😂😂😂😂huyo mwenye amesema Mary amekonda kwani huwa akuli like seriously Mary ameglow zaidi tangu akuje kwa wakina moo plus madusko imejaa wachatu penda nyinyi sana the comme's family Mungu aendelee kuwabariki ❤❤❤❤
Na vile Mary anaglow then msee anakaa chini kujudge mourine,moh is the best girl i have ever seen cc wengine huku gulf tunatreatiwa like trush bt mary ako sawa,,moh team gulf tunakupenda ❤❤❤
Hey Moreen am somehow confused over Vinny Flavor na gee ng'ang'a akii tunawamiss just give us any clarification walai mm nawamiss and you people mnaweza wafikia just tell them tunawamiss ❤
I love mary the face says it all she is a cool mamaa😊na pia anatreatiwa kama ako kwa watu wao so wenye wana mjudge mkomee😊boss wako wakiku treat poa thank God😊
I love the way you treat your house manager, Moh hiyo kuku siumechinja chinja sana😂...you need that kitchen butcher knife. The way unagonga you will have so many tu small bones. i like your vibe.
😂😂😂😂😂😂mary ati you are getting enough darling 😢😢😂😂,,money is never enough ,,moureen will blind you with her love,she's growing but on your side you are stagnant,,sikia vile moureen is defining you😮it's clearly show anashani huna future plans apart from taking care of their son😂😂😂😂
My dear watch your finger as you cut that kienyeji chicken Otherwise I'm coming for lessons how to cut a whole chicken in small pieces for me i cut big sizes 😅😅😅
Nilikuwa nasoma na mary primary moja she is my neighbor bt let me tell you hata shule all teachers walikuwa wanampenda ❤️❤️❤️she was nice girl ❤🎉
Thats nice❤
Andu ma kathiani mueva 😂😂
😂😂😂😂huyo mwenye amesema Mary amekonda kwani huwa akuli like seriously Mary ameglow zaidi tangu akuje kwa wakina moo plus madusko imejaa wachatu penda nyinyi sana the comme's family Mungu aendelee kuwabariki ❤❤❤❤
Mnaglow ata mtu haezi tofautisha who is who Mary anaglow❤️😚thanks for being good to her Moh and Comme❤️🫂
Mary fungua yutub ukuwe unafanya pranks only once
Kama hataki TH-cam mbaiye simu poa pale TikTok akuwe anamake videos poa I come in peace❤
After u
Alishaa nunuliwa
I loved the way you show mary ❤️ may God bless you 🙏 and your man for being humble 🙏 ❤️
Thank you so much!
Na vile Mary anaglow then msee anakaa chini kujudge mourine,moh is the best girl i have ever seen cc wengine huku gulf tunatreatiwa like trush bt mary ako sawa,,moh team gulf tunakupenda ❤❤❤
Uku gulf tunavaa magunia😂😂life no balance
@@phostineshikanga9430 maze yaani ata ukikutana na mtu anakujua anaeza shangaa😂😂😂
Mary kwenu ni kathiani wapi?
Thank you❤
@@moureenngigi karbu❤️❤️
Mary tupee 360 tuone , bt Moh umechukua Mary ka dada , kuwa na hiyo hrt , and God bless you more, Mary na wee ukuwe thankful kwa kila kitu
Unataka kuona nn😂😂
Kuna siku Alionyesha ulikua wapi?
I just love Mary she is avibe 😍😍😍
Mary nyash is nyashing ❤
Mary is soo intelligent,,I just love her ❤❤❤❤
Thank you❤
@@moureenngigi You welkm babes❤️❤️❤️
Good work Moh&comme Mary is glowing
Thank you
I really love Mary
Hey Moreen am somehow confused over Vinny Flavor na gee ng'ang'a akii tunawamiss just give us any clarification walai mm nawamiss and you people mnaweza wafikia just tell them tunawamiss ❤
Baba ya Vinny alipass😢so wanamourn at the moment.Although walizika jana,May they find peace in the Lord❤
Walisema watakuwa off kidogo ndio wa mourn their dad..maybe next week watarudi sasa
Watch gee nganga last video utaelewa tu
Moh you are such amazing ❤❤❤ ...Mary much love you are a vibe
Thank you❤
Mary is a vibe❤nipitieni pia guys
banger after banger,,, 😅😅moh nowadays ananibamba let's say she inspire s me team moh nifikishenii 1k too please msikuwe wachoyo akii Nitawapitia pia
Nataka connection ya kufikia mary
Mary is nice girl and humble
I'm miss gee nganga and Vinny flavour nawapenda sana
Wa kwanza leo😂😂 na adi sijawatch ❤
Waaaaooo your kitchen is very smart and i really love this family ❤️❤️
Thank you so much 😊
I love mary the face says it all she is a cool mamaa😊na pia anatreatiwa kama ako kwa watu wao so wenye wana mjudge mkomee😊boss wako wakiku treat poa thank God😊
Thank you❤
Mary n hardworking sana penda wewe sana
Huyo dem wa crop top kwa nyumba ya mooh sijapenda unless wako na mtu wake hapo. Avalie tu kitu Ina cover hiyo Avalie akiwa kwingine
