Dah? Top top wimbo yaani nimeusikiliza na kuuimba yaani wimbo hauchoshi unakupa desire ya kusukiliza Kila mda yaani huu ni utunnzi wa Cuba kabisa hongereniiiiii
I'm not a Catholic neither do I understand your language but your songs always go straight to my heart. I will definitely visit this choir one day if God allows . You are the best 😊. sending love from Zimbabwe
Wimbo mzuri, video Iko sawa sana, hasa mavazi ya tamaduni za Kiafrika. Maneno ya wimbo yamewazwa vyema. Hongera sana Salisali kwa utunzi wako mzuri. Hongereni Sana WanaKMK kwa uimbaji wenu mzuri na wa kujitolea. Kweli aliye hodari wa vita na Mwamba ni mzima!!! 🎉🎉 AMEFUFUKA KWELI!!!
Watching from kenya . Wauh napenda mlivyo valia kweli , pia sauti zimenyooka kweli hongera makubiri , I always like your songs . Now this one the art is very smart.
Siku niliposhiriki Ibada na waumini wa makuburi niliona roho mtakatifu amenishukia kabisa maana kwaya iliimbwa Hadi nikaanza kutokwa na machozi ya furaha.Mungu endelea kuwajaza nguvu watu hawa kwa injili Safi 🙏🙏
WIMBO WA KIZALENDO KWA MWAMBA YESU ALIYESHINDA VITA YA UMAUTI...GONGAAAAAA LIKEEEEEE
Kazi safi sana!👏👏👏
Hakika Mwamba ni mzima🙏.
Hongereni sana KMK🤗🥰🥰
Mwamba Huyu Hapa na Amefufuka...Guys you are in your own league! Thanks
Muzuri hiyo wimbo pia maneno ni mufundisho ya kweli pia ya leta moyo. Baba Mungu azidi kuwabariki. Asanti sana. Alphonse Marie.
Safi sana KMK uimbaji wenu unakonga mioyo ya watanzania wengi na kwaya nyingi zinajifunza kupitia utume wenu asante sana.
The dress code affirms the beautiful songs, waaa. True, ni mzima kabisa. Lovely.
Sauti tamu sana... video concept tamu sana... utunzi mtamu sana.. injili ya Bwana na isonge mbele
St .Kizito makuburi choir the best in the world
Hongera Prof salisali kwa utunzi mzuri sana Mungu azidi kukutumia na kukiinua kipaji hicho
Salisali kwenye hizi ngoma huwa hukosei mzazi toka ile ngoma ya Simba wa Yuda na hii ya Mwamba aaah uko vzr hongera kwa utunzi mzuri.
Simba wa Yuda caught my eye
Simba wa yuda was abig big thing
Salisali and KMK hakika Mungu awabariki sana
Hongereni sana waimbaji wa Mtakatifu kizito Makuburi...kama kawaida mko 🔥🔥🔥🔥...hii ndio kwaya yangu ya maisha... nawapenda mno ajabu..
Dah? Top top wimbo yaani nimeusikiliza na kuuimba yaani wimbo hauchoshi unakupa desire ya kusukiliza Kila mda yaani huu ni utunnzi wa Cuba kabisa hongereniiiiii
Alocheza kinanda nani?
Actuallly yeahs.. Hauchoshi
Salisali JM hujawahi kosea kaka. Mwenyezi Mungu azidi kukutumia kwa namna inayompendeza zaidi. Nabarikiwa sana na tungo zako.
Good music
❤❤❤❤❤kazi njema hongereni sana
Huwa nakosa Cha kucoment kwenu
I'm not a Catholic neither do I understand your language but your songs always go straight to my heart. I will definitely visit this choir one day if God allows . You are the best 😊. sending love from Zimbabwe
Hakika kmk itaendelea kuwa taasisi na chuo Cha muziki wa kanisa Tanzania. Mbarikiwe mno.
