JONATHAN ALUKWU KUTUA SIMBA/MKALI WA KUTUPIA/UBORA WAKE NA UDHAIFU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • Simba Pro kama ilivo kawaida tunakuletea uchambuzi wa kina kuhusiana na Jonathan Alukwu ambae anatajwa kwa karibu kutua katika klabu ya Simba
    kupitia video hii utapata kumjua kwa undani nyota huyu na Rekodi zake toka akiwa na Heartland FC hadi sasa akiwa na Sporting Lagos
    NWAKA HARDWARE ni wauzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi vya kisasa
    wanapatikana Kariakoo mtaa wa Kipata na Sikukuu
    wasiliana nao kwa namba 0655155096
    Pia shukran ziwaendee wanachama wa Simba Pro kwa michango Yao iliyowezesha upatikani wa media hii

ความคิดเห็น • 20

  • @khalidmulilo5864
    @khalidmulilo5864 8 หลายเดือนก่อน

    Nakukubali sana mwamba.

  • @user-gb8rj4nk7p
    @user-gb8rj4nk7p 8 หลายเดือนก่อน

    Waandishi acheni usenge,,ivi kwanini mnapenda sana uongo,, muwe nå hofu ya MUNGU

  • @YohanaJumanne-v3v
    @YohanaJumanne-v3v 8 หลายเดือนก่อน

    Jonathani Alukwu aje Simba ndo wakati ili kucheza kibingwa bingwa ndani na nje

  • @charleslinhege690
    @charleslinhege690 2 หลายเดือนก่อน

    Huyu mchezaji. Ni jipu Hana kitu achaneni naye.
    Kama deal ya Mpanzu imefeli acheni wazi nafasi hiyo Hadi dirisha dogo baada ya kutathimini wachezaji wote waliosajiliwa na kubaini gap

  • @MakambaRashid-bh7oc
    @MakambaRashid-bh7oc 8 หลายเดือนก่อน

    YHafai kuja wara kuchezea Simba kiwango chake lidogo

  • @daud57
    @daud57 8 หลายเดือนก่อน

    Acheni uongo xw

  • @shukuruiddi82
    @shukuruiddi82 8 หลายเดือนก่อน

    hamna mchezaji hapo

  • @FRANKGOLIATH
    @FRANKGOLIATH 8 หลายเดือนก่อน

    Huyu mwandishi pimbi hawana jipya wanaleta swaga za uongo

  • @godfreypyuza4850
    @godfreypyuza4850 8 หลายเดือนก่อน

    Uwe mkweli mtangazaji

  • @charleskuyeko1660
    @charleskuyeko1660 8 หลายเดือนก่อน

    Sasa wee Mchambuzi mbona umetuorodheshea watu watano na unampendekeza huyu mwenye magoli machache kuliko wenzie wanne?

    • @SimbaProSupporters
      @SimbaProSupporters  8 หลายเดือนก่อน

      huyu Sijampendekeza bali Simba ndo wanamtaka

    • @HassanKigunda-vy6em
      @HassanKigunda-vy6em 8 หลายเดือนก่อน

      Kumayoo mnzinguwa😢😢😢

  • @claudsaprapasen9068
    @claudsaprapasen9068 8 หลายเดือนก่อน

    Tatizo unaongea sana,unatumalizia bando nitajitoa,niweke mshusika kifupi na toa maelezo mafupi

    • @SimbaProSupporters
      @SimbaProSupporters  8 หลายเดือนก่อน

      😀😀😀 Sawa kaka ntajitahid kuongea haraka haraka

    • @claudsaprapasen9068
      @claudsaprapasen9068 8 หลายเดือนก่อน

      @@SimbaProSupporters Ishu siyo uongee haraka Bali ongea point kifupi,tuonyeshe na vitu vya mchezaji dkk 5 nyingi sana ukijipanga zinatosha

  • @beaugosseadam6831
    @beaugosseadam6831 8 หลายเดือนก่อน

    Club ya Siasa nyingi na Propaganda kuliko uhalisia wa mpira wa miguu .MSIMU WA 3 BILA TAJI LOLOTE

    • @salukisendi9333
      @salukisendi9333 8 หลายเดือนก่อน

      Kwan yanga alikaa miaka 4 bila taji je hukulijua hilo. Ktk timu ni jambo la kawaida. Vp azam haina taji kwa muda zaidi ya 10 unataka kusema nn.

    • @beaugosseadam6831
      @beaugosseadam6831 8 หลายเดือนก่อน

      @@salukisendi9333 Kwani Yanga ni Simba?

    • @hastatz
      @hastatz 8 หลายเดือนก่อน

      ​@@beaugosseadam6831pale German team zote hazina ubingwa kwa miaka 11 je tuseme nn ni munichi tu anabeba