Tazama Diamond Platnumz na Zari wakicheza Taarabu kwenye 40 ya Nillan

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 179

  • @nancysunday9356
    @nancysunday9356 7 ปีที่แล้ว +1

    love the smile on diamond and the mum's face......God bless this wonderful family....Diamond your blessed

  • @zuwenasaleh7756
    @zuwenasaleh7756 7 ปีที่แล้ว +5

    mungu akukuze mtoto mzuri uone maajabu ya baba yako.nakuombea uwe mtoto mwema

    • @PenazZpena
      @PenazZpena 6 ปีที่แล้ว

      ameshayaona sasa

  • @aishamkombozi7863
    @aishamkombozi7863 7 ปีที่แล้ว

    m/mungu awajalie pia awakuzie watoto wenu mi nasema nawapenda pia mmependeza sana

  • @asharamadhani4686
    @asharamadhani4686 7 ปีที่แล้ว +7

    mungu awalinde siku zote.. lnshaallah

  • @babyfaa7677
    @babyfaa7677 7 ปีที่แล้ว

    nikirudi Tanzania nitamfanyia mtoto wangu dua nitamualika mondo na watu wake na wadau wenzangu wallah mungu akitujalia aje aone jinsi inavo takiwa watoto wafanyiwe alafu mtoto akichupa ukuta akilala nje uskie hajashikwa shikio na yule babayke marehemu kumbe ujinga kama huo unao fanyi akifk miezi 6 mtoto anadae pombe uyo nakama hamuamini tuskilizie habri

  • @eventelias278
    @eventelias278 7 ปีที่แล้ว

    Mama Diamond ye kicheko tu..safi sana

  • @hassankayla4076
    @hassankayla4076 7 ปีที่แล้ว

    Hongereni sana, Allah awakuze vyema watoto wenu Insha Allah

  • @fazozaarusa9234
    @fazozaarusa9234 7 ปีที่แล้ว +9

    Subahana Allah diamond ukona Gharama ya kufanyaa party kubwa ambae ni haramu lakini hauwezi funga ndo ya halali na mkeo unajua kislamu mtoto anazaliwa inje ya ndoa. sio vizuri kesho wataitwa majina kama wanaharamu. tafadhali kumbuka hiyo ni pumzi tu hatujui kesho kama tutakuwa hai. ndugu wangu mrudie Mola wako✌

    • @kenya-yj3eq
      @kenya-yj3eq 7 ปีที่แล้ว +1

      natasha ferouz kwani yaaza diamond na zari kuzaa watoto bila kuowana kwa hii dunia? wacha diamond na maisha yake ww kama wajua dini sana baki na dini yako.

    • @alsam4881
      @alsam4881 7 ปีที่แล้ว +2

      Ni kweli kabisa maneno yako natasha ferouz,yaani inashangaza sana hawa watu wanazo pesa za anasa lakini za kufunga ndoa hawana!Kwani ndoa inahitaji pesa nyingi?Ni kumuita sheikh tu na mashahidi ili wahalalishe uhusiano wao kuliko wanazaa watoto nje ya ndoa na kuzini na kubeba dhambi tu,yaani wanatupa akhera kwa mambo ya dunia ni ya kupita tu.

    • @faudhiasaid93
      @faudhiasaid93 7 ปีที่แล้ว +1

      wew hufai kbx ata kdgo mwenzio kasema kweli

    • @fazozaarusa9234
      @fazozaarusa9234 7 ปีที่แล้ว +1

      Zahara Zuhura sijasasema hawa ndo wa Kwanzaa dadangu kama ww mwisilamu ni vizuri tukumbushane hii ni Dunia na sisi wote ni wapita njia.nothing is permanent. je ww ungekubali kuzaa inje ya ndoa na mume amabe akona uwezo ya kukufunga ndo? lazima utamtakie ndugu wake what u want for urself and remind each other good deeds isn't a sin. perhaps her kids are going to be called names tomorrow by there friends or agemet outside. do u know how it hurts when u being called mwanaharamu. siku Shangai dada wangu Kwa sababu Dunia leo what is haram is halal and vice versa

