TAMASHA LA SIKU YA MBINGU KUJAA SIFA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • All our voices to our Lord God the creator of the universe.We will not stop,THE GLORY AND GREATNESS IS WITH HIM forever and ever,Amen

ความคิดเห็น • 20

  • @josephogonyi7004
    @josephogonyi7004 9 หลายเดือนก่อน +7

    Tumsifu yesu kristu naipenda sana hii kwaya mko powa sana katika utume huu ushauri wangu mtubadilishie ladha katika matamasha yajayo watu wasiwazoee katika mlengo huu tu ambao umezoeleka kwa wengi uimbaji wenu hauna mashaka hata kidogo walau mtu badilishie radha ya nyimbo ili tusichoke kuwafatilia nawapenda sana mungu azidi kuwabariki ndugu zangu wa KMK makuburi🙏🙏🙏

    • @zachariagerald
      @zachariagerald 9 หลายเดือนก่อน

      Asante sana tumeuchukua ushauri kwa unyenyekevu mkuu 🙏🏼

  • @antonobwogeofficialyakuzaa3167
    @antonobwogeofficialyakuzaa3167 8 หลายเดือนก่อน +1

    Nape da nyimbo zenu sana natamani nikuje Tanzania siku Moja just vacation 🥰🥰🥰🔥🔥💪💪🙏 support

  • @agustermapunda4304
    @agustermapunda4304 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mubarikiwe sana kwa utume❤

  • @Hilgath
    @Hilgath 9 หลายเดือนก่อน

    NITASIMULIA NCHI YESU NI MWEMA YESU NI MWEMA💃💃💃💃💃💃 UMEITENDEA HAKI NAFASI MLIYOPEWA KUIMBA💃💃

  • @aikaassey5507
    @aikaassey5507 9 หลายเดือนก่อน

    Bwana awabariki kwa kipaji chenu muendelee kueneza injili ya Mungu kwa nyimbo

  • @Hilgath
    @Hilgath 9 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana uimbaji wenu Mungu awabariki sana ❤🎉❤

  • @Bonnae..11
    @Bonnae..11 9 หลายเดือนก่อน +2

    I want to say that we always love you guys but kmk digital platform please work on sounds I want to hear everything including drums bass tenor and alto 🙏🙏🙏🙏asanteni sana kwa ujilishanji wenu mzuri God is happy

    • @user-qr4dk9my7p
      @user-qr4dk9my7p 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa sauti ya tenor and bass hai sikiki kabisaa

    • @user-qr4dk9my7p
      @user-qr4dk9my7p 8 หลายเดือนก่อน

      Kabisaa sauti ya tenor and bass hai sikiki kabisaa

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 9 หลายเดือนก่อน

    Haya majamaa yanaimba aise mungu awazidishie katk Maisha yenu mnainjilisha vzr sana 🙏

  • @godfreyngoloka9017
    @godfreyngoloka9017 9 หลายเดือนก่อน

    Hongereni Sana ndugu na rafiki zangu ktk Kristo

  • @agostinojoseph1951
    @agostinojoseph1951 9 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉🎉🎉🎉 wacha niwapatie maua hamna kingine baraka tele🥳🥳🥀🌹

  • @octavinaalphonce6898
    @octavinaalphonce6898 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mmependeza haswa❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @VinnyBecka-kx2wm
    @VinnyBecka-kx2wm 9 หลายเดือนก่อน

    Hingereni jaman kmk kwa utume mzuriiii

  • @albertmaneno
    @albertmaneno 9 หลายเดือนก่อน

    Saafi...kazi nzuri. Uwakilishi saafi

  • @AnnaPatric-kc3zi
    @AnnaPatric-kc3zi 9 หลายเดือนก่อน

    Mbarikiwe sana KMK

  • @raphaelomwenga5436
    @raphaelomwenga5436 9 หลายเดือนก่อน

    Please always use this system to do sound recording,it's awesome

  • @fridoliusrushunju9093
    @fridoliusrushunju9093 9 หลายเดือนก่อน

    👏👏🙏