MRISHO MPOTO :ACHA KUTEMBEA PEKU MZIKI WAKO NI WAWAZEE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 181

  • @officialbntrasool5223
    @officialbntrasool5223 3 ปีที่แล้ว +8

    Mrisho mpoto ameniinspire kwenye utunzi🤗🤗🤗 nmpenda sana

  • @EastCoasTGorilla90
    @EastCoasTGorilla90 3 ปีที่แล้ว +10

    Salute Sana mpoto!! Wengi hawawez kumuelewa..lakin Kama unajua unajua tuh. Uncle ni spiritual teacher na lazima uwe open-Minded kuweza kumsoma vizur..wengi bado mental enslaved to see the real picture..they not ready for this know-ledge.

  • @temboebeati5293
    @temboebeati5293 3 ปีที่แล้ว +3

    Mo Unazingua sana Unapenda kutembeleea sehem zinajiludia wakat dar ni kubwa Sana achen upendele

  • @hamedabashir9
    @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +26

    Walosema mo kahama wa Safi tyuwazomee kina mwijaku mm binafsi na kufatilia nikiwa omani

  • @ab3ab313
    @ab3ab313 3 ปีที่แล้ว +2

    Mrhisho mpoto nakupenda bure mungu akupe maisha marefu

  • @lelarubea6405
    @lelarubea6405 3 ปีที่แล้ว +14

    Sanya unafanya kazi vizuri sana

  • @dopekillerchiwanda7574
    @dopekillerchiwanda7574 3 ปีที่แล้ว +78

    Kama Ni mdau wa sanya like apa plz

  • @khamisbakar7637
    @khamisbakar7637 3 ปีที่แล้ว +2

    Umekosa jibu katika dunia kila mmoja ana maisha style yake

  • @mgallason...5686
    @mgallason...5686 3 ปีที่แล้ว +2

    Wengi wanasema ni utamaduni na kudumisha mila, ukweli ni kwamba ukitembea pekupeku hasa Kwa kuikanyaga ardhi moja Kwa moja unakuwa unaongeza immunity Kwa kiwango cha juu sana, Kifupi unakuwa unaunganisha uumbaji wa mwenyezi #Mungu. Kuna faida kubwa sana kiafya kuikanyaga ardhi japo Hata Kwa Kutembea pekupeku Kwa muda wa nusu saa au zaidi Kwa siku na si tiles au cement.

    • @richardibrahim5609
      @richardibrahim5609 3 ปีที่แล้ว +1

      Yes true unastimulate nerves from kisigino. Unashauriwa angarau kwa wiki tembea peku kwa cku moja. Ndo maana wazungu hucheza mpira peku kwny fukwe za bahari. So kukanyaga mchanga is very important than cement floor

    • @mgallason...5686
      @mgallason...5686 3 ปีที่แล้ว

      @@richardibrahim5609 ndio maana Watoto na vichaa immunity zao Ziko juu sana because Watoto muda mwingi wanakuwa peku na vichaa muda wote wako peku.

  • @martinsimba977
    @martinsimba977 3 ปีที่แล้ว +18

    Sanya nembo ya mtaa 😁😁😁😁 ulinitisha mwanangu kutoka wcb 4life✊

  • @gerkombo6512
    @gerkombo6512 3 ปีที่แล้ว +19

    Wabongo wanafiki sana

  • @johnteonas3144
    @johnteonas3144 3 ปีที่แล้ว +2

    Mrisho Mpoto sio Mtu wakuchukiliya poa, mi napenda nyimbo zake sana

  • @famitoissa5706
    @famitoissa5706 3 ปีที่แล้ว +16

    Mor touwn sanya siku 1 utembelee, mji mkuu wa MOZAMBIQUE, hapa Maputo, kwa garama zangu Mr sanya.