    • @fazozaarusa9234
      @fazozaarusa9234 7 ปีที่แล้ว +2

      Alye Asante sanaa dada si unajua nowadays ukijaribu kumwambie ndugu yako ama dada yako hafanyi vizuri abadilishe mwendo. Majibu ni unaskia wivu. when u try to advise pple all they think is u are jealous of their life

  • @fatmaali4921
    @fatmaali4921 6 ปีที่แล้ว

    Dai gumegume looh picha halirud tena happy family kushineh

  • @mum1boo
    @mum1boo 7 ปีที่แล้ว +7

    This is just beautiful at its best....beautiful beautiful beautiful 😍😍😍😍😍😍😍

  • @salimatuyahhaya5772
    @salimatuyahhaya5772 7 ปีที่แล้ว

    Kweli daa khadija Wengine si Wanaume ni magumegume. zari 😘

  • @raphaelotieno8092
    @raphaelotieno8092 6 ปีที่แล้ว

    so nice, i like it. congra to wcb

  • @sweetmama3242
    @sweetmama3242 7 ปีที่แล้ว +2

    Yaani Khadija Kopa anaimba hadi raha. Nyimbo hiyo inaitwaje jamani niisikilize nakucheza? Nakupenda mama Khadija. Mungu akujalie maisha marefu mama.

  • @aminamussa5122
    @aminamussa5122 6 ปีที่แล้ว +1

    Wanaume wa kiafrika zero love... Pole Zari.

  • @halimambwego8287
    @halimambwego8287 7 ปีที่แล้ว

    Wcb mko vizuri... Nice

  • @marrytheo5554
    @marrytheo5554 5 ปีที่แล้ว +10

    Who is still here with me after yesterday's party 🙆😭😭

  • @salmasaid7254
    @salmasaid7254 7 ปีที่แล้ว

    rich mavoco unanenguwa kuliko mzee yussuf taarabu oyeee

  • @aidatimothy8045
    @aidatimothy8045 6 ปีที่แล้ว

    Mungu awalinde inshallah

  • @tariqmsalm1498
    @tariqmsalm1498 7 ปีที่แล้ว

    I wish him a beautiful growth on earth

  • @bizimanaclaude2831
    @bizimanaclaude2831 7 ปีที่แล้ว +1

    I love you only you are only Diamond on the world.

    • @rehemaayaga5959
      @rehemaayaga5959 7 ปีที่แล้ว +1

      just trying to understand you haaa

  • @meleshmelesh3257
    @meleshmelesh3257 7 ปีที่แล้ว

    oooh my goosss this is beautiful

  • @christinekawira8612
    @christinekawira8612 7 ปีที่แล้ว +1

    it good to have family members together

  • @tracytracy9277
    @tracytracy9277 7 ปีที่แล้ว

    nice love taarab.

  • @dianaahdarlingkenya7616
    @dianaahdarlingkenya7616 7 ปีที่แล้ว +6

    Thus Great @Wcb and all family members

  • @heldaoman3070
    @heldaoman3070 7 ปีที่แล้ว

    Safi sanaaa d

  • @jasminemasiga5930
    @jasminemasiga5930 7 ปีที่แล้ว

    wapi roboti mbn simuoni apooo au kajifungia ndani analiaaaaaaa

  • @carolinewanjiru5164
    @carolinewanjiru5164 6 ปีที่แล้ว

    Vanny boy Iko lovee

  • @rosemarybenjamin5866
    @rosemarybenjamin5866 7 ปีที่แล้ว +5

    wapi mond kam nakuon ivi😂😊😊😊😊😍😍😍😍mmependeza jmni

  • @merinakassembe118
    @merinakassembe118 ปีที่แล้ว

    Maskini hapo zari hajui kama worper kashazagamuliwa na mwambino dunia hii

  • @zuwenasaleh7756
    @zuwenasaleh7756 7 ปีที่แล้ว

    kwenye dini hakuna kitu kama hicho sijawahi kuona ndiyo kwanza pesa zinasumbua binadamu kweli mungu tunusuru Eee mola tupe mwisho mwema yarabi haya makubwa

