WATU WAANGUA VICHEKO IKULU, MANARA AKIMWAMBIA RAIS MAGUFULI "IPO SIKU UTAWAITA SIMBA IKULU"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 93

  • @davidmanyilizu7351
    @davidmanyilizu7351 5 ปีที่แล้ว +117

    Kama una mpenda haji manara mie wa kwanza ku comment like zenu jamani kwangu

  • @allymwazoa3033
    @allymwazoa3033 5 ปีที่แล้ว +15

    Umeongea vizuri sana Bro haji.mungu aibariki Tanzania na Rais wetu mpendwa

  • @bakarirashidi9533
    @bakarirashidi9533 5 ปีที่แล้ว +28

    manara umetisha kwa kujieleza

  • @hosearwechungura5391
    @hosearwechungura5391 5 ปีที่แล้ว +19

    Baba unaweza Manara

  • @sosojay3783
    @sosojay3783 5 ปีที่แล้ว +6

    Mwakinyo sasa hivi atatangazwa kuwa mshindi wa dunia 2:10 nimeipenda hiyi

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 5 ปีที่แล้ว +6

    MM SIO SHABIKI WA SIMBA,ILA UKO VIZURI.

  • @alistachiusleo2506
    @alistachiusleo2506 5 ปีที่แล้ว +3

    Asante sana De le boss kwa maneno yako murua

  • @beatricemapembe8941
    @beatricemapembe8941 5 ปีที่แล้ว +11

    Mbona umesahau kuitaja kamati ya ufundi ya simba kwa muheshimiwa!!!

  • @saitotiolenjoro9693
    @saitotiolenjoro9693 5 ปีที่แล้ว +9

    Manara uko vizur sana. Kama Itakupendeza ebu Tafuta jimbo 2020 hasa kupitia ccm ili ukuze kipaji chako. Badala yakusaidia simba pekee basi watanzania wote wakufaidi.

  • @danielmwashiuya5863
    @danielmwashiuya5863 5 ปีที่แล้ว +2

    Unatisha mzee baba manara

  • @modelmamodel4229
    @modelmamodel4229 5 ปีที่แล้ว +4

    Nimekuelewa manala safii

  • @costantinejoseph4907
    @costantinejoseph4907 5 ปีที่แล้ว +6

    haji unaongea kama kiongoz wa nchi hahaha

  • @fanuelnii9404
    @fanuelnii9404 5 ปีที่แล้ว +2

    Kuongea hakuleti maendeleo but implementation of the action ndo inachefua watu

  • @mlebingejanet9664
    @mlebingejanet9664 5 ปีที่แล้ว +3

    Your so smart papa manara and you know what do you doing

  • @allyabeid4188
    @allyabeid4188 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana manara

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 5 ปีที่แล้ว +1

    Love Tanzania

  • @hijazhija316
    @hijazhija316 5 ปีที่แล้ว +1

    Ukuu wa wilaya

  • @anuaryjuma7368
    @anuaryjuma7368 5 ปีที่แล้ว +2

    Nice bro..

  • @mselemsalim1986
    @mselemsalim1986 5 ปีที่แล้ว

    MANARAA ULIPO NIPO...

  • @SeekersTv671
    @SeekersTv671 5 ปีที่แล้ว +2

    Suzan academy IPO pamoja na taifa stars kama na wewe upo pamoja nao basi tuunge mkono kwansubscribe like and comment our posts, asanteeee

  • @paulmushi2292
    @paulmushi2292 6 หลายเดือนก่อน

    Ulipokua Simba ulikua na nuru huko uliposasa unateseka sana

  • @jennifergsm8186
    @jennifergsm8186 5 ปีที่แล้ว

    Manala noma xana

  • @iddshoo1260
    @iddshoo1260 5 ปีที่แล้ว +1

    DELA BOS UMEELEWEKA SANA TU

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 ปีที่แล้ว

    Nyuma ya haji manara kuna mtu anachungulia😂😂

  • @omarymwigura328
    @omarymwigura328 5 ปีที่แล้ว

    Abbydinyo wakikale yanga vs Tp mazembe Kumbuka ilikua bure SIMBA wanalipa viingilio ingekua bure je

  • @abbydinyowakikale7730
    @abbydinyowakikale7730 5 ปีที่แล้ว

    Acha uongo manara ,yanga vs tp mazembe,uwanja ulicheuwa mpaka watu walizuiwa kwa mabomu ya machozi,tena mwaka juz tu,mnajifanya mmesahau..