Am not a catholic bt....i truly love ur songs
Asante St makuburi Kwa wimbo safi kabisa , hapa Kenya tunasema mbarikiweni Sana.
🎉yaani nimewazoea hadi nawatambua mmoja baada ya mwingine,,I love you darlings
Amazing voices, Hongera sana
Mwamba Yesu ni mzima..... Ameshinda mauti, ni hodari wa vita!!!!
Mt.kizito mnaimba vizuri aisee mbarikiwe sana
...tumemisi mazingira asilia, sijui kwann kwaya nyingi siku hizi wanapenda kufanya video shooting studio
hii sasa ndo kali kuliko ya kwanza na nilichagua box B mapema
Tanzanian choirs are just on another planetary level hawa wasee wako vizuri....
Kizito makuburi kongole kwenu hakika tunaburudika kwa nyimbo zenu salisali asante kwa wimbo wako ,organist baraka thomas mashibe 🙌
Hakika furaha yangu ni nyimbo za katoliki nafurahia sana kazi nzuri kwenu
Hongereni Sana .Jimbo kuu Machakos tuko ndani huku Kwa father kioko Mimi nilikua Na nyinyi live.nawapenda kweli
Raha sana Tena najiona fahar sana kua mkristu ,,, Asante mungu wangu sio kwa raha izoo
Hongereni sana wanakwaya kwa kazi nzuri sana Mungu awabariki sana ,nawapenda sana
Nice kwa kazi nzuriii mm hapo mwanzo mnavo anza pamenikosha
Shooting imekaa vizuri. Mmeimba vizuri sana. Mtunzi yupo vizuri. Hongereni sana
Mwamba ni Mzima na mshindi hakika. Hongereni wanaKMK. Baraka tele.
Nawapenda❤sana nina furaha kuwa mkatoliki
Sina chakuwapa jamani zaidi yakuwaombeeeni
Hongeren xana kmk
Kitu Kali kama Nini 🔥🎶
Wimbo mzuri, video Iko sawa sana, hasa mavazi ya tamaduni za Kiafrika. Maneno ya wimbo yamewazwa vyema. Hongera sana Salisali kwa utunzi wako mzuri. Hongereni Sana WanaKMK kwa uimbaji wenu mzuri na wa kujitolea.
Kweli aliye hodari wa vita na Mwamba ni mzima!!! 🎉🎉 AMEFUFUKA KWELI!!!
Tuliisubiri sana
Maestro Salisali Mzee wa simba wa yuda ....nina njegere zako popote ulipoo
Nani kama mungu hakika mnaenda na wakati bigap sana mbalikiwe amina
Kwaya iliyo kamilika kila idara, Great work
Kazi nzuri. Mbarikiwe! Naomba kupata nota zake.
Hongereni mno wimbo ni mzuri mno nimebarikiwa mnooooo kusikiliza huu wimbo asanteni wote mliotia mawazo yenu kwenye hii nyimbo
Keep it up my favorite Choir lots of love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongereni kwa wimbo mzuri
❤ Hongereni sanaaaaa..... Alooo🎉. Kweli Mwamba Kafufuka.
Wimbo mtamu mno, wawezaunywea chai😀😀 Niliusubiri Sana Tangia Jana, nilijua tu lazma uwe unique. Mnsnikosha kweli, Hongereni kmkm
Hapo mwisho kwenye kibwagizo pamenikosha sana. pongezi kwenu wapendwa.
Hongereni WANAKWAYA WA KMK KWA WIMBO MTAMU SANA WA UFUFUKO WA CHRITO. MBALIKIWE SANA.
Very tishabo...neno
Mwamba limetumika mda mwafaka...
