have a grudge with owner of this school caused this ,or power voltage fault .A fire cannot come from nowhere an kill all those young children.very sad case
Inna lillahi, wainairayhi rajiûn 😢
Hey Jeffa C
Very painful
😢
😭😭😭😭😭
😢😢😢😢😢