  • @yassnhabaas2847
    @yassnhabaas2847 5 ปีที่แล้ว +3

    yanga wanateseka manara akiongea huondoo ukweri baada yatimu yataifa inafwata simba yanga mrishirki rigi yamabingw maratano mfurizo hamjafika hatamakundi harafu mnareta wivuwenu usionampango

  • @augustinojohn4764
    @augustinojohn4764 5 ปีที่แล้ว +4

    Manara umekosea sana, Mngechukua Africa bt tatzo mmeivest kwenye nguvu zenu.. Mngemuweka MUNGU kwanza alaf nguvu zingefata

    • @allyabeid4188
      @allyabeid4188 5 ปีที่แล้ว

      Augie platinumz kaongee wewe

    • @marktumain1140
      @marktumain1140 5 ปีที่แล้ว

      Nan kakuambia atuja mweka Mungu mbele ktk mipango yetu

    • @augustinojohn4764
      @augustinojohn4764 5 ปีที่แล้ว

      mark tumain ww mm mwnyw simba uelewe ivo, kwn hujamskia manara kaongeaj apo?

  • @aminanzeyimana3676
    @aminanzeyimana3676 5 ปีที่แล้ว +1

    haji kichwa ilitulia mzuka wa simba ulikutoka hahahaha

  • @khadijanjama9016
    @khadijanjama9016 5 ปีที่แล้ว +4

    Jembe

  • @badenbensoni7516
    @badenbensoni7516 5 ปีที่แล้ว +2

    Tujivunie tz

  • @johnsonfrodianus6237
    @johnsonfrodianus6237 5 ปีที่แล้ว +1

    Hajiiii

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 5 ปีที่แล้ว +2

    Namijituinapiga makofi magu mwenyewe ameongea hamna usimba wala uyanga sizani kama timu itaelewana kwakuleta simba na yanga apo wao ndowataharb ao manara umenichefua mana hajaongelea taifa star apo

    • @hassansalum5362
      @hassansalum5362 5 ปีที่แล้ว +1

      Yanga mtajwe kwa mpango gani na hamuwakilishi kitu

    • @allyabeid4188
      @allyabeid4188 5 ปีที่แล้ว +1

      naslam gollo utajiju this is simba

    • @marktumain1140
      @marktumain1140 5 ปีที่แล้ว +1

      Akuna T stars bila ya cmba so jitulize

  • @lakiabalozi6600
    @lakiabalozi6600 5 ปีที่แล้ว +1

    Ovyooo

  • @gggjjahhhh9419
    @gggjjahhhh9419 5 ปีที่แล้ว +4

    Simpendi huyu manara basi tu usimba simba kwakila jambo khaa nyie ndio mnaofanya Tanzania isiendelee kimpira kwaubaguzi wenu wakisenge.

    • @kulwamigo9127
      @kulwamigo9127 5 ปีที่แล้ว

      Utampenda tu, chuki za nn? Wanaochezea simba ndg.zako pia wapo wasiyo watz ..chuki za nn? Watu wanataja man u,liver, real Madrid sembuse simba..Roho za namna hii mnazitoa wapi jamani!?

