Shida nini Afrika nchi yangu?. Tunauana wenyewe. Tunamfuraisha nani na faida ya nani haya?. Wanadamu wachache kuangaisha wengi kwa ujinga wao. Umoja wa Afrika umetulia tu watu wakiangamia ?. Mizozo hii mwisho wake nini duniani?. Tutafakari haya na tupaze sauti ya kupinga vita na mabaya mengine.
Tupate na takwim za lebanoni na gaza Iraq SYRIA na yemen