  • @hafidhsadiki3645
    @hafidhsadiki3645 7 ปีที่แล้ว

    Ustadh mond aminia

  • @elizabethvictor3057
    @elizabethvictor3057 5 ปีที่แล้ว

    Nimekuj kukumbushia bda ya kuon 40 ya naseeb junior

  • @zainabzubery7555
    @zainabzubery7555 5 ปีที่แล้ว

    Mko vzur

  • @mcisunga3822
    @mcisunga3822 7 ปีที่แล้ว

    😅😅😅😅raha sana mpaka nimeaza kutamni kuzaa sasa

  • @pittymohd8129
    @pittymohd8129 7 ปีที่แล้ว +1

    nice ila wachoyo sisi hatualikwi

  • @mudyhamisi2416
    @mudyhamisi2416 7 ปีที่แล้ว

    hii ni nouma xanaaa

  • @DAMUSAFI
    @DAMUSAFI 7 ปีที่แล้ว

    SONG NAME ......JINA LA NYIMBO please..

  • @mariamhadija7236
    @mariamhadija7236 7 ปีที่แล้ว +11

    Mwanaume lezi lezi tupa njee😂😂😂😂kopa wew hatariiii

    • @jikelalion9142
      @jikelalion9142 7 ปีที่แล้ว

      Mariam Hadija ndio manake sio wote wengine magumegume

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว

      Mariam Hadija hahahhahahha

  • @lilianakinyi8304
    @lilianakinyi8304 7 ปีที่แล้ว

    wow zari naombea ndoa yako na diamond mtu asiwatenganishe.

  • @patrickodhiambo3816
    @patrickodhiambo3816 7 ปีที่แล้ว

    This is amazing

  • @hmallaikahoney4549
    @hmallaikahoney4549 7 ปีที่แล้ว

    Plz naombeni kujua hii nyimbo yaitwaje

  • @nkurunzizaneema5282
    @nkurunzizaneema5282 7 ปีที่แล้ว +1

    what is the name of the song please anyone help

  • @munirayusra91
    @munirayusra91 7 ปีที่แล้ว

    Huyo Ranvanny vepeeeeee

  • @bintirashidantybaby8146
    @bintirashidantybaby8146 7 ปีที่แล้ว

    mlisema toch kimeo mganda amekiwakisha

  • @rosamatiasilovemusicagospo53
    @rosamatiasilovemusicagospo53 7 ปีที่แล้ว

    iko njema wapendanao' wape nafasi.

  • @binrashid1638
    @binrashid1638 7 ปีที่แล้ว

    Hahahaha Nimechelewa kucoment

  • @innocentimasawe9631
    @innocentimasawe9631 7 ปีที่แล้ว

    Umependeza

  • @nkurunzizaneema5282
    @nkurunzizaneema5282 7 ปีที่แล้ว

    what is the name of the taarab

  • @missxexykenya6028
    @missxexykenya6028 7 ปีที่แล้ว

    lovely simba's family miaka buku

  • @happymarkernest4098
    @happymarkernest4098 7 ปีที่แล้ว

    mmenogaje jamani

  • @haleemahaleema5541
    @haleemahaleema5541 7 ปีที่แล้ว +1

    zari kapatikana hahahha umeolewa na mzalamu hahahaha hata km kigoma

  • @mamapekupekupilipilimuwash9016
    @mamapekupekupilipilimuwash9016 7 ปีที่แล้ว

