MWL C. MWAKASEGE: NAMNA YA KUJITOA TOKA MADHARA YA VITI VYA ENZI VYA MIUNGU JUU YA MAISHA YAKO. [2F]

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 12

  • @jacksonbiswalo8360
    @jacksonbiswalo8360 2 ปีที่แล้ว +7

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu.Ni maajabu sana yn nimepewa ujumbe kuwa bando limebaki kidogo kuisha na wakanitaka nikope ila nimeendelea kusikiliza neno la Mungu zaidi ya masaa 2 hd sasa ila haijaonesha kusimama picha mjongeo

  • @ChristopherGambi
    @ChristopherGambi 11 หลายเดือนก่อน

    Mungu baba wa mbinguni anisaidie maisha yangu na nifanikiwe katika Hali zote zakupendeza kwa jina la yesu kristo aliye hai Amen🙏

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว +2

    Yesu tusaidie!!!

  • @domina22
    @domina22 2 ปีที่แล้ว

    Sa nyingine ninasema nimechelewa kukufahamu ila kwa nafasi niliyonayo sasa ninamshukuru Mungu kwa ajili yako Mungu aendelee kukulinda wewe na familia yako kwa damu ya Yesu

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 2 ปีที่แล้ว

    Amen Baba endelea kutufungulia Dunia Kwa Neno la MUNGU BABA 😭

  • @nguvuyamaonomedia
    @nguvuyamaonomedia 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Mwalimu wangu

  • @nelliemuganda4113
    @nelliemuganda4113 2 ปีที่แล้ว

    Mungu wetu ni mwema sana . Mbariki sana Mwalimu,Mama Watoto wake pamoja na familia yote ya Mana Jina la Bwana Yesu lisifiwe sana Amen 🙏🏾

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว +1

    Haleluyaaaa

  • @kasabalalaissa912
    @kasabalalaissa912 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏 powerful

  • @neemamachangemachange8874
    @neemamachangemachange8874 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen Amen

  • @YusuphMsigwa-zx3zk
    @YusuphMsigwa-zx3zk ปีที่แล้ว

    Naomba kuongea na mtumish mwakasege

  • @barakakibona5615
    @barakakibona5615 ปีที่แล้ว

    Amen