Mpina AFYATUKA tena Bungeni akichangia kwenye Wizara ya Bashe

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Kilimo kwa mwaka 2023/24 Bungeni jijini Dodoma leo.

ความคิดเห็น • 11

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 ปีที่แล้ว

    Mpina nakupenda bule

  • @chesconkwera2005
    @chesconkwera2005 ปีที่แล้ว

    Moina anamaswali magumu kwa Bashe

  • @mndambokilavo2502
    @mndambokilavo2502 ปีที่แล้ว

    huyu jamaa yuko vizuri napenda anavyofuatilia maana tunaambiwa 400bil wakati ni 80bil wabunge wote wangekuwa hivyo serikali ingekuwa na kigugumizi cha kutaja haya manamba

  • @rahimsadru-ct4ot
    @rahimsadru-ct4ot ปีที่แล้ว

    Mpina n mmoja lkn bungeni n kama wapi millions 100

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 ปีที่แล้ว +1

    Eti hivi we mwandishi mshenzi kweli utasemaje kafyatuka!!! Sema kaongea

  • @leskarmeikok8956
    @leskarmeikok8956 ปีที่แล้ว

    Mpina ,Msukuma,Gwajima,Mdee,Kishimba ,Anna killango wanastaili pongezi

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 ปีที่แล้ว

    Mpina ni msomi haswa

  • @rassimbaengswahili6191
    @rassimbaengswahili6191 ปีที่แล้ว

    I salute you Mpina

  • @adirhoregilitu6507
    @adirhoregilitu6507 ปีที่แล้ว

    Unaogea ukweli mpina mafisadi waubue tupo pamoja 🇧🇬

  • @ambitiousholyspirit395
    @ambitiousholyspirit395 ปีที่แล้ว

    mpina naomba asiwekewe mpinzani!

  • @titusrobert5890
    @titusrobert5890 ปีที่แล้ว

    Mpina ni sahihi kabisa