DINI YA KWELI YA MANABII NA MITUME NI IPI?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 11 ก.ย. 2024
  • Join this channel to access its benefits:
    / @biblianuruyadunia

ความคิดเห็น • 292

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 ปีที่แล้ว +17

    Mwalimu Ndacha na Paul hongera Mungu awabariki na Roho wa Mungu ako nanyi na wengi dunia nzima wataongoka.

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 ปีที่แล้ว +34

    Hakuna msomaji mzuri duniani Afrika kama Paulo Mungu akutie nguvu ❤️

    • @Alexfadhili6404
      @Alexfadhili6404 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kabisa ndugu yangu...yaani combination ya mwalimu francis ndacha na mwalimu wangu Paul hassan inatisha sana katika ulimwengu wa kiislam msomaji wa kwanza(Paul hassan)pia na mwalimu ndacha ( anajuwa kujenga hoja kama yy in Africa)Anatisha wahislamu Barikiwa sana mwalimu. 🙏

    • @denniswasai2668
      @denniswasai2668 ปีที่แล้ว +1

      Ameeeeeeeeen

    • @denniswasai2668
      @denniswasai2668 ปีที่แล้ว +1

      @@Alexfadhili6404 Ameeeeeeeeen

    • @issafaquedalaura8279
      @issafaquedalaura8279 ปีที่แล้ว

      Ni Hamido, na marehemo Yahaya

  • @rehemafredrick7794
    @rehemafredrick7794 ปีที่แล้ว +5

    Mwalimu wa ukweli ni Ndacha 👏 jeshi la mtu mmoja mwenye kueleweka ila hao wengine wabadilishana kama viatu ila mabongo lala waimbi wa taarab wakakojoe wakalale

  • @alexfadhili.
    @alexfadhili. ปีที่แล้ว +23

    Hakika leo nimeamini Sasa kauli ya mwalimu Francis ndacha ya kwamba: katika dunia hii hakuna mwislamu yeyote anayewezana na hoja za wakristo...Amiiinn!

    • @jumarobertonyancha8605
      @jumarobertonyancha8605 ปีที่แล้ว +1

      Alex ukweli mtupu ni ukristo

    • @fahadbabuy
      @fahadbabuy ปีที่แล้ว +1

      Ukipata neno ukristo ndani ya biblia basi itakuwa ukweli😂

  • @alicekatsutsu6345
    @alicekatsutsu6345 ปีที่แล้ว +9

    Mungu wa mwalimu ndacha ni mungu wa kweli unaona vile neno lisivyo pingika

  • @johnbaraka4715
    @johnbaraka4715 ปีที่แล้ว +8

    Ubarikiwe mwalimu Frances ndacha kwa KAZI nzuri ya mungu unanyo Fanya,.....

    • @mwanashagladys4581
      @mwanashagladys4581 ปีที่แล้ว

      Ukiandika jina la Mungu uandike na herifu kubwa ndugu🇰🇪

    • @user-ro8xx9pq6q
      @user-ro8xx9pq6q 11 หลายเดือนก่อน

      Mnadanganywa tu na uyo ndacha

  • @lilwilson6283
    @lilwilson6283 ปีที่แล้ว +9

    Ndacha mungu hakubariki mwalimu ,,, na hapo Tanzania 🇹🇿 baki hata weeek mbili wa ☪️ ni wengi sana hapo wanao hitaji funzooo,,,,

    • @frednyakundi2862
      @frednyakundi2862 ปีที่แล้ว

      Mbaka mazinge akaanza vitisho wakati shindano ilingia

  • @alexfadhili.
    @alexfadhili. ปีที่แล้ว +7

    Hakika leo nimecoment nyuma sana kabisa mana majira ni tofauti sana kabisa, Mungu wa Ibrahim, Isaac, na yakobo awawezeshe zaidi na zaidi walimu wangu... Francis ndacha pamoja na mwalimu Paul Hassan.. Leo nimeamini Sasa kama mwalimu Francis ndacha hakuna wanaomuweza.USA California.