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 3 ปีที่แล้ว +16

    Ebwana uyo muongeaji wa kwanza ana akili za kufikirika.. chap chap na anajua anacho kizungumza

  • @lyrics_forum
    @lyrics_forum 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyo Ana Maisha Mazuri, Hafanyi kazi Ngumu, Sasa mchimba mikaa na Watu wa Mbugani igeni Msikilizie😁

  • @Balogetv
    @Balogetv 3 ปีที่แล้ว +5

    MoSanya Unafeli
    wap Sasaivi mbona Ile Gonga Beat! Hakuna Aah Acha
    Ivo Bas Gonga Beat Nisehem Yakutufanya Ku Batasam
    🤣🤣🤣🙏🙏🔥🔥

  • @mackeyofficial2777
    @mackeyofficial2777 3 ปีที่แล้ว +3

    Atembei peku muongo uyo...Kioo cha jamii lakn ndio mpotoshaji jamii....

  • @comrademifajr8592
    @comrademifajr8592 3 ปีที่แล้ว +15

    Unazngua sanya ....gonga beat hueki

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 3 ปีที่แล้ว +3

    Magonywa mengi
    Ya milipuko Mzee mrisho
    Vaa vihata bwana
    Zaman siyo kama
    Sasa iv matunda yooote
    Yanapandiwa daw ikiwemo embe
    Pala chichi nanasi
    Na siku ukiwa unaenda sokon
    Matunda mengi unakuta
    Yame mwagika mwagika
    Yale yaliyo oza oza
    Wew unavyo enda kuchukua matunda
    Yakula na familia yako inakuaje aukanyagi uwozo wamatunda Ayo
    Muda unaenda sokon!??

  • @kilimanjaro9591
    @kilimanjaro9591 3 ปีที่แล้ว +12

    He’s right ila mazingira ya zamani na leo siyo sawa👎🏿👎🏿😅
    Plus unaposema mazingira ya zamani- tunasema ni ile mazingira ya countryside cyo miji wala industrial areas🤣

  • @mathewdeus3036
    @mathewdeus3036 3 ปีที่แล้ว +10

    Mrisho mpoto 💥💥💥

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 3 ปีที่แล้ว +6

    Hivi ni kweli Mrisho mpoto anatembea peku 😂😂

  • @fundirangi6453
    @fundirangi6453 3 ปีที่แล้ว +8

    Nani kagundua sanya kasema Mpoto sogea huku wasije waka kugonga😂😂 akasema MPOTO SOGEA HUKU WASIJE WAKA akaishia hapo😂😂😂😂😂😂

  • @ismailbashirwa3077
    @ismailbashirwa3077 3 ปีที่แล้ว +5

    Love from WE THE LOCALS TV 🇧🇮

  • @akonchris6692
    @akonchris6692 3 ปีที่แล้ว

    Mrisho Mpoto yuko sawa.....anaconnect ardhi which is true

  • @georgembilinyi2824
    @georgembilinyi2824 3 ปีที่แล้ว +2

    Uy mpoto mwong cku ya mazish ya dkt John pomb magufur....camer zilimnasa akiw amevaa sendo leo yup peku mwong uyu.....

  • @boaziefraim5503
    @boaziefraim5503 3 ปีที่แล้ว +12

    Kuna sababu ya yeye kuvaa hivyo, good

  • @reginaphilimon782
    @reginaphilimon782 3 ปีที่แล้ว +9

    Yaaani ulijua kutupa muhaho jmni duuuh nimeturahi kukuon ten😀😀

  • @iamprincefelix
    @iamprincefelix 3 ปีที่แล้ว +10

    Show yetu pendwa 👌🔥

  • @ommietrendz7175
    @ommietrendz7175 3 ปีที่แล้ว +12

    Editing leo haipo sawa mmekatakata vipande vingi sana, watu hawamalizi kuongea, story fupi za wazeee wa mwishoni hao

  • @salehekibusa6518
    @salehekibusa6518 3 ปีที่แล้ว +4

    Wa bongp bwaaan yaani kaamua kumchan mpoto live bila kupepesa macho

  • @nabilsaid3521
    @nabilsaid3521 3 ปีที่แล้ว +6

    Sanya mbona gonga beat hamuiweki cku hz???

