''Ndio Nilikuwa CUF Lakini Wamegawanyika Kisa Vyeo''

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ส.ค. 2018
  • Ndio Nilikuwa CUF Lakini Wamegawanyika Kisa Vyeo
    Katibu Mkuu Wa CCm, Dkt Bashiru Ali, Amewataka viongozi wote wa Ccm Kufanya Kazi Kwa Kwenda Kwa Wananchi Na sio Kufanya Kazi kwa weledi na kuachana kabisa na Ukabila pamoja Udini.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Suazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM:

ความคิดเห็น • 78

  • @sempaprudence9052
    @sempaprudence9052 5 ปีที่แล้ว +9

    Dr. Bashiru hakika political science imekolea vizuri. Nakupongeza kwa kuwa Mwl mzuri wa siasa

  • @godfreylubumbila1095
    @godfreylubumbila1095 5 ปีที่แล้ว +7

    Dr. Bashiru,,,, upo fresh sipongezi haraka ila neema inakuja ndani ya CCM - mpya

  • @nickjuma3937
    @nickjuma3937 5 ปีที่แล้ว +7

    Dr Bashiru huwa nakusoma sana falsafa zako tokea hapo zamani ulipo kuwa mwalimu! CCM mpya inakuja!

  • @mariuscyprian7561
    @mariuscyprian7561 5 ปีที่แล้ว +4

    Huyu jamaa da kweli ccm tutanyoka yuko vizuri wale makada wajanja wajanja watapata tabu sana

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 ปีที่แล้ว

    Nakukubali sana bashilu

  • @feisalboy6702
    @feisalboy6702 ปีที่แล้ว

    Upo juu Dr bashiru

  • @josephalfonce150
    @josephalfonce150 2 ปีที่แล้ว

    Bola wew unahuruma na inchi yako hongera mno

  • @josephnchunga6554
    @josephnchunga6554 5 ปีที่แล้ว +4

    ninomaaa sana dah hizo ni nondo za ukweli

  • @sempaprudence9052
    @sempaprudence9052 5 ปีที่แล้ว +12

    Dr. Bashiru nakuelewa kwa falsafa yako ya ujumaaa na kujitegemea. Azimio la Arusha halijapitwa na wakati. Kwasasa napata radha kwamba CCM mpya inakuja.

    • @dani72130
      @dani72130 5 ปีที่แล้ว

      CCM ni ile, chama ni kile kile.

  • @bwiganeafwene1039
    @bwiganeafwene1039 5 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuelewa sana Dr nyie ndio tunawataka

  • @Ba63828
    @Ba63828 5 ปีที่แล้ว +6

    ENDELEA KUKEMEA MARADHI HAYO

  • @sylvestersoteli7997
    @sylvestersoteli7997 ปีที่แล้ว

    Napita 2 ,Nimeipenda huyo kabila ya mwisho.

  • @babaharunakipindula3895
    @babaharunakipindula3895 5 ปีที่แล้ว +2

    Nimekuelewa mzee ......wale wafia chama wanaoumia kichizi, wale kina sisi sisi

  • @alijey3761
    @alijey3761 5 ปีที่แล้ว +4

    Hizo ndizo falsafa za kujenga siasa ya nchi, uwezo wa mwanachama, vyama vingi mtu anaangaliwa tulitoka naye wapi, hata awe hana uwezo

  • @godlovemrosso8715
    @godlovemrosso8715 5 ปีที่แล้ว +3

    Huwa nakuelewaa saana katibu wetu

  • @omaryswalehe2863
    @omaryswalehe2863 3 ปีที่แล้ว

    Mjamaa naona uongozi unaishi ndani yako future president come up Tanzania africa

  • @athumanomary1438
    @athumanomary1438 5 ปีที่แล้ว

    Asante san d.r bashilu mwenyez MUNGU yupo pamoja nawe

  • @emmanuelmlowe-ew7gx
    @emmanuelmlowe-ew7gx 8 หลายเดือนก่อน

    Bashiru ni mjenzi mzuri sana wa nchi

  • @edwardmakonge3371
    @edwardmakonge3371 5 ปีที่แล้ว +5

    bashiru uko vizuri.

