Who admits Navy Kenzo don't look like they are from TZ?? Yaani wanakaa wajamaika ivi ama mablack Americans.. Their hits are on another level aki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Must all Tanzanians look a particular way? Is there a law written somewhere? You might want to send them a copy, say you are violating this law with your looks. Please send me a copy as well.
TAnzania stand up,nikiangalia hii video napata feeling ya kuangalia video ya loyal ya Chrissbrown,mbaya zaid nkakumbuka kuna wale jamaa wa LMFAO na ngoma yao shuffling, damnnnnnnn Nahreal you killed the beat, Aika lile vocal la kuilainisha ngoma imekuwa noma sanaaaaaa,,,,,,,,,huyo Wildad kaja na moto wake wa volcano ni hauzimiki,,,,GOOD MUSIC IS WHAT WE DESERVE
Natamani wasanii waKiboNgo wasiojielewa Waige Mfano wa Hawa Watu, wAna FOCUS na mziki wao, Sio kukesha Flani Anavaa pete ya kijani, Fulani kanunua Tuzo, Fulani kanizimia Mic Bas Taflani, Tubadilikeni kwa kweli, Ifike kipindi Tupige Kazi Sio KutaFuta Mchawi Nani. This Song is Fireeeeeeeeeee.
nakukubali sana brother angu.hope that siku moja nitakuja bongo nije kufanya walau ngoma mbili kwako.u good man,know say? am jisams from Raleigh north Carolina USA.kip it up bruda
David Kariuki Sure. our music bodies don't care about motivating artists yet they get bribes from locals if they get you playing same music without license. We as citizens have borrowed the same by saying they lack content. Its fucked up state i tell you.
kiukweli sijawahi kucomment kwenye nyimbo yoyote ile baada ya kuiangalia youtube ila kwa hii nyimbo ya navykenzo it has been a different case...!! i truly love this song aiseee, ushawahi penda nyimbo mpaka unalia 😭😭😭 hii ndo mara ya kwanza..!! so sweet song..!! navykenzo are true definition of music...!! keep it 💯💥💥💥🙌🙌🙌
hats off navy kenzo... aisee hii video ni fantastic nilikua najiuliza ni nyimbo ya tz au maana my eye balls were out for the moment. kama kawaida wakilisha TZ...
duh!! navy kenzo huwa nawaelewaga sana 4now kwanza kichupa hichi halafu ya ommy dimpoz & ally kiba-: jiandae. kokoro ndio nini sasa. mimi namjua kokoro ni msanii wa vichekesho wa kenya wa kipindi cha mazagazaga kwahiyo haieleweki.
Nmeiona bendera ya nchi yetu _mmetuwakilisha vizuri sana yaan bila kuweka bendera ya Tanzania ingekua ngumu sana kutambulika kutokana na aina ya huu mziki mlioufanya good music
THIS VIDEO IS SERIOUSLY TOP NOTCH SO IS THE MUSIC.... Can we all agree how proffesional these two are? Yaani kibongo bongo wamebakia wachache sana kama hawa who do music for music. Si akina Dai na Ommy who do Drama for Music... mijitu mizima inaongelea maswala ya kupumuliana kwenye media UNTIL WE REALISE that Dai was doing it for kiki ya Wimbo tena a featuring ya KOKOLO. Navy kenzo keep up the good work and stay out of these type of hype kiks and drama and uswahili.
Big up to the julius kambarake nyerere the man who make everything possible in Tanzania..big up to abeid aman karume ,big up John pombe magufuli man who made Tanzania great again ....kenzo u rock
That flag tho was a cherry on Top. thank you for the representing us. sorry ntasema kwa kiswahili. Hiyo bendera imekoleza video kuwa tamu zaidi, ahsante kwa kutuwakilisha....
all the way from congo... navy kenzo this tune is massive.. your videos are always on point.... Thank you for bringing African music to the next level...
MAMA I MADE IT !! the song is good . video on point tukitaka muziki wetu ufike mbali lazima kutumia lugha za wenzetu.kiswahili ni kizuri lakini sio wote wana understand .