  • @shabaniadolph7367
    @shabaniadolph7367 3 ปีที่แล้ว +6

    Ujue nilijua Sanya katuacha kaenda clouds kiukwel ingeniuma Sana, atutak kukupoteza mjanja

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +1

      Kabsa

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว

      Akienda kule hana jipya amuulize Mtiga Abdallah anaendelea huko EFM

  • @elijahm.muthini
    @elijahm.muthini 3 ปีที่แล้ว +7

    Kutembea peku manake "bila viatu" 😬🇰🇪

  • @johntasinga1968
    @johntasinga1968 3 ปีที่แล้ว +3

    Huyu jamaa wa kwanza kwenye hii interview tumuelewe vizur
    Mazingira ya sasa sio ya zaman
    Kwa issue ya mazingira sio sawa
    Ila for culture issue yuko sawa

  • @pretty_witney8124
    @pretty_witney8124 3 ปีที่แล้ว

    Kiubinafsi namuelewa sana mrisho mpoto

  • @yogwesaid7435
    @yogwesaid7435 3 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa ana muhaho kweli we wataka nyimbo za matusi ndipo uelewe pumbavu kijana gani ww

  • @hamisimfaumenamwewe193
    @hamisimfaumenamwewe193 3 ปีที่แล้ว +3

    Huu ni wakati wakutubu. Siyo kujitoa fahamu. Hatukutupwa ktk ardhi.

  • @katobashiru5066
    @katobashiru5066 3 ปีที่แล้ว +1

    sanya nakubal

  • @abdallahmsangy9892
    @abdallahmsangy9892 3 ปีที่แล้ว

    Sanya fanya mikoani bac itakua nzuri zaidi dar es salaam kala siku fanya

  • @jonaspaul132
    @jonaspaul132 3 ปีที่แล้ว +5

    Kwanin msije mkoani uku kila kitu ni daa tu mnayumba

  • @davido-scooper9471
    @davido-scooper9471 3 ปีที่แล้ว +3

    Gonga beet mbn hamn unayumba mo town sanya

  • @alhabibnachoaly3018
    @alhabibnachoaly3018 3 ปีที่แล้ว +3

    Oya mchaga wapi hpo naona pisi kali za Kiswahili duh

  • @Puxladen
    @Puxladen 3 ปีที่แล้ว +11

    Show ya kibabee

  • @nestoemanuel1768
    @nestoemanuel1768 2 ปีที่แล้ว +1

    Tulio chelewa kuangalia kipindi kipindi Chetu tufahamiane hapa 🔥🔥🤞

  • @kulwajeremiah1576
    @kulwajeremiah1576 3 ปีที่แล้ว +11

    u
    we si. umehamia clouds

  • @michaelabeli570
    @michaelabeli570 3 ปีที่แล้ว +4

    Motown sanyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa makn sana mzey nikajuwa ndo umesepaaaaah

  • @najugames8270
    @najugames8270 3 ปีที่แล้ว +4

    Nice sanya

  • @Paplick9
    @Paplick9 3 ปีที่แล้ว +22

    WCB for Life

  • @suleimanhassan2348
    @suleimanhassan2348 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣😂😂wabongo mwapenda ushindani wa ki funny

  • @salamasaid6905
    @salamasaid6905 3 ปีที่แล้ว +3

    Mrisho yupo sahihi mbona bi kidude ilikwenda kwa malikia akuvaa viatu

  • @ivonmahenge
    @ivonmahenge 3 ปีที่แล้ว +12

    Wangapi tuliohisi nembo ya mtaa kahamia Clouds?

    • @hamedabashir9
      @hamedabashir9 3 ปีที่แล้ว +1

      Mwenyewe sikuamini

    • @afterfull-time1348
      @afterfull-time1348 3 ปีที่แล้ว

      Uliskia wapi mtu atoke university na kurudi O level 😂😂

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 3 ปีที่แล้ว +1

    Yani enzi za babu zetu na leo ni tofauti leo ongezeko la watu limekuwa kubwa bna mazingira pia yanaongezeka kuwa na daka nyingi kwa nini utembee peku

  • @abdullahnassor9504
    @abdullahnassor9504 3 ปีที่แล้ว +16

    Moo town Sanya fanya utuletee na tin white baba

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 3 ปีที่แล้ว +2

    Sio kweli kama ukitembea peku unapata magonjwa ni uongo.. labda kujichoma na miba

  • @anthonykondobole3962
    @anthonykondobole3962 3 ปีที่แล้ว +3

    Kwann mskini mnaingia bila viatu?