Furaha mlio nayo kabisa amefufuka yeye ni mwamba
Wimbo wangu bora basi2 ngoja nikae kimya ila ni mzuri mno mno ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ KMK MAkuburi🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥
Kwaya ya mtakatifu makuburi mwanibariki na nyimbo zenu Asante sana . Kaburini hayumo.
wanasema Justin Salisali akiamua kutunga ni baraka kweli
Finally here we are …. Asanteni sana Kwa huduma na Mwenyezi Mungu awabariki sana Kwa utume wenu
Hakuna mtunzi asiyetamani wimbo wake usiimbwe na kurekodiwa na kwaya bora @KMK. Wanatisha hawa jamaaa.
Wimbo mzuri wenye kubariki roho za wengi...
I love your songs sijasahau mlikuja st Joseph frenademetz kuja kuimba
Wonderful! Yesu kafufuka.
Enyewe kuwa Na subira ni Jambo muhimu Sana .hongereni kmk
Hongereni sana km Kwa Kaz nzuri
Ujumbe mtamu huo tumeupata congrants
Bwan Yesu ni mzima,kashinda mauti mwamba ni mzima nihodari wa vita mwamba ni mzima kabisa🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ilove kmk
Hongereni kwa utume, Ama kweli waliyempiga na kumuua sasa ni Mzima kabisa kafufuka
Kazi nzuri sana. Hongera kwa wote waliohusika.
Watching from kenya . Wauh napenda mlivyo valia kweli , pia sauti zimenyooka kweli hongera makubiri , I always like your songs . Now this one the art is very smart.
Hongera sana Wana KMK
Kweli Mwamba ni mzima
#Salisali_utunzi bora
Hongeren sana mafundi
👏👏👏👏 hongereni sn kwa kazi nzur
Kazi nzuri sana. Mbarikiwe
Heko kwa wanakwaya wa KMK
Asante kwa wimbo mzuri. Mungu awabariki
🙏
❤❤❤Wimbo mzuri sana. Napenda wanavyocheza. Hongera kikozi kizima cha kwaya ya makuburi.
Nimebarikiwa na wimbo huu, mungu aendelee kuwaimarisha nyote na wito wenu kwa mungu
Hii sasa saaafi....Ile ya box A ni average sanaaaa
Kweli mwamba Yesu kafufuka aleluya aleluya
Waooo hongereni sana kwa wimbo mzuri kwaya ya kizito🔥🔥🔥💪
Listening to this song when it is fresh in TH-cam. Great and awesome song! Mungu awabariki
Wimbo mzuri napenda Mwamba ilivotumika😂
Hongereni Sana Wana kizito kwa utume🎉🎉🎉
Kazi nzuri sana hongereni kmk
Ukisikia utukufu wa Mungu unatukuzwa ni kwenye kwaya ya mt.kizito.Mungu awabariki watumishi wa njia ya uimbaji.
Hongeren sana watu Wa Mungu Kwa kazi nzuri.
Hongereni MUNGU awasimamie mdumu ktk utume wenu
Asante kwa wimbo. Ni mzuri sana
Kazi nzuri Mungu awabariki sana
Asanteni kazi tamu sana ,Mungu awabariki sana
This song is very wonderful
Whaaat!yaani kazi saafi sana wakuu,❤
Injili isambae kote duniani
Big up guys
Mungu zaidi kuwabariki mnoo aweongee viwango na viwango
Haleluya Haleluya Bwana ni Mzima
Hongereni kwa utume uliotukuka 👌🏿
Wow! My best choir like your songs , fantastic wish God allows me one day visit this choir, teachable, touchable songs ,be blessed always 🙏🙏
waoooohh very sweet !!!!!! hongereni sana
video kali sana hii jamani., uuwiii!!
Amegeuza hofu ya kifo kuwa uzima....Ni hodari wa vita mwamba ni mzima kafufuka.....wow wow just wow!!!!!
Siku niliposhiriki Ibada na waumini wa makuburi niliona roho mtakatifu amenishukia kabisa maana kwaya iliimbwa Hadi nikaanza kutokwa na machozi ya furaha.Mungu endelea kuwajaza nguvu watu hawa kwa injili Safi 🙏🙏