hongera Sana ,naupenda sana huu wimbo ila nikiuskiza ama unaponikujia kwa roho na akili hua unanipea kumbukumbu za " love stoy " ambayo nilikua nayo nikiujua lakini ikaja kuisha 🤔 hehee Sasa hivi Ni miaka miwili baadae ,nauskiza Tena ," ninayo love story ingine ya pili " ambayo iliisha mwezi Jana 😀 siielwi hata kidogo
Mbarikiwe❤
Hongereni sana

Dah yaani Kayamba moja tu kwaya kubwa hivyo? Wapi tumbaa??
Kazi nzuri sana mbarikiwe..
next time record na wapiga kinanda, yupo jerry newman lakn hujarecord kabisa on action
Amina, Karibu sana utazame hazina ya mafundisho aliyotuachia MSGR. MBIKU Katika TH-cam Channel yetu ya The Servant Media Kwaku SUBSCRIBE
👏🏻👏🏻👏🏻