BOB WANGWE;UKIWA NA KADI YA NHIF UNAKOSA HUDUMA,WAZIRI ANATUMIA NGUVU KUBWA,NHIF WABORESHE KITITA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 21 ส.ค. 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►TH-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

ความคิดเห็น • 34

  • @olivernyange2349
    @olivernyange2349 5 หลายเดือนก่อน +3

    Next year watanzania watawapa tena kura very sad

  • @kyaruzilutaadolph1835
    @kyaruzilutaadolph1835 5 หลายเดือนก่อน

    Well presented.

  • @kibbysaidi7813
    @kibbysaidi7813 5 หลายเดือนก่อน +2

    Waziri Ummy anaweza kujigamba kwamba amewatisha wenye hospital binafsi na wamekubali kuendelea na huduma za NHIF. Lakini mheshimiwa waziri unajidanganya maana atakayenyanyasika sasa ni MGONJWA!! Hawa unaofurahia kuwatisha ni wasomi tena wengi wanakuzidi. Ogopa sana waziri hili ni bomu ambalo umetoa safety pin na lazima litalipuka. Bahati yako litalipukia wagonjwa wenye bima na sio wewe wala jamaa zako ambao najua hawatibiwi hapa. I wish ungepata busara kidogo ukauliza sisi ambao tunajua mgonjwa atateseka kivipi... lakini unajali nini wakati halikugusi?!

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 5 หลายเดือนก่อน +2

    Watanzania bhana mnalalamika weeee lakini ikifika wakati wa uchaguzi inakuwa mitano teno walewaleeee😂😂😂😂😂

    • @salummohamed2689
      @salummohamed2689 5 หลายเดือนก่อน

      Wengi wa watu wetu wanaopiga kura Wana elimu duni kabisa hawajitambui, waoga na baadhi Yao Bado wanaamini NYERERE yupo hivyo hawajui kama CCM ya sasa siyo Ile. NGUVU kubwa ya uhamasishaji inahitajika

  • @ankoanko-zz7it
    @ankoanko-zz7it 5 หลายเดือนก่อน

    Kaka nimekuelewa sana.

  • @leonardkusenha9754
    @leonardkusenha9754 5 หลายเดือนก่อน

    Ni kweli ukiwa na Bima hupati huduma,nimeshudia rafiki yangu kutohudumiwa kisa ana Bima na wanasema kabisa toeni hela atibiwe kama subirini tupeleke taarifa zikija atapata matibabu aisee hadi kafa na ni mtumishi wa serikali

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 5 หลายเดือนก่อน +1

    KATIBA MPYA NI SASA..

  • @deusdeditkullwah5586
    @deusdeditkullwah5586 5 หลายเดือนก่อน

    Asante Wangwe pesa hata kama zinaibiwa lakini pia serikali inazikopa mpaka mfuko unafirisoka halafu wanasmua kutuafhibu wananchi wa chini

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 5 หลายเดือนก่อน

    Siasa zinaonesha kuwa kila kitu wanakijua na wanakiweza wakati hamna kitu ndiyo maana wanatumia nguvu ili wananchi wasiwadharau

  • @goodlucknnko5493
    @goodlucknnko5493 5 หลายเดือนก่อน

    Viongozi kwa sasa ni matajiri kuliko wafanyabiashara

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 5 หลายเดือนก่อน

    Kweli pia wananchi wenyew nao wanapenda anasa ,hawawakubwa matatizo shida hawazipati hivyo kuona kawaida tuu,pale musoma kwabgwa madakitari hadi wanatusi wagojwa huduma mbovu

  • @user-vr2wt7el2m
    @user-vr2wt7el2m 5 หลายเดือนก่อน

    Mtaelewa Nini Maana ya Sauti ya Watanzania! Mpaka Kitaeleweka! Sauti ya Watanzania Sio Chama ni Muungano wa Pamoja Kudai Haki Zetu Kama Watanzania Wenyenchi! Haya Ndio Maana Yake! Sio Siasa, Sasa Unaona Mambo Kama Haya!
    Wataanza Kuita Mmojax2 Kumnyamazisha kwa Kumpa Pesa Alafu Itaishia Hivyo x2

  • @AbrahamSekuza
    @AbrahamSekuza 5 หลายเดือนก่อน +2

    Serikali hii ni ya wizi una NHIF ukienda muhimbili unalipa nn mana yake

  • @user-tc9vi3ow3n
    @user-tc9vi3ow3n 5 หลายเดือนก่อน

    Mimi nilikuwa na bima Moja hivi siku ya kuhumwa nahambiwa aupo kwenye sistimu,naitajika nilipe pesa ndio nipate matibabu,

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 5 หลายเดือนก่อน +1

    Watanganyika tumekuwa MTAJI kwa haya mafisadi wa hii awamu ya sita, RIP JPM

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน

      User watanzania watanAnia tutakufa wengi mama anasafiri kutwa na watu kibao nyingine anatoa kwenye mipira kwa kweli anasa nyingi sanaaaa serikali hii kama awamu ya nne

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 5 หลายเดือนก่อน

    Watanzania mjue jinsi hata serikali ya tanzania inavyoiba hadi wanatumia hela za bima ya Nh i f hawa mawaziri wa afya ni mafisadi tena ni wa kufukuza kazi kabisa haiwezekani hela za mfuko wa bima unatumiwa unakopeshwa na sasa hauna hela kweli na rais wa nchi ameona hilo amechukua maamuzi mengi ? Ni aibu kubwa kwa nchi bunge nalo limeona ni sawa? Duh sasa tanzania tunakwenda wapi?

  • @user-vr2wt7el2m
    @user-vr2wt7el2m 5 หลายเดือนก่อน +1

    Acha ccm na serikali yake viumbuke! Wezi wakubwa hawa!😡

    • @aliyageorge6794
      @aliyageorge6794 5 หลายเดือนก่อน

      Sana ni aibu kwa serikali kwa kweli.
      Inabidi waachie ngazi....

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 5 หลายเดือนก่อน +2

    Zamani mwizi alikuwa anasubilia giza sasa hivi mchana kweupe

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 5 หลายเดือนก่อน

    Hii nchi kiboko watu watakufa kama kuku mdondo kama hali iko hivi

  • @methuselamisana4115
    @methuselamisana4115 5 หลายเดือนก่อน +1

    Katiba mpya ni sasa

  • @user-uh3eg5cj2r
    @user-uh3eg5cj2r 5 หลายเดือนก่อน

    Serikali ya ANASA WANANCHI WAKE NI MASIKINI SANA BADO HAWAJARI!

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 5 หลายเดือนก่อน

    😭😭

  • @DanielNelson-oq5qs
    @DanielNelson-oq5qs 5 หลายเดือนก่อน

    Kiuharisia viongozi Wana jijari wap wenyewe maisha ya viongozi na wananchi ni tabaka kumbwa ambaro naweza SEMA nisawa na arithi na mbingu

  • @user-xd7cc1wc6o
    @user-xd7cc1wc6o 5 หลายเดือนก่อน

    Awa wamecherewa ni wezi tu

  • @jacksonbayyo2937
    @jacksonbayyo2937 5 หลายเดือนก่อน

    Serikali wanachukua fedha kwenye mfuko wa afya

  • @NardhisMhagama-sy3eq
    @NardhisMhagama-sy3eq 5 หลายเดือนก่อน

    Mtaji wao ni kuzuia maiti

  • @francisjohanes3027
    @francisjohanes3027 5 หลายเดือนก่อน

    Hivi mnajua hawa watu walivuo dharau na manyanyaso ya kutosha