    • @peternyambura104
      @peternyambura104 11 หลายเดือนก่อน

      Huyo kwa neno mwache kwa hakika ni mwalimu

  • @jakuabdull34
    @jakuabdull34 ปีที่แล้ว

    Mashaakah wahaziri wa kiislam nyunyi kazi yenu ni kuwahubilia kuwaongoza ni kazi ya mungu wametia pamba kwenyemashikio hawataki kuujua ukweli

  • @andreanicholaus1696
    @andreanicholaus1696 ปีที่แล้ว +5

    Barikiwa sana ndacha na pauro Mungu awalinde sana mazinge na mbogo tunawafwatilia wanaluka maandiko kwasababu waisilamu hawasomi wapo kwaushabikitu Nichawatu

  • @petergoyandi5699
    @petergoyandi5699 ปีที่แล้ว +4

    Ndacha na Paul hasan mungu awalindeni na changamoto yeyote mtakoyo kutananayo Mungu awabariki sana sana

  • @josephshauri3154
    @josephshauri3154 ปีที่แล้ว +6

    Nabarikiwa pamoja nanyi ni kiwa mombasa

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว +5

    Mwalimu Ndacha na mwalimu Paul Mungu awabariki awape afya awajaze wingi wa siku kwaajili ya KUUJENGA UFALME WA MUNGU ALIE HAI.YESU KRISTO MWOKOZI anajivunia ninyi. Waislamu wanaelewa wanaona aibu tu kutoka katika hiyo njia ya jehanam, sijuwi watapataje kupona ?? Bwana ingilia kati mana hupendi awae yote apotee 🙌😭have Mercy O Lord🛐

  • @mariammakau2435
    @mariammakau2435 ปีที่แล้ว +4

    Kwakweli hawa watu kuelewa ni ngumu sana...Eeh Mungu waongoze na uzidi kuwatumia Kwa kazi yako uliowabariki kuzidi kuelimisha na kutangaza neno Lako...Christian Forever Amen 🙏...wataelewa tu

    • @salimobeid1470
      @salimobeid1470 ปีที่แล้ว

      Mariam makau tafakari na alau kurasa moja soma quran utajikuta ukweli unauona

  • @alexfadhili.
    @alexfadhili. ปีที่แล้ว +5

    Mwalimu wangu Paul Hassan mungemuacha nae Amfundishe ndugu yangu Amidu...mana namuamini Sana pia mwalimu Paul Hassan...

  • @johnngige5794
    @johnngige5794 ปีที่แล้ว +6

    Mazinge eti ni professor, shida apo. Hana hoja analeta jokes tu kwa stage kufurahisha wamama apo

  • @gatekanene5753
    @gatekanene5753 ปีที่แล้ว +1

    Mwalimu wangu Ndacha Mungu akubariki na akulinde wewe pamoja na mwalimu Paul Hassan hakika Mungu anazidi kuwatumiya kwenye kazi ya kumtangaza BWANA WETU YESU KRISTO ubarikiwe san

  • @samwelilulandala2384
    @samwelilulandala2384 ปีที่แล้ว +5

    Mazinge okoka acha kupoteza watu mbona ukweli unajulikana hapo acha kujizima data na kujifanya tahira

  • @estherwamboi7683
    @estherwamboi7683 ปีที่แล้ว +11

    Waaaah i thank God am Christian lkn Muslim sio njia ya kufuata hata kidogo yaaani waalimu wa Muslim hawaelewi chochote haki kwa uungu ni maswala ya kiroho lkn Muslim wote wako kimwili Jehovah okoa hizi nafsi zapotea

  • @sephrozagatyo5502
    @sephrozagatyo5502 ปีที่แล้ว +5

    Ila kwakweli Ndacha tunasema kwamba umeupiga mwingi hongera sana kama watakataa kumfuata Yesu basi Jehanamu inawasubiria asilimia 100% kabisa

  • @eunicebaya1378
    @eunicebaya1378 ปีที่แล้ว +4

    Mazinge hauna chochote drama tu hata hauko kwenye mada rudi kwa vitabu

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 ปีที่แล้ว +5

    Ndacha akosawa kabisa juu anaenda xawa na mada

  • @froline5209
    @froline5209 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuangazie nuru yake milele mtumishi Ndacha.