Hizi level zingine, naona kabisa Diamond anafichwa soon, these guys are so creative, most of their videos are fantastic. Great job guys, keep the flag flying and let the fire buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuurn.
Hey Navy Kenzo you gonna kill am a senegale's Dj and i like so your music All i wish is that you take so much price to the Next +A African Awards Am Rolling With You
haters are always there to hate....for real the song is veeeeeeery nice so kutoimba kwa kiswahili mwataka kufanya iwe big deal...like seriously guys!!! kama ngoma yao kutoboa ad nje itatoboa tu iwe wameimba kiswahili au kiingereza...anyways i think wameeka bendera ya taifa ili kutambulisha they are TANZANIANS although wameimba kiingereza...and kwa huku uswazi huu wimbo tutaimba tu hata kwa kuchapia mbona bai shoo ai lavyu bebi tuliimba kwa kuchapia 😂😂😂 and another thing we shud stop pouring out our hatred towards other artist kene page ya watu..maana naona watu wanacomment sijui kokoro imefanyaje...sijui alikiba kafanyaje...lets support good music and love wat we have although wana flaws zako...LOVE YU NAVYKENZO nikiwa mdadad mkubwa(nikinenepa) nataka niwe kama ww "wink"😉wink😉""
Hii ngoma sio ndogo kabisa iko 💯 Ina vibe la kufa mtu kabisa me nahisi connection ndio tatizo lakini hili ngoma la majuu kabisa ingetakiwa liingie billboard chart
2024 anyone?
3.2 million views????🤦♂️,this song deserved 1billion views fr🔥🔥🔥🔥
True
Still wondering how comes 3. M
So True!!
beautiful piece guys👏👏👏👏👏 it's hard to believe it's from Tanzania ahsanteni kwa kuchokonoa bongo fleva kwa njia nzuri wish I can like many times.
Nevy kenzo is a sleeping beast...km unaichek hii ngoma 2020..just drop your like tujihesabu apo
my favorite song n my favorite artists in Tanzania at the same time
anyone here got the same love outside there 🇹🇿🇹🇿
east Africa ooyeeeeeesss🙌🙌🙌🙌
naipenda sana kutoka Kenya😍😍
Doses of Val hi
Rryfe
Doses of Val yeah Africa my Africa ❤❤❤
Who admits Navy Kenzo don't look like they are from TZ?? Yaani wanakaa wajamaika ivi ama mablack Americans.. Their hits are on another level aki 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Must all Tanzanians look a particular way? Is there a law written somewhere? You might want to send them a copy, say you are violating this law with your looks. Please send me a copy as well.
They don't look like Tanzanians kabisa,wako juu sana
@@deemusique2426 Stupid kenyans comments be like
Sikuwaji kujua uyu ni mtz
The Industry in the building...Proudly being TANZANIAN. Navy Kenzo Best Group Africa....mko juu, Hapa Kazi Tu.
broo hiii ngoma ni international well done hakuna alie wahi fanya kama hv tz. and %100 ya comment wameikubal
yan hawa niwakali
Navy kenzo miondoko yao sio ya nchi hii.....hii nyimbo kideo chake kitasumbua sana town!
I am super impressed, this deserves a Billboard Hot 100 appearance.
TAnzania stand up,nikiangalia hii video napata feeling ya kuangalia video ya loyal ya Chrissbrown,mbaya zaid nkakumbuka kuna wale jamaa wa LMFAO na ngoma yao shuffling, damnnnnnnn Nahreal you killed the beat, Aika lile vocal la kuilainisha ngoma imekuwa noma sanaaaaaa,,,,,,,,,huyo Wildad kaja na moto wake wa volcano ni hauzimiki,,,,GOOD MUSIC IS WHAT WE DESERVE
Natamani wasanii waKiboNgo wasiojielewa Waige Mfano wa Hawa Watu, wAna FOCUS na mziki wao, Sio kukesha Flani Anavaa pete ya kijani, Fulani kanunua Tuzo, Fulani kanizimia Mic Bas Taflani, Tubadilikeni kwa kweli, Ifike kipindi Tupige Kazi Sio KutaFuta Mchawi Nani. This Song is Fireeeeeeeeeee.