  • @alijey3761
    @alijey3761 5 ปีที่แล้ว +5

    Unaeleweka haswaa, Dr. Bashiru aso kuelewa ni mbumbumbu.

  • @hassanlikaba9813
    @hassanlikaba9813 5 ปีที่แล้ว +10

    Hiyo ndio ccm niitakayo. Wakati ccm inajenga utaifa chadema wanajenga chuki na bifu

  • @luciansanga5195
    @luciansanga5195 3 ปีที่แล้ว

    Na Akiona haitoshi ana anza kua wapinzani wake ana anza kutumia
    jeshi kushinda

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde4384 5 ปีที่แล้ว +1

    Ndo maana mi huwa nampinga mtu anayesema kuwa Tanzania hakuna ukabila maana cku hizi mpaka watoto wadogo wa shule za awali na msingi wanaulizana makabila, hongera sana kiongoz kwa kuyaona hayo na kuyakemea. Pia usisahau viongoz wanaochanganya kiingereza na kiswahili wanapokuwa wanaongea na wananchi hasa wabunge

  • @herimallya3385
    @herimallya3385 5 ปีที่แล้ว

    Natamani sana kufundishwa na Dr Bahiru,

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 5 ปีที่แล้ว +2

    huyu jamaa anastaili kuwa hata raisi

  • @hassanmfaume4522
    @hassanmfaume4522 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa alikuwa anajua kuufagilia ukanda wa magufuli 😬😬😬

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 5 ปีที่แล้ว

    Uko sahihi 💯@

  • @chillogeorge1383
    @chillogeorge1383 5 ปีที่แล้ว +5

    Kwa miongo mingi sasa tumekosa hotuba zenye mbolea kama hizi kwa nchi yetu.
    Hotuba ya kitiliwa mfano hii.
    Mwenye masikio na asikie...
    🤝🏿

  • @EK-kp2np
    @EK-kp2np 5 ปีที่แล้ว +3

    Alisema Mwl Nyerere, wakorofi wataanza na watanganyika na wazanzibari, halafu wataenda Wazanzibari na Wazanzibara, wataendelea na waunguja na wapemba, kisha waismailia na muhamadia, hawamalizi wakorofi. Umesema vizuri Dk, unapotafuta kiongozi wa nchi, unafuata uwezo wake siyo dini yake. Maana watu wanatumia majumba ya ibada kupanga hila siku hizi, na hata makampuni binafsi wanaweka udini mbele, hawatafika mbali kwani mkono wa serikali ni mrefu na pia Mungu hana shirika na hila.

  • @ndeshukurwakaaya4385
    @ndeshukurwakaaya4385 2 ปีที่แล้ว

    HONGERA MH BASHIRU BINADAMU WOTE NI SAWA. HILO NDIYO TAIFA IMARA. KAZI IENDELEE.

  • @nyerere1259
    @nyerere1259 5 ปีที่แล้ว

    Smart Dr

  • @felistermaximillian2793
    @felistermaximillian2793 4 ปีที่แล้ว +1

    Bashiru Ally, almasi nyingine Tanzania, baadaya miaka 20 ya uraisi wa magufulu baba yetu, huyu pia anastahili kwa dhati kua rais

  • @rubeniharuna1874
    @rubeniharuna1874 ปีที่แล้ว

    umeongea ukwel chakufanya waunganishe wenyenia yakwel undeni chama nipo nyuma yenu hakika mtafanikiwa

  • @josephnchunga4229
    @josephnchunga4229 ปีที่แล้ว

    Dah aiseeee jpm enzi hizo ccm ilikuwa inakubalika Sana , Sasa hivi Hali inazidi kupoteza umaarufu