  • @davidmnyela2459
    @davidmnyela2459 ปีที่แล้ว +2

    Paul hassan kameza maandiko mpaka nukta 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏

  • @isaiahonyapidi5662
    @isaiahonyapidi5662 ปีที่แล้ว +5

    Ni kama Mungu katokea Ndacha si kawaida.

    • @peternduati8877
      @peternduati8877 ปีที่แล้ว +3

      Ndacha alitamani kumjua Mungu nae Mungu akampa alichomuomba kwa roho yake.

    • @deogratiaskarugendo9864
      @deogratiaskarugendo9864 ปีที่แล้ว +2

      Watajuwa hawajui mwaka huu!!!

    • @Nolithajack12
      @Nolithajack12 ปีที่แล้ว

      Ndacha ni mwarimu kabisa jameni

  • @jamesombaso9493
    @jamesombaso9493 ปีที่แล้ว +6

    God keep you long ndacha to do work of God

  • @alicekatsutsu6345
    @alicekatsutsu6345 ปีที่แล้ว +5

    Kiboko yao ameingia.God bless u all

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 ปีที่แล้ว +4

    Kila mada mazinge anawadhalilisha wanachuoni wa kiisilam, sasa mazinge fanya bidii uandike kitabu chako ili kiwe sawa wenzako wawe waongo mnafiki mkubwa mazinge

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 ปีที่แล้ว +5

    Apa kama Kuna waisilam Wana comment aky ya Mungu mazinge anawapoteza

  • @rehemashariff3119
    @rehemashariff3119 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mazinge namuhurumia sana kwa kupoteza kondoo wa Mungu ole wako

  • @samwelmwasomola2457
    @samwelmwasomola2457 ปีที่แล้ว +4

    Huyo ndio Ndacha ukimwona mwingine ujue ni mwizi

  • @jacksonkilonzo1439
    @jacksonkilonzo1439 ปีที่แล้ว +14

    KILA LA KHERI PAUL KWA MADA YA KESHO MUNGU AKUONGOZE TUNAKUPENDA SANA PAMOJA NA MWALIMU WAKO FRANCIS NDACHA , HUU MKUTANO KILE NIMEGUNDUA NI USHABIKI TUU NDIO MAANA MWALIMU WAO AKIONGEA WANASHANGILIA TU BUT UZURI UJUMBE WAMEFIKISHIWA, KINGINE MAZINGE HANA HOJA HATA MOJA KILE ALICHO NACHO NI U COMEDIAN TUPU

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge ni comedian maswali hawezi kujibu, akiuliza anajibiwa.Bwana Yesu awahurumie waislamu mnaelekea Jehanam vichekesho vya Mazinge na Mbogo haviwezi kuwaokowa

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 ปีที่แล้ว +3

    Ndacha namba ya mitandao ya Tz tukusuport maji

  • @leonardadd
    @leonardadd ปีที่แล้ว +6

    Mazinge anadanganya wenzake na yeye anaenda Kanisani usiku😂😂

    • @chanawana7610
      @chanawana7610 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @johnbaraka4715
    @johnbaraka4715 ปีที่แล้ว +8

    Mtumishi ndacha ninataka kuokoka kupitia hii channel yenye mafunzo ya kweli je yawezekana.

    • @BIBLIANURUYADUNIA
      @BIBLIANURUYADUNIA  ปีที่แล้ว

      Ndio kabisa

    • @johnbaraka4715
      @johnbaraka4715 ปีที่แล้ว +2

      Mimi Niko Mombasa Kenya na ninataka kuokoka sahii ,mana ya dunia ya menichosha ,Niko tayari kufata njia yakweli ambayo yesu ndiwe njia yakweli na uzima.bwana yesu asifiwe sana milele na milele.