It's very nice navy Kenzo endeleeni kufanya vizuri na mmeonyesha uzalendo mkubwa kwa nchi yetu
How are still here in 2020 listening to this jam😪🔥♥️
nakukubali sana brother angu.hope that siku moja nitakuja bongo nije kufanya walau ngoma mbili kwako.u good man,know say?
am jisams from Raleigh north Carolina USA.kip it up bruda
While our Kenyan Artists are joking around. Our neighbours Tanzania are making big steps into the international market. Big Up TANZANIA 👊👊👊👊👊👊👊
Leave music to them, its the talent we don't have.
I think it's a Kenyan thing to criticize and never appreciate our own. If this was a Kenyan song i bet it would not have 30k views.
David Kariuki
Sure. our music bodies don't care about motivating artists yet they get bribes from locals if they get you playing same music without license. We as citizens have borrowed the same by saying they lack content. Its fucked up state i tell you.
music aint all about talent..ni bidii
Micasa Sucasa is a lit song. International..We trying!
kiukweli sijawahi kucomment kwenye nyimbo yoyote ile baada ya kuiangalia youtube ila kwa hii nyimbo ya navykenzo it has been a different case...!! i truly love this song aiseee, ushawahi penda nyimbo mpaka unalia 😭😭😭 hii ndo mara ya kwanza..!! so sweet song..!! navykenzo are true definition of music...!! keep it 💯💥💥💥🙌🙌🙌
our very own Major Lazer ...nahreel on the beat!! ... navy kenzo what a hit!!! yo killing it.
hats off navy kenzo... aisee hii video ni fantastic nilikua najiuliza ni nyimbo ya tz au maana my eye balls were out for the moment. kama kawaida wakilisha TZ...
That flag gave me chills...najivunia nchi yangu Tanzania
Nyumbani ni nyumbani mcheza kwao hutunzwa..big up Navy kenzo tz .com
the song is awesome...imenibamba mpk nmesahau shida za maisha ya bongoland, dislikers ni makokoro in diamond's voice
hahahaha
GEORGE MLASHANI ok happy
2023 I’m still vibing with this song 🔥🔥🔥
kazi nzuri sana Big Up huyo jamaa Wildad n noumer kwnye hiyo chorus
duh!! navy kenzo huwa nawaelewaga sana 4now kwanza kichupa hichi halafu ya ommy dimpoz & ally kiba-: jiandae. kokoro ndio nini sasa. mimi namjua kokoro ni msanii wa vichekesho wa kenya wa kipindi cha mazagazaga kwahiyo haieleweki.
You guys killed this one.... Much love from Rwanda
Nmeiona bendera ya nchi yetu _mmetuwakilisha vizuri sana yaan bila kuweka bendera ya Tanzania ingekua ngumu sana kutambulika kutokana na aina ya huu mziki mlioufanya good music
this song is really lit 🔥🔥🔥.. next level.
hit like if you appreciate their work,..
tc daimn lit
One Man Army77 nice
I Don't like this song I like Somali singz
Mmeboaaa ata lugha ya kiswahili kidogo hamnaa!!!Bendera tu mmenifariji ila lugha ingesaidia kupaisha#TEAM TZ......any way gud job
I'm so proud of to be Tanzanian....Ile bendera imeniongezea mapenz na nchi yangu..
Hii ngoma huniimbamba sana timeless hit🔥☺️☺️☺️Nahreel u gat my respect
THIS VIDEO IS SERIOUSLY TOP NOTCH SO IS THE MUSIC.... Can we all agree how proffesional these two are?
Yaani kibongo bongo wamebakia wachache sana kama hawa who do music for music. Si akina Dai na Ommy who do Drama for Music... mijitu mizima inaongelea maswala ya kupumuliana kwenye media UNTIL WE REALISE that Dai was doing it for kiki ya Wimbo tena a featuring ya KOKOLO.
Navy kenzo keep up the good work and stay out of these type of hype kiks and drama and uswahili.
intenationale level bila kiki mamae .afu mwisho wa siku nawaona hawa jamaaa wakiwa juu kuliko kiba na mondi
Big up to the julius kambarake nyerere the man who make everything possible in Tanzania..big up to abeid aman karume ,big up John pombe magufuli man who made Tanzania great again ....kenzo u rock
That flag tho was a cherry on Top. thank you for the representing us.
sorry ntasema kwa kiswahili.