    • @allyabeid4188
      @allyabeid4188 5 ปีที่แล้ว

      Gggjja Hhhh kwani yeye anakupenda? Inamtosha simba kuipenda

    • @gggjjahhhh9419
      @gggjjahhhh9419 5 ปีที่แล้ว

      Aache usenge sasa kama pale laivyotekwa Mo maneno aliyokuwa anayaongea kwamba wanasimba ndio wameguswa aliongea vzr?anaubinafsi sana ttz

    • @gggjjahhhh9419
      @gggjjahhhh9419 5 ปีที่แล้ว

      @@allyabeid4188 Sasa wewe shabiki wasimba anakupenda?anakujua?wemsenge kumbe utaishia kumuona hvyo hvyo kwenye mitandao manina zako kelele nyingi namidomo mingi wanaopata soda wengine

    • @2116-n
      @2116-n 5 ปีที่แล้ว

      @@gggjjahhhh9419 kaka ustaraabu kitu chema, mbona unatoa matusi hivi kwa jambo dogo tu hili la hapa duniani!? tena la kupita tu?

  • @mtakamaonline7748
    @mtakamaonline7748 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndugu karibu mobisol ujipatie solar bora na guarantee ya miaka 4 pia ujipatie na zawadi zetu pamoja na offer zetu kama vile Tv inch 22-43,water filter,na jikokoa.karibu sana mobisol katika msimu huu utajipatia offer mbali mbali .pia katika msimu wa mvua mobisol tupo vzuri ikikata moto turudishie mtambo wetu huduma zetu ni za uhakika.ukihitaji solar yetu mda wowote nitafute kwenye namba hii 0764325083\0654362426

  • @marcobulili4341
    @marcobulili4341 5 ปีที่แล้ว +2

    Uwanja hii ulijazwa kwa mara ya kwanza enzi za maximo acha uongo Haji

    • @naslamgollowatuacheee9852
      @naslamgollowatuacheee9852 5 ปีที่แล้ว

      Anachefua kaulizwa maswala ya simba apo aaaa

    • @elishafundi2860
      @elishafundi2860 5 ปีที่แล้ว

      Marco Bulili kuwa mkwel bhana

    • @marktumain1140
      @marktumain1140 5 ปีที่แล้ว

      Acha unafik nan kakuambia uwanja ulijaa enzi za maxmo ebu tuambie game gan watu waliujaza uwanja ata ile ug ya ufunguzi wa uwanja Bado kulikuwa na magap kibao

    • @julysusa5998
      @julysusa5998 5 ปีที่แล้ว

      Manara ni noma... napenda psychology yako

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 5 ปีที่แล้ว +1

    Wanaleta usimba simba hapa chefu

    • @rachelchengula3379
      @rachelchengula3379 5 ปีที่แล้ว

      Imekutachi iyo kizur lazma kisifiwe Acha uboya wewe ovyoooo

  • @frenknyakata
    @frenknyakata 5 ปีที่แล้ว +1

    Jamani hakuna darasa linalokosa wajinga jamani unaumia na huna mchango wowote ni ujinga sana

    • @davidchesco52
      @davidchesco52 5 ปีที่แล้ว

      Hakika na ww mjinga sana zero brain tatizo nn kakosea nn

    • @frenknyakata
      @frenknyakata 5 ปีที่แล้ว

      Nazani msafara wa kenge na sisimizi wapo

    • @daudmaduu4852
      @daudmaduu4852 5 ปีที่แล้ว

      chuki binafsi

  • @naslamgollowatuacheee9852
    @naslamgollowatuacheee9852 5 ปีที่แล้ว +1

    Usituletee habar za simba hapa hawa ndowatakao haribu hawa

    • @hassansalum5362
      @hassansalum5362 5 ปีที่แล้ว

      Simba wawakilishi lazima watajwe

    • @kulwamigo9127
      @kulwamigo9127 5 ปีที่แล้ว

      Angetaja man u,msingetukana...ila kutaja simba mmevimba...watanzania c ugonjwa unaotukumba...yaan mtu kuwa yang/simba...ni nongwa. Wakati huo huo kuna wachezaji wanatoka simba wacheza yanga na wa yanga waja kucheza simba. Zaidi ni ndg.zetu...kinachowauma nn jamani?