  • @mtunesalumu3101
    @mtunesalumu3101 5 ปีที่แล้ว

    Asante bashiru

  • @mwakasegeshukuru3720
    @mwakasegeshukuru3720 5 ปีที่แล้ว

    safi

  • @thomasmagoti9040
    @thomasmagoti9040 ปีที่แล้ว

    Huyu ni copy ya Mwl Nyerere na magufuli

  • @lazarodotto2116
    @lazarodotto2116 5 ปีที่แล้ว

    Uko sawa mkuu

  • @omaryrashid1873
    @omaryrashid1873 4 ปีที่แล้ว

    Waambie kwel

  • @costantinemgalle1910
    @costantinemgalle1910 ปีที่แล้ว

    Baba ulikaa kimya sana... Sauti kama yako tunaihitaji ili watu waone viini macho vinavyoendelea. Yule kijana walimpeleka huko ubalozini kumfunga mdomo. Umesema kidogo tu, basi mijitu imetoa macho! Sasa watu wasikosoe madud? chaajabu wala hukutokoka nje ya mstari, basi chobo kibao! Acha movie iendelee

  • @AdnanMbaehmahmoud
    @AdnanMbaehmahmoud 5 ปีที่แล้ว

    Dr Bashiru ni tunu tunayopaswa kuilinda nchini kwetu

  • @jaliabahati39
    @jaliabahati39 5 ปีที่แล้ว

    Sijawahi kukomenti selaza ccm ilahii noma daaaa

  • @jumanasa9384
    @jumanasa9384 5 ปีที่แล้ว

    Uyu jamaa simpendi sana ana mvuto kama kinana ila naipenda ccm

  • @willykikwete5969
    @willykikwete5969 5 ปีที่แล้ว

    Katibu mkuU CCM nimekukubali sana upo vizuri kwelikweli na Chama au serikali inatakiwa kupata watu kumi tu kama wewe. kila ninapokusikiliza hoja unanifanya niendelee kujua kwanini wazee wetu waliupinga ubepari na kupenda kuishi na misingi ya kijamaa. Ukabila, ukanda, udini na mahela ndiyo tatizo kubwa kwa nchi maskini katika kupata viongozi bora na wanaofaa na wakati mwingine Urafiki nao ni tatizo pia. Tujifunze kupata viongozi kutokana na uwezo walionao kiuongozi, uwezo wa kujenga na kubomoa hoja zenye manufaa kwa Taifa letu. Tunajifunza kupitia kwako mkuu, ongoza vema!

  • @kallahassan4896
    @kallahassan4896 5 ปีที่แล้ว

    kwamm kama kijana kwa ccm kahii ndoo ninayoitaka siyo kama chama Fulani kutoka milimani

  • @shammusfredy4158
    @shammusfredy4158 4 ปีที่แล้ว

    Una laana wewe, ona sura ilivokupayuka,

  • @dani72130
    @dani72130 5 ปีที่แล้ว

    Mh. kuna watu ndani ya CCM wanahubiri udini na ukabila kila kukicha, tuwafanyaje hao?

  • @shammusfredy4158
    @shammusfredy4158 4 ปีที่แล้ว

    Sura kama kenge

  • @marcowilliam6767
    @marcowilliam6767 ปีที่แล้ว

    Haaaa

  • @methodshimalo2681
    @methodshimalo2681 5 ปีที่แล้ว

    hamnajipya weelinda tumbolako tu

  • @jofymwaijofymwai2163
    @jofymwaijofymwai2163 5 ปีที่แล้ว

    Tatizo iro nisawasawa nawewe kwanini ulikimbia chama kingine

  • @bilimaso9392
    @bilimaso9392 5 ปีที่แล้ว

    Waambie

  • @redmondmulilo4852
    @redmondmulilo4852 5 ปีที่แล้ว

    Angalia bashiru uo ukweli unaoongea usije ukatumiwa wasiojulikana make Tanzania mwanachama yeyeto wa chama cha upinzni anaitwa sio mzalendo kwasababu anaongea ukweli asa na ww uangalie ukweli uo unaopenda sana kuongea

  • @dani72130
    @dani72130 5 ปีที่แล้ว

    Ulikosa cheo ndo ukakimbia au?