Hiyo bendera imekoleza video kuwa tamu zaidi, ahsante kwa kutuwakilisha....
hatariiiii wamenogaaaa
bongo idumu milele yote
Dave Humphrey amen to that
catherine temu
b
Nigga ikr...dem juc gave more sauce there 😄
all the way from congo... navy kenzo this tune is massive.. your videos are always on point.... Thank you for bringing African music to the next level...
Duuuuh so amazing kama sio Bongo artist vile but still they are Tanzanians, Congl. Navy Kenzo keep it up mpo juu
@AUGUSTINO LUGUSHA,wabadili mentality ya kutukuza dollars.
+Furaha Chuma bro ulitaka waende SA na mi elfu kumi au
yusuf almaamiry Not that nigga but uhalisia ni kuwa hatuna dollarz hapa kwetu katika matumizi ya kawaida.
Aika alianza kwa kupoa saaaana...buh Wildad na Nahreel kama wameichangamsha hivi,nways the song is 🔥🔥🔥#Clubangger
Alafu nyie Navy kenzo sio watanzania mbn mnaweza sasa
This one is hatarious
Kazi nzuri ni vitendo si maneno na uzuri wa kitu usifiwe na waangaliaji..... Hongera zenu... Nice job
Halima Mbwego
Nawakubarisanawashirikiwot
Daaah sitaki kuamini kama watu wanahate ivi... who dislike such a song? This song z guuuuud
TANZANIA FLAG ON FLEEK.. I LOVE MY CONTRY... U GUYS ENDELEENI KUKAZA..
aisee Kila nikisikiliza hii nymbo naweka repeat ....kwa kwel I love the song....big up navy kenzo
Its 2019 ... Bt still I can't stop listening
This song is awesome
great music with any outstanding video.... mnawakilisha nchi vyema.
Kwa mwendo huu bas ata album yao inaweza kuingia billboard kama walivyosema
MAMA I MADE IT !! the song is good . video on point tukitaka muziki wetu ufike mbali lazima kutumia lugha za wenzetu.kiswahili ni kizuri lakini sio wote wana understand .
This song never gets old...love the song
Navikenzo shikamooni aseeeeh sio kwa video hiyo endeleeeeeni kutunyosha 👏💯👏✔💯💯
this song is fabulous and very unique
I love it very much
good music @navy kenzo
Damn.. hawa watu utafkili si wabongo kazi nzuriii saaaaan AIM wazungu Watainunua Tu hata kwa shingo Upande Kudadeki Big Navykenzo its Boom🙌🙌
daaamn!!the beats...navy kenzo,tz should be so proud of you guys coz ur advancing guys..much love from the 254
July 2024 and still a banger🎉
we are the industry NAVYKENZO we above in minute 😍😍continue make us proud nice song aika nd nahreel 🙌🙌🙌Nahreel yo Gineus menh
eeeeh bhana eeeh. This Thing ni next level. The production, Ni kama namsikiliza David Guetta
kama unaangalia ngoma hafu unasoma comment gonga leki
shout to you 2024
sikutegemea km navy kenzo wangepga video kali km hii,hii ndo video bora ya mwaka
Cyan't get enough of dis tune man..This is why I call this "highest form of expression of human intel...
Shout out from 254 🇰🇪 🇰🇪
Hizi level zingine, naona kabisa Diamond anafichwa soon, these guys are so creative, most of their videos are fantastic. Great job guys, keep the flag flying and let the fire buuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuurn.