    • @elizabethsidi5574
      @elizabethsidi5574 ปีที่แล้ว +1

      @@johnbaraka4715 karibu sana kwenye ukristo mungu akubariki

    • @alexntahiraja2974
      @alexntahiraja2974 ปีที่แล้ว

      @@johnbaraka4715 ndugu John Baraka. Hongera sana kwa uamzi wa busara. Mimi ningependa kukupa zawadi ya Biblia. Naomba unipe namba yako ya whatsap.

    • @Arishafa547
      @Arishafa547 ปีที่แล้ว

      Hasa w mkiristo unataka kuingia ukiristo kuna ukiristo ngapi au unataka kudanganya kwamba john baraka ni muislam acheni upuuzi wakijinga

  • @jimpaserics9359
    @jimpaserics9359 ปีที่แล้ว +1

    Sijawahi kuona akili nyingi namna hii Kwa mtu mmoja.May God bless you ndacha

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 ปีที่แล้ว +3

    Leo iLikuwa Kali kulikon Jana ,kuacha unafiki,waislamu wamefundishwa Ila wa kuelewa ameelewa

    • @petermgonja8547
      @petermgonja8547 ปีที่แล้ว

      Ila muislamu Kama wewe uko sawa kamsidie mazinge,ni,Sheri ya mbogo,kulikon mazinge,huyo wa Mombasa ndo hewa Kama huamini fuatilia utaamini tu

  • @dannyosolo2752
    @dannyosolo2752 ปีที่แล้ว +2

    Yesu ndiye Mwokozi wa ulimwengu wote!!! Siwezi kumuaacha Yesu kamwe!!! JESUS IS LORD ROMANS 14:11-13

  • @benson4546
    @benson4546 ปีที่แล้ว +1

    Maulana awape neema na hekima na busara ya kuwapa neno waislam na kuutetea ukristo.
    Leo naomba likes zenu tafadhali.

  • @jeanpaulkwizera3216
    @jeanpaulkwizera3216 10 หลายเดือนก่อน

    Mazinge aca Comedie mucukuwe Yesu ndiy atakupereka mbinguni

  • @mosesbarnaba7851
    @mosesbarnaba7851 ปีที่แล้ว +3

    Nawapata mwalimu ndacha MUNGU awabariki sana

  • @fatumaminyeko1875
    @fatumaminyeko1875 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki mtumishi ndasha akika jia yakweli ni yesu kristo

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha kaa Tanga mwezi nauhakika utaokoa waisilamu wengi sana yaan wako kimya

  • @ezekielmwamba9106
    @ezekielmwamba9106 ปีที่แล้ว +3

    Dawa ya Mazinge ni Ndacha

  • @asumptamwende1941
    @asumptamwende1941 ปีที่แล้ว

    Huyu mazinge anapoteza watu wengi sana badala ya kujibu swali vilivyo anangeuza na Ujanja wake,you can't change the holy word of God kwa unafiki wako answer the question probably and set people free,congratulations mwalimu ndacha your words are straight from the word sio kubaatisha

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 8 หลายเดือนก่อน

    Swali zuri sana....walio kuwa walevi kabla ya admau😂😂....ameshindwa kujibu hapo....Ndacha Mungu akupe ulinzi wake....na sisi wakristo tuguswe ili tukwezeshe ununue vifaa na uwe unapata nauli ya kutosha ....kwa maana Ibada unayoifanya ni hatari

  • @mwanashagladys4581
    @mwanashagladys4581 ปีที่แล้ว +2

    Amen

  • @user-ro8xx9pq6q
    @user-ro8xx9pq6q 11 หลายเดือนก่อน +1

    Huyu ndacha ukweli anaujua " Kama uislamu ndio dini ya haki " kitu pekee kinachomueka uko ni pesa tuuh ... hakun chengine