AI ako sawaa😂😂
Exactly but utaona watu wengine wakisema it's her choice of dressing which is okay lakini
aheshimu the fact that ako kwa wenyewe na kuna mwanaume
@@winny-W mimi hata wakati nilikua kwa cousin yangu nilikua navaa short na najifunga leso kama bwanake ako
@@user-dy4ni1pg9z nilijua tu utasema hivo😂
mary afungue youtube we support her kwanza mimi nampenda sana huyu akona nyota
Sure
Mary is so humble and respectful ❤
Yes she is❤
❤❤❤❤Eiiish I like the bond between you guys,,😊😊😊#bestbossy
Thank you
How mucn I love this fam God knows ❤❤❤❤🎉🎉
Thank you❤
Merry is beautiful…❤️❤️ love from TZ..🇹🇿❤️ nipitieni guys..🤲❤️
Nipitieni pia
Even though P.A is your cousin sister MOH be extra careful talking from an experience nakuja in peace.... anyways take care of your husband and kid
So true some family members ni nyoka
Nipitieni please guys❤❤
❤❤❤hii nayo nakataa Mary is self driven😂❤❤
Great mooh❤❤
Thank you❤
Leo nmefika mapema sana ❤❤❤😊
Let's grow together guys
much love to you guys ❤❤❤moh uko na roho mzuri sana naomba siku moja nipatane na wewe
Soon❤
@@moureenngigi Nitafurahi sana❤️
Guys tupitieni to grow pamoja
Moh ana roho safi sana lyke dee
Thank you❤
Napenda character ya Mary ❤❤❤❤nipitieni pia team mooh
Thank you❤
Team moh nipitieni niwapitie pia please ❤
Shawrie for santi😊😊
moh may God bless you
Thank you❤
The love moh have to marry
Tupitiane tukisonga pamoja please 🙏🙏🙏🙏
Na mnipitie please guys❤
ati feelings kwa comme moh ii imeenda
God bless the commohs
Thank you
Amazing 😍
Kathiani wapi,,uko ni kwetu
I like your vibes
Thank you❤
I love the way you treat your house manager, Moh hiyo kuku siumechinja chinja sana😂...you need that kitchen butcher knife. The way unagonga you will have so many tu small bones. i like your vibe.
Leo nimefika mapema some likes gus
Nipitieni tugrow woteeee ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Done
@@FranciscaFwambaNipitie pia please
WA KWANZA UKU..REAM MOH TUPITIANE WE GROW TOGETHER❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Twende nalo
Thank you❤
Mary bonga point nazo
House tour moh plz
Umbea mwapenda 😅😅
I love Mary'shes such a humble lady and respectful jamani😊❤❤nice content actually 'keep them coming moh❤❤
Thank you
😂😂😂😂😂😂mary ati you are getting enough darling 😢😢😂😂,,money is never enough ,,moureen will blind you with her love,she's growing but on your side you are stagnant,,sikia vile moureen is defining you😮it's clearly show anashani huna future plans apart from taking care of their son😂😂😂😂
😂😂😂😂 I love u guys ,mary ako s smart.
Mourine you know why I'm commenting 😂
Go away😂😂😂😂😂
@@moureenngigi salimiana🤣🤣
😅the whole video I was just looking at Moo akifanya upasuaji😅
Surgery 😂😂
Love the way moh hreply txt
C ttfutane tlink up u r such a vibe
Mambo mimi nafuhia challenge yenu sana ilana mpenda huyu mwenye hana boy friend plz nipee number yake for ug plz
❤❤ 😂
Say hi to Cess..tell her its Titai😂
Ok 😁
Moh do you have delivery in your furniture??
Yes we do❤
@@moureenngigi okay
My dear watch your finger as you cut that kienyeji chicken Otherwise I'm coming for lessons how to cut a whole chicken in small pieces for me i cut big sizes 😅😅😅
You welcome❤
Maureen did lots of damage to that chicken .
Thats not kienyeji jameni
House tour
Soon
Venye amenenepa hivi vyote walai moh ubarikiwe ❤ hao ni haters tu
Thank you❤
❤❤❤❤😂
Background noise uuh haiskiki poa
Sorry for that❤
Hio kuku ni kubwa, hebu nitumie ka piece😂😂
Shika😂😂
Nipitieni guys
Ati you are 21yrs old Mo, this is crazy. Mbona uliharakisha hivo?
Mapema ndio best kuuza haraka next ni kulea tuu 😅😅
I am 21 yes
Na huyo Dem mwingine hukua siz ya Moh ama
Cuzo
@@gracearotin1578 ooh thanks dear
Amesema vizuri Hana sister
@@jackychelimo2453😂😂😂wengine wetu maskio n mabovu
@@MargaretAwinja-ls7hx kabisa,moh ame explain vizuri yeye na commee hawana sister
Pitieni Kwangu msubscribe please team Moh ❤❤❤❤
Done
@@FranciscaFwamba thanks so much.
Please wacheni mary afanye kazi yake to youtube is good but just respect the fact ya job ...what moh is doing is enough❤❤
Hiyo kuku ni kubwa kweli.... Tu plug
Nitawaplug😂😂
Nitawaplug😂😂
Ama ni wape number yangu
21????kumbe wee ni mtoto
Ehh
House tour
Soon❤