Asante mwalimu, nami pia hufunza watoto ughaibuni kila Jumamosi, lakini changamoto kubwa ni hawana mizizi yoyote ya lugha, kwa hivyo imenifanya nifanye upelelezi kwa niaba ya kupata mbinu mwafaka ya ufundishaji.
Your classes are really good but there is abit of echo in your video, which makes it harder to hear. It is because you are in a big class. Your camera is also far from the board so it is harder to see. Not criticizing you just a Kenyan sister who wants you to do really well on TH-cam. There are videos on TH-cam on how you can improve the quality of your videos. Thank you and God bless you brother.
Swahili is a beautiful language.
Asante sana
Nice teacher
Nitataka kuongea mapema kiswahili vizuri na Abdukkarim😂😂
Ndiyo!
Mimi ni Mischaana Somali Ninataka ku soma lugha ya Kiswahili nilifahamu channel yako majina Mingi Asante saana mwalimu Abdulkariim 😢❤️🙏
Ninafundisha Kiswahili kwenye zoom... Unaweza kunitumia ujumbe kwenye WhatsApp +254701216458
@@KiswahiliWithAbdulkarim Mwalimu
@@HooyoHabibo hujambo
Habari
Nzuri sana
Asante mwalimu, nami pia hufunza watoto ughaibuni kila Jumamosi, lakini changamoto kubwa ni hawana mizizi yoyote ya lugha, kwa hivyo imenifanya nifanye upelelezi kwa niaba ya kupata mbinu mwafaka ya ufundishaji.
Hongera sana ndugu yangu. Kiswahili kitukuzwe 💪💪💪💪
Maa shaa Allah, keep the fire burning!!
tafadhali fundisha zaidi ninajifunza Kiswahili kabla yangu na mama yangu kuhamia huko tafadhali
Sasa mimi ni mgonjwa kidogo..nkipona nitafundisha zaidi
Your classes are really good but there is abit of echo in your video, which makes it harder to hear. It is because you are in a big class. Your camera is also far from the board so it is harder to see. Not criticizing you just a Kenyan sister who wants you to do really well on TH-cam. There are videos on TH-cam on how you can improve the quality of your videos. Thank you and God bless you brother.
Asante sana dada, I will improve the quality 🙏🙏🙏
Asante sana mwalimu
Karibu sana 👏👏👏
Asante mwalimu
Karibu sana
Mimi ni Angelika. Ninataka kuongea na kusoma Kiswahili na wewe.
Hujambo Anjelika
Summary of what I've learnt:
Nina/Una= present continuous tense
Nili/Uli= Past tense
Nita/Uta= future tense
Ninataka kujua kuongea kiswahili sana
Vizuri sana👏👏👏
Thanks teacher
Vizuri sana 👏👏👏
ASAALAMU Alaykum first one and comment thanks my teacher
Waaleikum salam.. karibu sana Hodan
Are you from Kenya or Tanzania
Kenya
Ninataka kuongea kiswahili
Darasa lako liko wapi
Online
Ninafaa kulala mapema leo
Ndiyo 💫
Ninataka kutazama kiswahili filamu
Ninataka kuongea kiswahili na wewe
Nipate What'sapp +254701216458
Asante sana mwalimu
Karibu sana