Itv mnafanya kazi nzurii endeleen kuzunguka nchi nzima ili viongozi we2 waone mtanzania ana maisha ya namna gan?sio tunduru pekee maisha ni magumu nchi nzima.
ningependa selikal iwe makin kusikiliza hizo kauli za watanzania wa wilaya ya tunduru mimi ni mzaliwa wa uko ila kwa sasa naishi daresalaam ila yote yanayoongelewa yananiumiza sana
ITV mnafanya kazi nzuri.
Itv mnafanya kazi nzurii endeleen kuzunguka nchi nzima ili viongozi we2 waone mtanzania ana maisha ya namna gan?sio tunduru pekee maisha ni magumu nchi nzima.
Ni kweli namuunga mkono kaka mbela