    woleper kumbe bado wako pamoja na hamorniz jamani juzi niliona waliachana

  • @paulomasiaya7641
    @paulomasiaya7641 7 ปีที่แล้ว

    bunge la tanzania

  • @sand4946
    @sand4946 7 ปีที่แล้ว

    please whats the name of the song👍

  • @azizayassin3623
    @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว

    halloooooo pendez sana

  • @murushidalba6548
    @murushidalba6548 7 ปีที่แล้ว

    music class

  • @fghvghggh3296
    @fghvghggh3296 7 ปีที่แล้ว

    huyu Mamake d mbona amemuachia mtoto wake hivi .hajaowa wanakaa tuu wakizini

  • @LyonWalker_
    @LyonWalker_ 7 ปีที่แล้ว +9

    safeeeeee chezeaaaaa simbaaaa ww

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว +1

      Mfanando GeoDesigner apana chezea wamenuna wambea haaahaa

    • @sengatiansaim8023
      @sengatiansaim8023 7 ปีที่แล้ว

      azh zha yassin ,

  • @sylviakanguhi2439
    @sylviakanguhi2439 7 ปีที่แล้ว

    kuzuri kule hadi nalia

  • @shakilamasoud8979
    @shakilamasoud8979 7 ปีที่แล้ว +2

    mbona wolpre kam bana zari hivyo heee....mi nilijua atabanana na Raj.

  • @brigidmua9558
    @brigidmua9558 7 ปีที่แล้ว

    Harmonize mbona huchezi na Wolpher. ....

  • @flomrembowakenya5524
    @flomrembowakenya5524 7 ปีที่แล้ว

    Awesome

  • @teddymeela2791
    @teddymeela2791 6 ปีที่แล้ว

    Hiz ni zama za kale

  • @damarissamba1432
    @damarissamba1432 7 ปีที่แล้ว +1

    Hapo chacha

  • @maryamandayi6106
    @maryamandayi6106 7 ปีที่แล้ว

    baba tale lini ntapata no yake?

  • @kihanda2554
    @kihanda2554 7 ปีที่แล้ว +1

    Harmonize si uongee na Wolpergambe hapo usingoje sherehe iishe ataondoka huyo 😨😨😨

  • @hassanovajunior3006
    @hassanovajunior3006 7 ปีที่แล้ว +7

    pendeza Sana wallah

  • @maimunageorge684
    @maimunageorge684 7 ปีที่แล้ว

    mashallah

  • @NasirAli-qi9be
    @NasirAli-qi9be 7 ปีที่แล้ว

    kopa wakuache miaka miaaa

  • @wardalward3693
    @wardalward3693 7 ปีที่แล้ว

    Lhaula na pombe lakini ikosiku watai kumbuka hehe

    • @QasimQasim-ve5zl
      @QasimQasim-ve5zl 6 ปีที่แล้ว

      Warda Lward
      حلوه الرقصه 😍

  • @tamtam2589
    @tamtam2589 7 ปีที่แล้ว

    yani raha mkwe anavyocheza na mkwewe penda mama mond

  • @apolinemalungano5854
    @apolinemalungano5854 7 ปีที่แล้ว

    Mumetisha mwenye hata sifia huyo aduwi yenu

  • @حليمةتنزانيا
    @حليمةتنزانيا 7 ปีที่แล้ว

    I'll jack ataajapendeza sula bovu

  • @mariamselemani3704
    @mariamselemani3704 7 ปีที่แล้ว

    good

  • @judnesstemba7252
    @judnesstemba7252 5 ปีที่แล้ว

    Gume gume si dai

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 7 ปีที่แล้ว

    mma wamipasho hj kopa

  • @mariobalotelilucciano8905
    @mariobalotelilucciano8905 7 ปีที่แล้ว

    shiiida kanbisa

  • @joycemichaellovelove2221
    @joycemichaellovelove2221 7 ปีที่แล้ว

    🙌🙌🙌🙌😀😀😀

  • @raheemalewa9219
    @raheemalewa9219 6 ปีที่แล้ว

    Hamisa huyo

  • @azahally9216
    @azahally9216 7 ปีที่แล้ว +2

    jaman nataman

  • @halimanyauba6004
    @halimanyauba6004 7 ปีที่แล้ว +1

    Yani bundle langu laishaga kwa simba wallah

  • @zaitunimnyone9473
    @zaitunimnyone9473 7 ปีที่แล้ว

    hapo kwenye hiyo taarabu anasema pisha njia nasema tochi kimeo mbona mnachez sas wolper anamganda sana zari cjui hasikii ujumbe wa hiyo taarabu

  • @yusufalmamari4236
    @yusufalmamari4236 7 ปีที่แล้ว

    simbaaaaaa

  • @zenahamoodzaya6858
    @zenahamoodzaya6858 7 ปีที่แล้ว +1

    huku raha thuu,,, huyo ndo simba na Mrs wake zari

  • @maryamandayi6106
    @maryamandayi6106 7 ปีที่แล้ว

    wolper duh! ila zako lini 40? wakenya namark register 😂

  • @frankiesalif1907
    @frankiesalif1907 7 ปีที่แล้ว

    What does the title say in English pls ?

