Kauli ya nani kama mama ni kupinga mwanaume alie mfano na utukufu wa Mungu. Ina maana mama anakwezwa juu kuliko mume ambae Mungu amesema ndiye kichwa yaani kiongozi wa mkewe. Ina maana hakuna alie kichwa kama mama. Ni kauli mbiu ya shetani katika kupinga neno la ukichwa wa mwanamume. Na hili limewasomba wengi.
Aminaaaaa barikiwa sana mchungaj
Ukweli utabaki kuwa ukwel, ubarikiwe mchungaji
Kwa kweli
Amina sana Pastor.🙏🙏
Chungu lakini ni tamu
Amina sanaaa
Kauli ya nani kama mama ni kupinga mwanaume alie mfano na utukufu wa Mungu. Ina maana mama anakwezwa juu kuliko mume ambae Mungu amesema ndiye kichwa yaani kiongozi wa mkewe. Ina maana hakuna alie kichwa kama mama. Ni kauli mbiu ya shetani katika kupinga neno la ukichwa wa mwanamume. Na hili limewasomba wengi.
Bas kama vp tubadilishe, tuseme nani kama baba
😁