Kwanza niongee huyupunguani aliea dika kuwa mkome na uji nga wenju! Ndugu hujafa unaumbika utakuja kutendwa utaom ba Dunia isimame ushuke.pia usijione mjanja huenda we ndo mjinga zaidi hata akili huna tena punguani kwelikweli. Dada pôle mtegemee Mungu anaweza.
Tatizo siku hizi wanadamu wanalazimisha kuoa na kuolewa wengine wanaoa kazi wengine wanaoa wengine wanaoa maumbile ombaga tu.toba ukute Mungu hakuwa radhi na wewe endelea kutubu Mungu atakusafisha
Pole mwanangu ukimuona mwanaume ana maneno mengi ujue nitapeli siku nyengine ndo msome
Mmmm pole Sana Dada Mungu atakusaidia yote yatapita na utakuwa Sawa
Pole sana pole sana nimelia sana
Pole dada mwaya,huenda Mungu anataka akuletee mume wa maana.
Hadi nimeumia kweli ila pole sana dada
Pole kipenzi
Pole 😢 dada
😢😢😢 pole sana dada Mungu akusimamie
Pole sana dada
Pole sana mungu akutie nguvu sana mungu wa mbinguni akutetee😢
So sad😢may god heal you
Jmn jmn jmn imeniumaa sana😢
Pole sn Dada, ila huyo Mwanaume Mungu atamchapa tu mpk ashangae
Bwana Yesu akutetee mpendwa wangu..😢
Wamedanganywa wengi sana,ila ipo cku atachomwa moto kwa wixi,Litakufa kifo kibaya.
Pole sana mungu atatenda mle mtoto yote yatapita
Kwanza niongee huyupunguani aliea dika kuwa mkome na uji nga wenju! Ndugu hujafa unaumbika utakuja kutendwa utaom ba Dunia isimame ushuke.pia usijione mjanja huenda we ndo mjinga zaidi hata akili huna tena punguani kwelikweli. Dada pôle mtegemee Mungu anaweza.
Tatizo siku hizi wanadamu wanalazimisha kuoa na kuolewa wengine wanaoa kazi wengine wanaoa wengine wanaoa maumbile ombaga tu.toba ukute Mungu hakuwa radhi na wewe endelea kutubu Mungu atakusafisha
Hataakija. Usimpokee
Pole dada,huyu mwanaume apiwe radhi
Mungu hata nyamaza kwa huyo kijana atamuadhibi
Waaah ogopa wanaume tena sana😢
Haya machozi wanawake wanaoliaga wanaume mnatengenezea watoto wenu wakike laana nzito Mungu ameandika anahifadhi machozi kwenye chupa
Uyo bwana afe Leo wamzike kesho
Wewe lea wanao
Pole sana dada angu mzuri
Ila hizo nguo za uchi achana nazo ni machukizo kwa Mungu alikutongozea hela alikuwa shetan mtu huyo.mume acha wajifunze wadada.wengine alikuwa tapeli
Sasa ww Hadi unakopa,hujaiona tu ulikuwa peke Yako,unajipenda mwenyewe
mkora maana ake nini jmn
Mukome naujingawenu
😂😂😂 yan mimi mtu akiniambia nitumie vocha tu tumeachana
Pole but ladies let's stop being desperate.
Bhulendafu
ACHAKULIA MWANANGU HUYO MKORA MUNGU ATAMPIGA FIMBO MPAKA ATAJUTIA MAHALI.ALIPOTOKOMELEA HUYO ALIKUA NI PEPO😮😮😮