ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Jamani hii kwaya ni nzuri haijaingiliwa na funza
Hongera sana na utukufu kwa Bwana . Zamani miaka ya 1990 huu wimbo gitaa la besi lilisikika.
It saddens me to see how music has changed over the years , sdas. This was real music.
Nazipenda Sana nyimbo zenu..Mungu aendelee kuwatumia Vyema
Kutoka hapa Mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya, nawafuatilia karibu sana.
Nakumbuka wakiimba wimbo huu katika kanisa la wa-adventista wasabato Maragua Main mwaka wa 1992 Mchungaji aki Joshua Njuguna Barikiweni watumishi.
Mungu awabariki kwa Kazi yenu zuri ya uimbaji kwa kutumikia mungu
Mbarikiwe sana angaza
AWESOME 👍👍
Awesome God bless you
Kwaya angaza nafurahiya nyimbo zenu Sana,toka huko RDC.
Ninawaomba msije badilika ndg zangu hadi tumalize safari uimbaji mzr huu
Nzur mbarikiwe