You prolly dont care but if you are stoned like me during the covid times you can stream pretty much all the new movies on instaflixxer. I've been binge watching with my gf during the lockdown xD
Ila esma aritaka kukwepa jibu ra mtoto wa hamisa kama kweli kumposti mtu sio razima uwe unampenda mbona wengine anawaposti ifike siku mtu aseme ukweli mtoto wapanya huchukiwa kwa sababa ya mama yake ila ule mtoto mama yako anamkosea maraika wawatu yule ugomvi wenu na watu wazima msimhusishe yeye 😢😢Zari hayuko na time na nyinyi ila watoto wake bado mnawaposti anawadharau kama hamisa anavyofanya ila bado watoto mnawangangania kwanini kwa mtoto wa hamisa sasa 🤷♀️🤷♀️🤷♀️au anadamu ya KUNGUNI 😏😏😏
Helly DR and TZ Watu wamechoka mitoto afu mtu anazaa na mtu ambae hayuko ata tayr kua na mtoto na yey na kutusiwa anatumiwa side chick still mtu ananipeleka sasa afanywe nin kwa mfano
Kwa kweli Leo nimeamini wewe ni Yuda the other day you said zari is older than mod so she was not fit for marriage today you have said yrs is just number lov matters daa rotten family
Love u beautiful Esma
Asante wote bora nimekukubali zari atabaki kuwa juu
Esma uko very funny..i love u my dear..sioni yanini nikuchukie.
Alafu jua ww ni shangazi hutakiwi kuwachukia watoto wa kaka ako acha hizo ila nakupenda rekebisha hizo
Esma nakupenda my csta
Nimekupend esma
Wow.thanks Esma thanks for making us understand
videlia labeka th-cam.com/video/i3aS-J0jkoI/w-d-xo.html
th-cam.com/video/i3aS-J0jkoI/w-d-xo.html
Wanavyomchukia mtoto wa Hamisa nae mungu ndio anazidi kumfungulia mamake njia pia ni vizuri awe kando nawao asiwe na tabia za tandale
MAISHA MATAMU th-cam.com/video/i3aS-J0jkoI/w-d-xo.html
Nasubiri segment ya #chooseone
Hi asma
Yule aliuliza Kama Milan na mtoto Wa tanasha si Wa diamond aliniuthi saana hua mwataka nini wale ni malaika Wa mungu
jibu poa kwa zari nd Tanasha unawapenda wote
She meant anamchukia Sanaaaa mtoto wa Hamisa
You prolly dont care but if you are stoned like me during the covid times you can stream pretty much all the new movies on instaflixxer. I've been binge watching with my gf during the lockdown xD
@Chaim Larry definitely, have been watching on instaflixxer for since december myself :)
Yuda kweli
Tabia za kiyudayuda😀😀😀😀
Hichi kipindi kiboreshwe anapoulizwa swali ajibu mana anaonekana km hajuamini flan ivi
Kigoma mulishajenga nyumba
Ila esma aritaka kukwepa jibu ra mtoto wa hamisa kama kweli kumposti mtu sio razima uwe unampenda mbona wengine anawaposti ifike siku mtu aseme ukweli mtoto wapanya huchukiwa kwa sababa ya mama yake ila ule mtoto mama yako anamkosea maraika wawatu yule ugomvi wenu na watu wazima msimhusishe yeye 😢😢Zari hayuko na time na nyinyi ila watoto wake bado mnawaposti anawadharau kama hamisa anavyofanya ila bado watoto mnawangangania kwanini kwa mtoto wa hamisa sasa 🤷♀️🤷♀️🤷♀️au anadamu ya KUNGUNI 😏😏😏
Mbona watoto wengine mnawapost sio mtoto wa Hamisa Why????
Yaan mama dangote anaonyesha wazi kuwa hampendi dylan
Helly DR and TZ Watu wamechoka mitoto afu mtu anazaa na mtu ambae hayuko ata tayr kua na mtoto na yey na kutusiwa anatumiwa side chick still mtu ananipeleka sasa afanywe nin kwa mfano
Hahahaa atiii mwalabu mwalabu wawapii ? Na huyoo mwalabuu siku hiyoo aliiizima taa niniii
Esma unajibu vizuri
Achakuficha myaka aunty anajiamini kasema myakayake
Honestly Speaking jamani Dylan jamani hajafanana hata kwa Bahata mbaya na Diamond...
Mwarabu😃
mashaallah😍😍😍😘😘😘
MIAKA 12🙄🙄???
Kwa kweli Leo nimeamini wewe ni Yuda the other day you said zari is older than mod so she was not fit for marriage today you have said yrs is just number lov matters daa rotten family
Amakweli yuda ni yuda tu.
Yaani hii urembo yote bado hawezzi kuwa na kipaji cha kuwa presenter 🙄🙄😂😂😂😂😂😂,plastic beauty with no brains😂😂😂😂😂
Maswali yakinafki
Unapendeza Kua mtangazaji
Uwongo usijitetea mbona wa tanasha unamposti kila mara wa hamisa hu mposti
hii familia ni hatari huyu dada mama lake utasema wanataka kila la na mondi
Uuum mala diamond alizaa nawanamume kweli?ila nafurahi kuona wote wanapatana vizuri
Shangazi tee ahutaki kusema myaka😂😂
Zabibu Nduwimana th-cam.com/video/i3aS-J0jkoI/w-d-xo.html
mbona nasikia babayako ni mpemba!?kupona sms nako shida mh,
Mercy Emmanuel th-cam.com/video/i3aS-J0jkoI/w-d-xo.html
mama ako nae kila mtoto na babake karithisha na wanae kuzaa na kila mtu.
Mshauri uyo nasib afunge ndoa asizini
❤❤❤
Sikupendi
Hao ni mashabiki wa hamisa wasikkuchoshe
Sasa HALIMA KIMWANA. ni ndugu Yao pia kwa baba au?
Ni dadake wa hiyari c wakuzaliwa nae
@@bintimuhammad148 aha OK 🆗
🥰
Mbona baba taraji al8kuwa bwana hamisa esma akamchukua halafu anko shamte alikuwa bwana wa mama hamisa mama daimond akamchukua hata sielewi
Hey
Shangaz yake tiffah huyooo mashallah
Duh
Katembele watoto southAFrica
Mhhhh mwrabu wapi wewe unaongopa wewe indi
Apo kwa mtoto wa amisa ndio kubay apostiwi ila anapendwa moyoni wengine wanapendwa moyoni na kupostiwa dah kila mala
Lizbeth Imanuel Liz mtoto asiye semwa basi ndio kipenzi sana
Tanasha hana wazazi?????
Hata alijifungua bila mtu wao hata mmoja,sjui kanafata tu pesa and fame,aki namuonea huruma huyo tanasha.
Kwa nini huendi kwa zari ukaone wa mtoto
Esma nakupenda bure
Duuh Aunty kwa nini unaficha miaka
Jmni maana ya tabia za kiyudayuda ndo nn?
afu wewe esma unapenda kunichekesha