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 ปีที่แล้ว +3

    Mwalimu ndacha wafunze

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 ปีที่แล้ว +2

    Ndacha amejibu poa Sana

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 ปีที่แล้ว +2

    ALLAHU AKBAR WAISLAM NI KAMA JENGO 1TOFALI JUU YA TOFALI UNAPATA UKUTA BEGA KWA BEGA MKONO KWA MKONO MPAKA PEPONI INSHALLAH 🤝 LAILAHAILLAH MOHAMMAD RASULLULLAH ❤️ MPAKA KIAMA KINA SIMAMA SIWEZ KUACHA JANNATFIRDAUS NIENDE MOTON SUBUTU

  • @martinmurithi211
    @martinmurithi211 ปีที่แล้ว +2

    Mwalimu kazi nzuri👏

  • @charity3978
    @charity3978 ปีที่แล้ว

    1Wakorintho 15:20
    Inasema hivi
    '' Lakini sasa Kristo amefufuka katika wafu, limbuko lao waliolala.''

  • @reutthemoabite
    @reutthemoabite ปีที่แล้ว +1

    😊😊 aki uislam ni comedy tupu hawana hoja 🙏🙏Mungu wakubuke 😭😭

  • @smithbunyasi9474
    @smithbunyasi9474 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge...wahitaji yesu akuokoe

  • @hillarymithika5002
    @hillarymithika5002 ปีที่แล้ว +1

    Waislamu ukiwashinda kwa hoja huwa wanataka vita

  • @haidar438
    @haidar438 ปีที่แล้ว +2

    Kwanin msijadili mada ya ndoa - yaani ni aya gani ktk Qur-an waisilamu wameruhusiwa kuoa na ni aya gani ktk Bibilia wakiristo wameruhusiwa kuoa?

  • @hannah7722
    @hannah7722 ปีที่แล้ว +2

    Yaan waisilmu hamna ufunuo ata kidogo

  • @johnngige5794
    @johnngige5794 ปีที่แล้ว +2

    Sindano imekuwa chungu sana kwa mashekhe na waislamu. Lakini lazima dawa wameze hata kama ni chungu

  • @charlesmapunda5905
    @charlesmapunda5905 ปีที่แล้ว +2

    KWAKWELI WAISLAM NI MBUMBU NA HAWATAELEWA MPAKA MUNGU ASHUKE

  • @RubanAbdalah-ty4jn
    @RubanAbdalah-ty4jn ปีที่แล้ว

    Kwa kweri siwezi kuwa mwisilaam naomba mnisamehe na dini yenu. Yesu ni yote katika yote. Ni kufata mafundisho ya yesu na si kua muisilaam

  • @emmanuelokengo
    @emmanuelokengo ปีที่แล้ว

    Jesus Christ is the way to the Father . Happy to be a strong christian . Christ is the way ,wow!!!...watu waokoke...

  • @leonardadd
    @leonardadd ปีที่แล้ว +2

    Yaani vichwa tatu za kiislam hakuna ile inaelewa mada,, enyewe Muhammad anadanganywa na haya ma kanzu😂😂jehanamu qualifications

  • @japhetndoro6533
    @japhetndoro6533 ปีที่แล้ว +2

    Mazinge nivichekesho tu

  • @Nolithajack12
    @Nolithajack12 11 หลายเดือนก่อน

    Mwalimu kabisa balikiwa 👋

  • @Amirak254
    @Amirak254 ปีที่แล้ว

    best video quality alll your videos

  • @alicekatsutsu6345
    @alicekatsutsu6345 ปีที่แล้ว +2

    Surely mazinge unasema nn🤣🤣

  • @harrisonodiwa7248
    @harrisonodiwa7248 ปีที่แล้ว +3

    Nimeshinda kusema na bado narudia,ipo wakati Mazinge atapanda jukwaani na kulia kama mbuzi;meeeeeeeeee! Kisha aweke microphone chini kama ameanza kupiga gita kwa kutumia mdomo,mtakubaliana nami.

