Kweli kuimba munaimba vizuri lakini tabia sasa ndo tofauti na nyimbo zenyewe. Hapo ndipo tunapo jialaani bila kujitambua, jaribuni kubadilika wasichana wakibembe fuateni maneno ya nyimbo zenu jamani mutakuwa mfano bora tena wakuigwa.
Uko vizuri sana,ila si mabinti wote wa kibembe, maana kuna wale wanao jitunza na kujieshimu pia. Na pamoja na hayo,siyo mabinti wa kibembe tu ndo wana tabia mbaya,hebu jaribu kufuatilia mabinti wa Kabila zingine ndo utajua.
Mubarkiwe sana nawafata nikiwa goma
Daah wimbo uhu nimeupenda mnoo mungu azidikuwabariki 🙏🙏🙏🙏
Amen 🙏
Amen watu wangu
Mubarikiwe kabasi kwa sauti nzuri ambazo mwenyezi Mungu ali wapeyaga janameni ❤❤❤🙏🏼❤️❤️🙏🏼🫶
Mwaaaaaaaah you people you really inspire me
Dah kwaya yetu kweli
Amen
Na wapenda sana 😍❤️🫶🙏🎤
Asante
Uhu ndo mkutano mbana secteur zingine azipo
Sect zingine zipo baba
mupewe ulinzi
Kweli kuimba munaimba vizuri lakini tabia sasa ndo tofauti na nyimbo zenyewe. Hapo ndipo tunapo jialaani bila kujitambua, jaribuni kubadilika wasichana wakibembe fuateni maneno ya nyimbo zenu jamani mutakuwa mfano bora tena wakuigwa.
Uko vizuri sana,ila si mabinti wote wa kibembe, maana kuna wale wanao jitunza na kujieshimu pia.
Na pamoja na hayo,siyo mabinti wa kibembe tu ndo wana tabia mbaya,hebu jaribu kufuatilia mabinti wa Kabila zingine ndo utajua.
Amen
Amen