Joel Aswile__THAMANI YA BIBI_(Official audio) +255 743 901 961...Pro by Joeh JB REC Tz🇹🇿

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ต.ค. 2024
  • Watu wengi husahau walikotoka, Maisha Duni na jinsi walivyolelewa katka Hali ya uduni. Mungu alinipa hii nyimbo, THAMANI YA BIBI. Kunikumbusha na kuwakumbusha ndugu zangu kwamba Iko Thamani ya huyoo Bibi au mwanamke aliekulea mpka ulipofikia
    Usimsahau Bibi muheshimu saaana, msaidie , muombee maana mengi wameyafanya katka familia zetu. Baba na mama wengi hukimbia familia na watoto hutupiwa Bibi na Bibi Hana wa kumtupia analea na kupambana mwenyewe.
    Barikiwa na hii nyimbo ya Thamani ya Bibi.isikilize Kwa makini naamini itakuvusha na utauona mkono wa MUNGU

ความคิดเห็น • 29

  • @ezrabelam5072
    @ezrabelam5072 10 วันที่ผ่านมา +2

    Wabarikiwe sana bibi wote Duniani 🙏🙏

  • @elishamathias-u2o
    @elishamathias-u2o 9 วันที่ผ่านมา +2

    Yes yes THAMANI YA BIBI

  • @Raphael99
    @Raphael99 9 วันที่ผ่านมา +2

    Hongela sana Kwa kutukumbusha kuwa Kuna wakina bibi

  • @dannyboas1409
    @dannyboas1409 10 วันที่ผ่านมา +2

    Bibi daaah wimbo mzur sana ndugu yangu

  • @PastorJohn96
    @PastorJohn96 9 วันที่ผ่านมา +2

    ❤❤❤❤

  • @AngelJuliet-x8q
    @AngelJuliet-x8q 10 วันที่ผ่านมา +2

    Amen kwakwel anastahili heshima bibi

    • @lovenessmarwa
      @lovenessmarwa 9 วันที่ผ่านมา

      ❤ heshima kwa bibi jamn ,penda sana bibi yangu

  • @juliuswerema3655
    @juliuswerema3655 9 วันที่ผ่านมา +1

    Amen mtumishi kwa wimbo mzuri sana bibi huyo

  • @joelaswileofficialtz3035
    @joelaswileofficialtz3035  10 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana Yesu hii nyimbo naomba ikawe Baraka kwenye Maisha ya watu. Iwaguse na kuwakumbusha.

  • @ibracountry9298
    @ibracountry9298 9 วันที่ผ่านมา +1

    Daaaah A see Sawa Hongera sana kaka

  • @rebeccaikb6912
    @rebeccaikb6912 9 วันที่ผ่านมา +1

    Bibi uyooo jamani mpaka nimekumbuka bibi ubarikiwe sana 🎉🎉

  • @CharlesMbarikiwa
    @CharlesMbarikiwa 9 วันที่ผ่านมา +1

    Nice my brother kaz njema kaka🎉🎉

  • @elialameck-id3xg
    @elialameck-id3xg 10 วันที่ผ่านมา +2

    Amen

  • @BenardMbeyela
    @BenardMbeyela 9 วันที่ผ่านมา

    Nice hakika ww ni mtu na nusu

  • @aronmvembezi4375
    @aronmvembezi4375 10 วันที่ผ่านมา +2

    Namkumbuka sana bibi yangu jamani🎉🎉🎉
    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

    • @joelaswileofficialtz3035
      @joelaswileofficialtz3035  9 วันที่ผ่านมา

      Barikiwa saaana mtumishi wa MUNGU, wewe ni baraka saana Kweny Maisha yangu

  • @abednegosungo7300
    @abednegosungo7300 9 วันที่ผ่านมา +1

    Barikiwa 🎉🎉

  • @francymwaka600
    @francymwaka600 8 วันที่ผ่านมา +1

    Bibi huyo,........barikiwa sana malafyale aidia yenye utukufu mkuu Yesu akutunze

  • @ezrabelam5072
    @ezrabelam5072 9 วันที่ผ่านมา

    Wale tuliosikiliza huu ujumbe mala mbili mbili tujuane hapo chini 😂

  • @gwamakamwankenja1685
    @gwamakamwankenja1685 10 วันที่ผ่านมา

    Nyimbo nzuri sana wengi tunawasahau Bibi zetu Mungu akubaliki kwa nyimbo nzuri na am amkumbuke Bibi yangu👏👏👏👏

  • @NoelaAlain
    @NoelaAlain 10 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akuinue zaidi Mtumishi

  • @SmilingRhythmicGymnastic-bq2jf
    @SmilingRhythmicGymnastic-bq2jf 7 วันที่ผ่านมา +1

    ongela anti mungu akusaidie❤

  • @BenardMbeyela
    @BenardMbeyela 9 วันที่ผ่านมา

    Hakika ww ni mtu na nusu 3:28

    • @joelaswileofficialtz3035
      @joelaswileofficialtz3035  9 วันที่ผ่านมา

      Barikiwa saaana ndugu yangu

    • @AsheriKaroli
      @AsheriKaroli 9 วันที่ผ่านมา

      @@joelaswileofficialtz3035 sawa hongera kwa KAZI nzul