Wakenya na wabunge chini ya uenyekiti Wetangula watoa hisia kuhusu ukwasi kwa walioteuliwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • Huku wabunge wakiendeleza kibarua cha kuwapiga msasa mawaziri waliopendekezwa na Rais William Ruto ili kushikilia nyadhifa za uwaziri , wakenya pamoja na wabunge chini ya uenyekiti wa spika Mosses Wetangula wameonekana kutoa hisia zao mseto kuhusu ukwasi wa walioteuliwa kwa mara ya pili baada ya kukaa madarakani kwa muda usiozidi miaka miwili. wengi wameongeza mali ya zaidi ya shilingi milioni 100 licha ya uchumi kuwakandamiza wakenya wengi.
    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

ความคิดเห็น • 16

  • @Al-cb4hf
    @Al-cb4hf 2 หลายเดือนก่อน +3

    How can a politician and public servant be also a businessman ?
    Is that allowed ?

  • @MuthamaSabastian
    @MuthamaSabastian 2 หลายเดือนก่อน +3

    Muibe kenya iishe na mukufe muishe ....kumbaff

  • @zachriahmesente8323
    @zachriahmesente8323 2 หลายเดือนก่อน +3

    Total disgrace. None has brought up issue of tax returns on the table for they swim in same boat.

    • @norah9345
      @norah9345 2 หลายเดือนก่อน

      👏👏

  • @johnw2151
    @johnw2151 2 หลายเดือนก่อน +2

    System ya majambazi

  • @AnkoLolo-mv5bk
    @AnkoLolo-mv5bk 2 หลายเดือนก่อน +2

    Duale Ana biashara huwezi hoji

  • @paulinemusa8823
    @paulinemusa8823 2 หลายเดือนก่อน

    Yuko Kenya moja kweli ??

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 2 หลายเดือนก่อน

    Waaah aki Hawa wameunda pesa Kisha miaka 5 ikiisha s watakua mbali sana Hawa

  • @joneamac
    @joneamac 2 หลายเดือนก่อน +1

    Theyre askin them the wrong questions ...

    • @norah9345
      @norah9345 2 หลายเดือนก่อน

      👏👏

  • @henryokumu8148
    @henryokumu8148 2 หลายเดือนก่อน

    Even Senators in America are not that rich and they are in the most developed and opportunity country.

  • @samuelmurigi-w1c
    @samuelmurigi-w1c 2 หลายเดือนก่อน

    Audit for their wealth through both private and public could be a more clearer and abit transparent motive in this case,,, verbal claiming is so shallow considering the level of rank they are appointed to serve 😮😮

  • @bensonathewa5956
    @bensonathewa5956 2 หลายเดือนก่อน

    Sasa hizi pesa zoooote ni za Nini ??? I always pray God anisaidiye Bora nilishe family yangu na nisomeshe watoto wangu ,

  • @BrianMassika
    @BrianMassika 2 หลายเดือนก่อน

    Crooks

  • @stephanololkinyiei733
    @stephanololkinyiei733 2 หลายเดือนก่อน

    Au tuwache uchaguzi waawe wanajichagua