  • @setinswila9499
    @setinswila9499 3 ปีที่แล้ว +3

    Hivi ni kweliiii😄😄😄 noumaaa sana wejamaa

  • @siriayubuismail1400
    @siriayubuismail1400 2 ปีที่แล้ว

    Mimi kama Mimi nakupenda sans mrisho na mashairi yako

  • @abuu_town_tz7341
    @abuu_town_tz7341 3 ปีที่แล้ว +10

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 nembo ya mtaa💪💪💪💪💪💪

  • @boaziefraim5503
    @boaziefraim5503 3 ปีที่แล้ว +11

    Jamaa kichwa ,

  • @mr.chaula4943
    @mr.chaula4943 3 ปีที่แล้ว +6

    TEAM WCB FOREVER
    #WCB4life

  • @timbukwa9771
    @timbukwa9771 3 ปีที่แล้ว +2

    Mrisho mpoto sasa hivi amebakiwa asilimia 50 ya sehemu ya Rasta hadi mwakani 45 hivyohivyo hadi 0%.

  • @firdaussheikh4817
    @firdaussheikh4817 3 ปีที่แล้ว +1

    Wazee ni hikma🤩🤩🤩🤩

  • @maymbeyu5458
    @maymbeyu5458 3 ปีที่แล้ว +1

    Aaaaah uyu mkaka jamani😂😂😂ati ngoma zako hazinivutii n sjui mbona hahahahaha

  • @philiporaiswawcbduniani1258
    @philiporaiswawcbduniani1258 3 ปีที่แล้ว +14

    NEMBO YA MTAA 💥🔥

  • @boniphacekatunzi7865
    @boniphacekatunzi7865 3 ปีที่แล้ว +3

    Naona mwamba Bashiri

  • @mcdanta6919
    @mcdanta6919 3 ปีที่แล้ว +7

    Kitaa kina elewa

  • @agnessnamwinga8643
    @agnessnamwinga8643 3 ปีที่แล้ว +2

    Wasafi forever

  • @famitoissa5706
    @famitoissa5706 3 ปีที่แล้ว +2

    Jamaa kawa mkweli ngoma zako hazinívutii

  • @abuu_town_tz7341
    @abuu_town_tz7341 3 ปีที่แล้ว +5

    Uyo mtu kwanza kwenye gonga Beat alikuwa anaimba au🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 pamoja na Alie vaa tishert ya njano Ni noma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mcdanta6919
    @mcdanta6919 3 ปีที่แล้ว +7

    Nembo yaa mtaa ukihama wasafi umeisha Yani utoke wasafi uwende kwenye utopolo

  • @emmanueldaud8371
    @emmanueldaud8371 3 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubal mo sanya una kazii mbovu

  • @Chekanamimi_
    @Chekanamimi_ 3 ปีที่แล้ว +2

    Watu wangejua umuhimu wakutembea Peku hata siku moja tu,kushinda peku basi kuna mambo mengi tungeepuke

  • @stanydizzy480
    @stanydizzy480 3 ปีที่แล้ว +13

    😂😂😂😂😂 Jamaa kam ruka mbal sana hahaha

  • @melomusictz1079
    @melomusictz1079 3 ปีที่แล้ว +2

    nyirenda gonga beat like nying

  • @KeKe-vp8nl
    @KeKe-vp8nl 3 ปีที่แล้ว +4

    ❤️❤️❤️

  • @unclevirustv9772
    @unclevirustv9772 3 ปีที่แล้ว +1

    Hyo jamaa wa kwanza mnafiki knoma😆😆😅 yan kamgeuka mtangazaj apo apo

  • @wiseywziy9036
    @wiseywziy9036 3 ปีที่แล้ว +5

    Hi. Kaka vp. Naona kweli upo kitaa..niulize kwani hapo wapi? Mtaa gång?