Ukwerrrr kabisss br
3 years later and your comment was clearly wrong hehehe
Kichupa kikali sana pia nawakubali sana THE INDUSTRY pamoja sana
big tune 💥💥💥💥💥💥
wapi likes wadau wangu kama mmebonyeza replay button
Nice song crazyyyyy
Mwotooo kama Pasi...I like the song its damn FIREEE......🔥🔥🔥.......Its unbelievable its from TZ.......Like from +254.......👊
My beautiful Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
feels so good kuisikiliza hii ngoma! kizuri kinasifiwa
💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥
I'm feeling good Yeahh..
is it just me or this song can beat some songs on uk top 40 and us top 30 ?? this is amazing international song ..
navy kenzo keep it up mnaweza one day ningependa kuona mnahit duniani na kuchukua tunzo kubwa Mungu awatangulie
Tanzanians are the emperors of the east African entertainment industry... Kenya tumeachiwa politics tu
U da 1 in da million mtisha ile mbaya, naelew since dei 1, much respect to u guyzzz
OK NAVY KENZO SLAYING.......daamn it feels good to listen to this beat.....ACEEEEEEEEEEEEEEE
Big up to you Navy Kenzo, Nimependa Nogesho La Bendera...respect..!!!
maaaann this song is so Dope maaan...you guys are the greatest hard work pays....Tanzaniaan Love big up Navy Kenzo...you made us FEEL GOOD 😈😎😎😎
Feel so good yeah yeah
Mama I made it...
Ngoma kali kenzo....Nahreal kama umenyonga ww iyo beat asee ni shida chalii
Hey Navy Kenzo you gonna kill am a senegale's Dj and i like so your music All i wish is that you take so much price to the Next +A
African Awards
Am Rolling With You
ok talk to me....
Hakuna wasanii kama navykenzo u guys are jst a 💥💥💥💣 fire....asanteni kwa mziki mzuri
I am a young latino man that loves African Rhytms. God bless "MAMA AFRCA"
xxx
Alex Arriaza wowoooo
Huh ndio mziki tunaohuitaji men big up gyz ciyale maladha tunayoimbiwaga kuwa mistari ya vijembe na kuungaunga
haters are always there to hate....for real the song is veeeeeeery nice so kutoimba kwa kiswahili mwataka kufanya iwe big deal...like seriously guys!!! kama ngoma yao kutoboa ad nje itatoboa tu iwe wameimba kiswahili au kiingereza...anyways i think wameeka bendera ya taifa ili kutambulisha they are TANZANIANS although wameimba kiingereza...and kwa huku uswazi huu wimbo tutaimba tu hata kwa kuchapia mbona bai shoo ai lavyu bebi tuliimba kwa kuchapia 😂😂😂 and another thing we shud stop pouring out our hatred towards other artist kene page ya watu..maana naona watu wanacomment sijui kokoro imefanyaje...sijui alikiba kafanyaje...lets support good music and love wat we have although wana flaws zako...LOVE YU NAVYKENZO nikiwa mdadad mkubwa(nikinenepa) nataka niwe kama ww "wink"😉wink😉""
Mmetisha mbaya..... Huyo jamaa anajua kuwatolea vichupa vikali...
I feel so good yeah luvin this song
Where have you guys been,east africa just got another one to the world.. Fantastic
Navy Kenzo on TOP.. Dope song Tanzania Stand Up
mzungu kageuza bendera alitakiwa aikamate sawa ndio heshima ya bendera yetu
I swear Navy Kenzo ndo wanatengeneza video kali asee..wengine porojo nyingi ila hawa ndo creative
wouzer sijuti kuckiliza mziki mzuri kutoka kwa navy kenzo
Heheh am here before 1 million views ....I like this track
huhuhuuuu kiboko ya nyimbo zote mpya za saiv, so fabulous
Tanzania we made it....🙌
Ukiujua kuutengenezea mziki ni Lazima utaujua kuuwimba.... ï think kuucheza ni kipawa Chengine Navykenzo like Pantolaking from Nigeria
Anyone in 2019 still watching because it can’t be only me ??!
am feel so good, i wanna go craizy. kali kinouma sana inatisha kenzo mko vizuri
still jamming 😍
Music in another level sio mbwembwe nyingi na majigambo
u guys never disappoint. best way to end the year. best song for me
Hii ngoma sio ndogo kabisa iko 💯 Ina vibe la kufa mtu kabisa me nahisi connection ndio tatizo lakini hili ngoma la majuu kabisa ingetakiwa liingie billboard chart
JAM IS HEREEEE! MAKE SOME NOISE FOR NAVY KENZOOOOOOOO!!!!
Ngoma Kali sana. Video Kali big up kwenu tz