    • @suleymanally7662
      @suleymanally7662 7 ปีที่แล้ว

      Frankie Salif watch diamond and zari playing taarab( Tanzania music)

    • @frankiesalif1907
      @frankiesalif1907 7 ปีที่แล้ว +1

      Suleyman Ally thanks for that.

    • @johnmasunga.nsolezi9826
      @johnmasunga.nsolezi9826 7 ปีที่แล้ว

      Frankie Salif you are on the wrong site, you better watch something else

    • @frankiesalif1907
      @frankiesalif1907 7 ปีที่แล้ว

      John, Masunga. Nsolezi I'm a fan of Diamond, so know your place Ok!

  • @jacquelinemabula2519
    @jacquelinemabula2519 7 ปีที่แล้ว

    jamani hii kitu katika dini je inaruhusu mnao elewa naomba kueleweshwa kidini 40 ya mtoto taarabu ruksa?

  • @zaitunimnyone9473
    @zaitunimnyone9473 7 ปีที่แล้ว +1

    wolper unaambiwa pisha njia alafu unsonga zari inahusu,

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 7 ปีที่แล้ว

      Zaituni Mnyone hahhaha pambeaaa ww haahhah

  • @ahmedalminshad1211
    @ahmedalminshad1211 7 ปีที่แล้ว

    hiki kilevi kimbele sijui cha nn? anamchanganya Zari hadi anashidwa mwelekeo wa kukata mauno aki next time huyu mlevi asiwe karibu na Zari

  • @winieramadan9857
    @winieramadan9857 7 ปีที่แล้ว +2

    adi raha

  • @jameskelly2382
    @jameskelly2382 6 ปีที่แล้ว

    Mmnenfrahisha

  • @mussamwita3900
    @mussamwita3900 7 ปีที่แล้ว

    ah sasa tuna majina tu ya kiiislaaam ila s uilaaam kwan huyo mtoto dimod wa ndooa???

  • @mamatuishi-mamatuondoke8822
    @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 ปีที่แล้ว +3

    Mkivaa nguo za heshima mnapendeza kama nini

    • @bintirashidantybaby8146
      @bintirashidantybaby8146 7 ปีที่แล้ว

      Mama tuishi- mama tuondo
      ke tens hua wanapenda ile hatari lakn sjui tatizo kutuvalia vituko

    • @mamatuishi-mamatuondoke8822
      @mamatuishi-mamatuondoke8822 7 ปีที่แล้ว

      Binti Rashid Antybaby -Huruka zao tu/hakuna dini wala mila inayo luhusu kuvaa vichupi machoni pa mataifa

  • @nafisamohamad3182
    @nafisamohamad3182 7 ปีที่แล้ว

    nauliza hio sherehe mbona wa2 wengi haikua na kadi au???

    • @sitibora4942
      @sitibora4942 7 ปีที่แล้ว

      Nafisa Mohamad ina huuu 😂😂😂

  • @mammyakiri7576
    @mammyakiri7576 7 ปีที่แล้ว

    jamn naombo jina la hiyo taarabu

  • @ericknyoni9068
    @ericknyoni9068 5 ปีที่แล้ว

    audio

  • @queencashmadam8340
    @queencashmadam8340 7 ปีที่แล้ว +1

    Pambe ongereni chibu na zari

  • @saumuseif9189
    @saumuseif9189 4 ปีที่แล้ว

    😁😁😁😂😂

  • @raffraffie7799
    @raffraffie7799 6 ปีที่แล้ว

    the Sound was very Bad

  • @billyzokah5410
    @billyzokah5410 7 ปีที่แล้ว

    hawa jamaa wa wcb wamezoea kukamatia njini bwana hahaha.hapo wanataka kushikilia mtu ila ni basi tuu.wewe ray van nakuona hapo pamoja na mavoko .