  • @waytvtz2549
    @waytvtz2549 3 ปีที่แล้ว +2

    Huwez kuacha kuvaa viatu kwamba unadumisha utamaduni wakati unavaa suruali

  • @michaelmsokwe1921
    @michaelmsokwe1921 3 ปีที่แล้ว +2

    Gonga beat iko wap Sasa

  • @hamidujuma7263
    @hamidujuma7263 3 ปีที่แล้ว +4

    Bongo la kipindi yaani mpaka raha

  • @boazambokile2587
    @boazambokile2587 3 ปีที่แล้ว +2

    🤣 huyo mzee amesema ipo siku atauliza mpka atafika hapo waonane

  • @simba_de_leo5042
    @simba_de_leo5042 3 ปีที่แล้ว +2

    Nembo ya mtaaa 💥💥💥💥

  • @romakoko2292
    @romakoko2292 3 ปีที่แล้ว +4

    Hawa watu wa gonga beat wakiekewa kizungu waimbe ama marafiki zao wafe si watatumaliza sote

  • @gatimwita6052
    @gatimwita6052 3 ปีที่แล้ว +1

    Yaani huyu mpoto namkubali sana

  • @generallylee1166
    @generallylee1166 3 ปีที่แล้ว +3

    🔥🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏

  • @is-hakaali8202
    @is-hakaali8202 3 ปีที่แล้ว +2

    Da hiki kipindi kikianza tu kinaanza nocoment mia sijui wanaambiwa na sanya leo tunatoa clip mkae tayari

  • @madamboss348
    @madamboss348 3 ปีที่แล้ว +1

    Mpoto ile collabo na harmonize ilikuwa bie

  • @danieljefwa2071
    @danieljefwa2071 3 ปีที่แล้ว

    Ukweli tuambiane nyayo za mrisho mpoto hatembei peku siku zote

  • @riksonforever1169
    @riksonforever1169 3 ปีที่แล้ว +2

    Gonga beat vp sasa

  • @alhaddajmohammed4768
    @alhaddajmohammed4768 3 ปีที่แล้ว +2

    Kama ndivyo kwanini unavaa nguo ?!

  • @amanichisso945
    @amanichisso945 3 ปีที่แล้ว +1

    Sasa huo utamaduni gan. basi utumwa nao uludi

  • @josephbangike2974
    @josephbangike2974 3 ปีที่แล้ว +4

    Sanya mwanangu ulinichanganya sana kukuona na maik ya kliauz

    • @maishayetufilm
      @maishayetufilm 3 ปีที่แล้ว +1

      Hivyo vipindi vilirekodiwa jamaa kashahamsha

    • @nasratanzania1690
      @nasratanzania1690 3 ปีที่แล้ว +2

      @@maishayetufilm sio kwl bn kipindi kinarekodiwa na kinarusha ww ulishaona wp watu wanafanya kazi wanakaa nayo ndani 😂😂😂😂hapo umetunganya unataka kuniambia na gea habibu kuna kazi ameziweka wkt hichi ndo nikamuinguzia fedha

  • @maumaulid1452
    @maumaulid1452 3 ปีที่แล้ว +1

    Kutoka rufiji naenjoy sana pindi ili

  • @godfreyeliabu2582
    @godfreyeliabu2582 3 ปีที่แล้ว

    Kwani wao wanademaje kwetu WCB hilini likipindi LA kwenda si ndio hili

  • @christinemangaza6303
    @christinemangaza6303 3 ปีที่แล้ว

    Hi 👋

  • @jhonziitv3376
    @jhonziitv3376 3 ปีที่แล้ว

    Mo town sanya tuletee tinwhite

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 3 ปีที่แล้ว

    Km kiyatu ni takbiri ya gari

  • @youngtaiz8359
    @youngtaiz8359 3 ปีที่แล้ว +5

    🔥

  • @truthfaith5115
    @truthfaith5115 3 ปีที่แล้ว +3

    Anazingua Sana akili Hana sim zenyewe zinaalibu brain system na sim yeye anayo alaf kakazia kwenye kiatu kkkk

    • @saidmadizi9152
      @saidmadizi9152 3 ปีที่แล้ว +1

      Inawezeka kua ni masharti alipewa hamuezi jua