  • @omarjumanne4471
    @omarjumanne4471 5 ปีที่แล้ว

    Katibu unatufaa

  • @makamemakame5524
    @makamemakame5524 4 ปีที่แล้ว

    Semakweli

  • @hassannyalile2256
    @hassannyalile2256 5 ปีที่แล้ว

    Hakika wewe ni mkufunzi wa Siasa.

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 3 ปีที่แล้ว

    Ikiwa CCM watakupoteza wewe mzilankende watachemka

  • @dr.erickjmazyala8905
    @dr.erickjmazyala8905 5 ปีที่แล้ว

    God bless my comred, aruta continue! Kwa kweli ccm kwa katibu mkuu kimepata! tumchague kwa Msimamo… na weredi wake…niongezee hapo katibu!

  • @samusonibalazingiza3689
    @samusonibalazingiza3689 5 ปีที่แล้ว

    Ccm wajinga tu miaka yote mnatesa laia wa nchi hii

    • @khatibumwalimu591
      @khatibumwalimu591 5 ปีที่แล้ว +1

      Ujinga wao nini? Tatizo wengi mmezoea kuangalizia ikifika wakati wa mtihani ndio shida hapo huna wa kumangalizia, hapo si unajitesa mwenyewe? Hukusoma ata ukiletewa picha ya baba huijui?

  • @danfordaugustino3461
    @danfordaugustino3461 5 ปีที่แล้ว +2

    Kwenye udini waislam ndio Wana udini Sana wanaamini wao wanahaki kuliko dini zingine.

    • @idirisamungia66
      @idirisamungia66 5 ปีที่แล้ว +1

      Danford Augustino Ndiyo haswa sisi udini tunao kwa sababu ninyi mnao pia na wala hauna kificho kwani kanisa limekuwa mstari wa mbele kuwanajisi viongozi ambao ni Waislamu.

    • @jayblack4313
      @jayblack4313 5 ปีที่แล้ว +1

      Danford Augustino sio kaka kila moja ana haki katika hii dunia m/mungu ni moja na dunia moja kuna watu wasafishe roho zao Basi sisi sote tumekuja kwa udongo tutarudi kwaudongo . Tanzania ni moja hakuna Tanzania ya pili God bless Tanzania and people's of Tanzania and Africa one love

    • @hadjaabdul4265
      @hadjaabdul4265 5 ปีที่แล้ว +3

      Danford Augustino Dan unakosea kutaja dini Fulani huoni kwamba utaleta hisia za dini? wacha hiyoooo

    • @aboudmsonde3137
      @aboudmsonde3137 5 ปีที่แล้ว +1

      Hauna uhakika na unacho kiongea uislam mnautaja vibaya tu tena acha uta amsha yaliyo lala

    • @aboudmsonde3137
      @aboudmsonde3137 5 ปีที่แล้ว +2

      Unazungumzia udini wewe veep nenda Dodoma hospital ya mkapa kwenye runinga kuna kwaya za kanisani na picha za wanyama, sikukuu za mwisho wa mwaka benki za serikali maua ya xmass, sasa nani wadin???

  • @petermhina3104
    @petermhina3104 5 ปีที่แล้ว

    Kiongozi wa nchi awe wadini moja mfurulizo hapo bado siasa zakiwango hicho hatujafika, kiongozi ajae LAZIMA awe wadini tofauti na alioko sasa tutake tusitake itakua hivyo.

  • @aboudmsonde3137
    @aboudmsonde3137 5 ปีที่แล้ว +1

    #TANZANIA ISIYO NA DINI MBONA DODOMA BENJ MKAPA HOSPITAL RUNINGA HUWEKWA KWAYA ZA KI KISTO NA PICHA ZA WANYAMA TU,,,,???? CCM YA WATU WOTE TUSAIDIENI

    • @freeadvisor8845
      @freeadvisor8845 5 ปีที่แล้ว

      PELEKA NA WEWE KASWIDA MKUU. HIZO KWAYA ZILIPELEKA KUJITANGAZA NA WALA SIO ZINAPIGWA KWA AMRI YA VIONGOZI.