    • @BIBLIANURUYADUNIA
      @BIBLIANURUYADUNIA  ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣

    • @peternduati8877
      @peternduati8877 ปีที่แล้ว

      Mazinge 😂😂😂hatalia meeeeee,,atawashangaza akina ndugu kinyogori akiwatangazia Ukristo ndio njia ya kweli 😅😅😅😅😅atî atalia meeeeeeeee jmeni.

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 ปีที่แล้ว

      Mazinge kafili mla punda

  • @gatekanene5753
    @gatekanene5753 ปีที่แล้ว +1

    Nauliza kwa upole uyo mzee Mazinge ambaye ni mufuasi wa marehemu muhammad mbona wanamuita professional wa vitabu lakini akija kwenye jukwua lazime aje na vikaratasi? Kwani uwo mwiaka yote hiyo hajaweza kukariri Quran kwenye kicwua cake? Daah ama kweli MUNGU anajuwa aibisha wale wanao jiweka juu kama kina mazinge

    • @navokisembo
      @navokisembo ปีที่แล้ว

      Umenichekesha kweeli

  • @p.matabaro
    @p.matabaro ปีที่แล้ว +1

    Eti hakuna andiko inasema njia ya uzima ni YESU😂😂
    JOHN 14:6
    Jesus answered, “I am the way and the truth and the life. No one comes to the Father except through me.
    Mazinge nakupa haya all the way from 🇨🇦

  • @baysadam235
    @baysadam235 ปีที่แล้ว +1

    Inshallah Mungu awazidishe kheri Mashekh wetu 🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @newlightmoviesproduction3598
    @newlightmoviesproduction3598 ปีที่แล้ว +1

    Yohane 14:6 yesu akajibu mimi ndie njia,na uzima na ukweli mazinge kwisha.

  • @jeanpaulkwizera3216
    @jeanpaulkwizera3216 10 หลายเดือนก่อน

    mazinge is Mr Been

  • @magdalenemutua1742
    @magdalenemutua1742 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge kazi yke ni kuokota sandaka tu

  • @petermgonja8547
    @petermgonja8547 ปีที่แล้ว +2

    Kuna ndugu ameandik sms nying hap,duuu Naye tumuombeen

  • @user-gt3us2kk2i
    @user-gt3us2kk2i 11 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏🙏

  • @grantmwakalambile2808
    @grantmwakalambile2808 ปีที่แล้ว

    Mazinge kiukweli bila kupepesa macho ww unawapoteza waislam mwenye macho ambiwi tazama mazinge hana hoja amekaa kishabiki tu

  • @boscojohnny8980
    @boscojohnny8980 ปีที่แล้ว

    Huyu Ndacha namuombea kwa Mungu aishi myaka 200 atembee nchi zote za Dunia akitangaza ujumbe wa Christo Yesu...hoja zake ni nzito sana

  • @sriprobhu557
    @sriprobhu557 ปีที่แล้ว

    Mazinge hananga point hata mm naeza simama na yeye kumbe.Ako na sarakasi nyingi tu kutoa watu kwa mada

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 9 หลายเดือนก่อน

    Mazinge haelewi hata kidogo hajui

  • @user-ro8xx9pq6q
    @user-ro8xx9pq6q 11 หลายเดือนก่อน

    Uyu ndacha ukweeli anaujua Kama " dini ya kweeli ni uislamu " kitu kinchomueka uko ni pesa tuh ....