    • @isayakilindo6883
      @isayakilindo6883 5 ปีที่แล้ว

      Kama ni percent ningekupa 100% congratulation for nice speach

    • @marktumain1140
      @marktumain1140 5 ปีที่แล้ว

      Kwa nn yanga mnateseka lkn?

  • @beatricenicholausiwasa7601
    @beatricenicholausiwasa7601 5 ปีที่แล้ว

    wacha usimba weka utazania kwanza

    • @allyabeid4188
      @allyabeid4188 5 ปีที่แล้ว +1

      Beatrice Nicholaus I was a hata simba niya Tanzania acha uchura wewe

    • @saalimmohammed3256
      @saalimmohammed3256 5 ปีที่แล้ว

      Na Aanjeze kuuwacha usimba kwa mfano.?

  • @RajeshChauhan-wb9pm
    @RajeshChauhan-wb9pm 5 ปีที่แล้ว +1

    Simba nindoto tu wako warabu

    • @marktumain1140
      @marktumain1140 5 ปีที่แล้ว

      Kwan Ally ally na soura wale wahispania au waingereza?

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 5 ปีที่แล้ว

    Yani kuogeeeea kooooote kule aliogea rais kuhusu mitimu webado tu waleta ufyuiza wako hapa
    Mi sina tim ila LOL

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว +1

    This is......

  • @papayatnzania1005
    @papayatnzania1005 5 ปีที่แล้ว +3

    to be honest kwakweli mimi sijakuelewa sasa ndio nini uwanja tumeujaza sisi upende wa simba? watu kama hawa wafungieni milele wasijihusishe na soka la Tanzania hawa ndio wanaoludisha nyuma soka yetu kama angekua anajitambua hio simba yenu ingekua na Academy bora Tanzania nzima lakini hilo halipo na je simba ina uwanja wake? jibu hakuna so ni bora you be quite ndugu yangu mpaka nakuonea huruma kwa hayo unayosema nipo huku uingereza najionea watu walivyo na u serious kwenye soka kwa hiyo hayo maneno yako binafsi sikuelewi yaani nikama unatwanga maji kwenye kinu amkeni watanzania soka sio kuchonga ndomo soka ni vitendo ubunifu na u serious full stop

    • @naslamgollowatuacheee9852
      @naslamgollowatuacheee9852 5 ปีที่แล้ว

      Kanichefua aswa

    • @naslamgollowatuacheee9852
      @naslamgollowatuacheee9852 5 ปีที่แล้ว +1

      @@johnmsuva4117 kahamasisha nini apo zaid yakujipa promo tu ukinga analeta ubaguzi apo kuna chaumuhimu alichoongea cha taifa star

    • @hassansalum5362
      @hassansalum5362 5 ปีที่แล้ว

      Kaongea vizuri vilevile kaipa ujiko timu yake

    • @travodavie9518
      @travodavie9518 5 ปีที่แล้ว

      Umuhimu wa manara katika taifa lake ni mkubwa kuliko we unayeleta mifano ya uingereza ambapo ni nchi zilizoendelea... Sijaona kibaya alichosema kwa kutaja simba coz ni club ya Tz na inapofanya vzr still inaipa sifa Tz, mashabiki wa simba ni watazania vilevile haimanishi simba ni timu haramu kwa Tz,, na ndo maana rais huyohuyo kasema hapendi kuona washabk kushangilia timu ngeni pale zijapo nchin by the way simba juzi tu imetoka kufanya vzr so lazm pia awe proud na hilo coz inaleta mapato nchn,, kwani waliompa Jukumu la kuhamasisha hawajui kuwa yeye ni simba? Tunaipenda timu ya taifa strz na simba vilevile

    • @gabumasalu9785
      @gabumasalu9785 5 ปีที่แล้ว

      Safi Sana sana