Maalim Seif Shariff Hamad : 'Tulikosa haki mahakamani tukaamua kwendaACT Wazalendo'

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 19

  • @ibrahimyahya197
    @ibrahimyahya197 4 ปีที่แล้ว

    Safi wewe ndolobakia mungu akuwezeshe ishalaah

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 5 ปีที่แล้ว +3

    maarim umefanya jambo muhimu wakati sahihi mungu akujaliye mwarim sef

    • @husseinfarid2883
      @husseinfarid2883 5 ปีที่แล้ว

      maalim sio maarim wala mwarim ! bara kiswahili shida na lafdhi za kiswahili

  • @sulaymuallyuthumaniy3061
    @sulaymuallyuthumaniy3061 5 ปีที่แล้ว

    #Dada yangu Zuhura #mwana Mgaya# mwenzangu# swali lako lako la mwisho limenfurahisha sana '# yaani yaani#

  • @gharebsalum3415
    @gharebsalum3415 5 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana...

  • @adilhaj6719
    @adilhaj6719 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali mama angu zuhra yunus mwandish ambaye unajiamin .unsifa .unauliza maswali yenye mtazamo uko intelligency.mungu akujalie heri mama angu .

    • @jabirimahadhikibira6541
      @jabirimahadhikibira6541 5 ปีที่แล้ว

      Acha uongo wee mzee hiyo dola act haiwezi kuja

    • @kassidpandu9806
      @kassidpandu9806 5 ปีที่แล้ว

      Uchanga ni hoja usikatae mwalimu act ni chama kidogo hata usajili hajijafanyiwa bado

  • @sulaymuallyuthumaniy3061
    @sulaymuallyuthumaniy3061 5 ปีที่แล้ว

    #ALUTA CONTINUA NEVER STOP #MGOGORO WA DOLA#

  • @alves_photo5346
    @alves_photo5346 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama upo Zanzibar alipo tupo twende pamoja

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 5 ปีที่แล้ว +2

    Allah amlipe kheri kwani Lipumba na waliomtumai walitengeneza shari ili kuhujumu watu wa kheri kwa kisingizio siasa

  • @happychenza8462
    @happychenza8462 5 ปีที่แล้ว +3

    act

  • @muslimsalim4307
    @muslimsalim4307 4 ปีที่แล้ว +1

    Uraisi si asali ww Babu

    • @swahifaabdijuma2782
      @swahifaabdijuma2782 2 ปีที่แล้ว

      Saivi mtaionaa thamani yakee kma SiaAsali au Asali .Kwani yu ilikua anadhiki ya cheo .Yy kataka Uraisii Ilio atuokoee ss wanyonge na atutetee .Na yy ni zawadi Allah alituleteaa Na kashamchua sasa tunajutaaa. Hatujui kinachoendelea ilaa Kwa mafunzo ya mtume yupo sehemu mzuri peponi mana kila myu anamuombeaa dua

  • @nassorkhamiszanzibar3673
    @nassorkhamiszanzibar3673 5 ปีที่แล้ว +1

    Nimependa Da zuhra jinsi ulivyomuliza swali la mwisho maalim seif

  • @farajagoodluck7557
    @farajagoodluck7557 5 ปีที่แล้ว +2

    ACT

  • @abuuabuu4831
    @abuuabuu4831 5 ปีที่แล้ว

    Maalim sefu miaka yote unashinda uchaguzi lakini unanyanga'nywa ushindi na bado hatujifunzi kitu. Wamesema wazi Wana CCM kwamba kura sio ushindi

  • @nasirmmaka7188
    @nasirmmaka7188 5 ปีที่แล้ว +2

    Kuleta mabadiliko si ishu ya usiku mmoja. Natabiri

  • @feissalkhamiss8057
    @feissalkhamiss8057 5 ปีที่แล้ว

    huyu ndiyee chaguo la wazanzibar cio shein wala sefu iddi