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye 4 หลายเดือนก่อน

    Mazinge hata hajielewi yupo tuu kama kiporo kilichocha

  • @ipyanapaulo4774
    @ipyanapaulo4774 ปีที่แล้ว

    Mchungaji na mwalimu ndacha
    Na mwalimu msomaji Paul mbarikiwe sana

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 ปีที่แล้ว

    Hamidu mungu akupe umri mrefu na mazinge or mbogo na wahaziri wengine

  • @pasteurstephanoakilimalifr4416
    @pasteurstephanoakilimalifr4416 ปีที่แล้ว

    Shehe mazinge kubali ukristo

  • @pasteurstephanoakilimalifr4416
    @pasteurstephanoakilimalifr4416 ปีที่แล้ว

    Ndacha ubarikiwe sana

  • @georgelugaliki1307
    @georgelugaliki1307 ปีที่แล้ว +3

    Hahahaha watu watatubu hapa

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 ปีที่แล้ว

    Alfu we mwenye kiti wa kikiristo punguza unafiki ww hujui kaziyako unaropoka tu

  • @moseshandsam1865
    @moseshandsam1865 ปีที่แล้ว +1

    Pastor plz mchukue ukambaaatize huyu awe mkristo

  • @mgangazephaniah230
    @mgangazephaniah230 8 หลายเดือนก่อน

    Manzinge kumbe ni jaziba tu hana lolote😊

  • @raphaelcharles4949
    @raphaelcharles4949 ปีที่แล้ว +1

    Mazinge amechemka, kwani Adam na Nuhu nani aliyetangulia?

  • @johnbuya1003
    @johnbuya1003 ปีที่แล้ว +1

    Dini ya mwislam ni mapepo

  • @bettyflavour
    @bettyflavour ปีที่แล้ว

    Mungu azidi kuwabariki na kuwatia nguvu

  • @nancyjematian2358
    @nancyjematian2358 ปีที่แล้ว

    waislamu mna kimbarua.tulieni mfunzwe na mwalimu dacha

  • @Arishafa547
    @Arishafa547 ปีที่แล้ว

    Paulo alikuwa muislam akaritad baa ya miaka kazaa karudi tena katika uislam baadye tena karitad yaan anajua kuwa uislam ni dini ya mungu sema akikosa hela ana kimbilia kanisana huko wana hongwa mapast magari majumba lakini uislam unasimama na LAILAHAILLAH MOHAMMAD RASULLULLAH ❤️ MPAKA KIAMA KINA SIMAMA ALLAHU AKBAR 💯

    • @BIBLIANURUYADUNIA
      @BIBLIANURUYADUNIA  ปีที่แล้ว

      Huoni michango ya walimu wenu Kila saa

    • @Arishafa547
      @Arishafa547 ปีที่แล้ว +1

      @@BIBLIANURUYADUNIA tuna changia wanunue vifaa na hata hy midahalo ina hitaji pesa nyie kanisa mnahongwa magar na manyumba utaona wap past ana maisha kama ya masheikh mapast wanamiliki mijumba na magari tena wanachangiwa kanisan lakni muumin akitaka gari anaombewa et mungu ata kupa utapeli mtu sisi tunachanga kwa hiari kanisa lazima pasta apewe gar na ukikuta past hana gar wala maisha mazuri huyo siyo past na kama past kwel ni unafiki hakuna kwel hapa

    • @petromachanga5538
      @petromachanga5538 ปีที่แล้ว

      @@Arishafa547 wapi amehongo gar

  • @issackabdi7001
    @issackabdi7001 ปีที่แล้ว +1

    Ndacha angekaa mombasa only 2 years ....

  • @MteleShadia-lc6gi
    @MteleShadia-lc6gi ปีที่แล้ว

    Tupe ayaa tujuwe na SS,,tujuwee,,syoo kutpa maelezoo mengi,,lakn ayaa hakuna,,Kama haipoo bolaa utwambiee tujuweee,,, syoo,,kuweka maelezoo mengi,,toa Aya Kama za mashekh wa kiislam inavyoonesha dini,, za manabii wore walikuwa waislm,,waoo mbona ayaa wanatoa nawew tupee,,, ili tuendeleee kuamn,,mm nawaftlia kutoka Kigoma tanzania

  • @jeanninemunezero6469
    @jeanninemunezero6469 9 หลายเดือนก่อน

    Waislam fungukeni macho

  • @saimonsimiyu840
    @saimonsimiyu840 ปีที่แล้ว +1

    Hi yaleo ni moto,mazinge hawezani nayo