Makonda amlalamikia mkurugenzi wa jiji, Magufuli amsimamisha kazi

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 77

  • @godfreymhochi6206
    @godfreymhochi6206 4 ปีที่แล้ว +2

    Duuuh hili lilimpa pressure willson kabwe leo hayupo duniani Daah

  • @givendavidgoodluck3284
    @givendavidgoodluck3284 5 ปีที่แล้ว +4

    Baba na mwana

  • @manjalejuniorlg7024
    @manjalejuniorlg7024 6 ปีที่แล้ว +5

    Tutakukumbuka sana siku ukiongoka kipind hicho hata wanafiki watakusifia

  • @gospalflavour7304
    @gospalflavour7304 7 ปีที่แล้ว +5

    Hekima ya mungu inasema.hata akili ya mwisho yake mungu haifikiwi na akili za binadamu.
    Haya maneno nimazito saana.
    Mungu atujaalie hekma na maarifa.

  • @henryrwamugema841
    @henryrwamugema841 8 ปีที่แล้ว +3

    Mheshimiwa Rais hongera kwa kazi nzuli ya kupambana na rushwa, lakini hao akina Kabwe ni "upele" tu, lakini majipu makubwa bado hujayagusa , songa mbele usiwe na woga Mwenyezi Mungu yupo anakulinda, upasue majipu makubwa .

  • @madinahamis3172
    @madinahamis3172 6 ปีที่แล้ว +2

    jamani uyu rais Ata sijui nimuombee dua gani dah Alihamdulilah mungu Akupe umri mrefu

  • @paschalmakemba4000
    @paschalmakemba4000 8 ปีที่แล้ว +5

    Naumia sana nchi yangu

  • @husseinchiaseeds2653
    @husseinchiaseeds2653 5 ปีที่แล้ว +2

    Jamani Mimi nifanyejeeeee😀😀😀😀😀

  • @BBCFintl
    @BBCFintl 8 ปีที่แล้ว +6

    Name and shame and jettison ...this man Mr. Kabwe has got off easy. In South Africa thieves are beaten up and before they lose consciousnesses, have car tires strung around them and then burnt to death. He is one very lucky man indeed!

    • @mzeeally2639
      @mzeeally2639 7 ปีที่แล้ว

      mh rais ongela kwa kazi nzuli mungu akupe maisha malefu

    • @danielelisha2617
      @danielelisha2617 7 ปีที่แล้ว

      asante mungu kutupatia kiongoz shupavu,asiyewaskliza waongoongo hao,na makonda astoke had nchdar esalaam yetu ikae sawa

    • @kabogodominika6305
      @kabogodominika6305 6 ปีที่แล้ว

      Zabde-Ezra Ayienga kiswahili samahan

  • @mara-cb3gx
    @mara-cb3gx 7 ปีที่แล้ว +3

    kazi2

  • @syv_habari
    @syv_habari 6 ปีที่แล้ว +2

    Saf mzee

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 7 ปีที่แล้ว +1

    Napenda mtindo huu.

  • @fredrickmathias6478
    @fredrickmathias6478 2 หลายเดือนก่อน

    Leo ni 2024 July,kiko wapi?? Usiue wala kudhurumu,mshahara wa dhambi ni mauti

  • @zandakingmwandaro4153
    @zandakingmwandaro4153 7 ปีที่แล้ว +3

    rushwa ina zorotesha nchi sana mwelekeo mzuri sana huo magu

    • @elishamachela927
      @elishamachela927 7 ปีที่แล้ว

      usimamiz wa xheria bila kuzingatia katiba ni unyanyasaji wa haki za binadam

    • @whoknowsme832
      @whoknowsme832 4 ปีที่แล้ว

      @@elishamachela927 ,

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy 5 ปีที่แล้ว +1

    Maraisi wote walopita walikua soft sana.sasa wamepata kigogo

  • @fredrickmathias6478
    @fredrickmathias6478 2 หลายเดือนก่อน

    2024 God did

  • @kishadafour8307
    @kishadafour8307 8 ปีที่แล้ว +9

    Mimi nahisi Raisi huyu angekua na kipindi maalum kwenye TV cha kutumbua majipu live sio hivi kwenye majukwaa kama mkutano wa kampeni.

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว +2

    Yote tunayaacha hapahapa Duniani hakuna jipya hapo

  • @jumannendayigeze2899
    @jumannendayigeze2899 ปีที่แล้ว

    Inaumiza sana huu ni uongo na. kuchochea wenzio

  • @kabogodominika6305
    @kabogodominika6305 6 ปีที่แล้ว +1

    Mimi mtu wa ccm lakin makei punguza sifaaa

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว +1

    Kazi kwelikweli afu alivyofariki jamaa akaenda msibani duh

  • @davidmziray4011
    @davidmziray4011 6 ปีที่แล้ว +2

    Mambo yenu ya uongo

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 6 ปีที่แล้ว +2

    Sasa ni zamu yako mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu

  • @mulakarisa2788
    @mulakarisa2788 10 หลายเดือนก่อน

    Ninauhakika wamungu kulengana na ujio wake jpm kwa kazi kwa hapa kazi tuu tz ingekuwa yenye mfano wakuigwa

  • @nindemkeremi3708
    @nindemkeremi3708 2 ปีที่แล้ว

    2022

  • @mulakarisa2788
    @mulakarisa2788 10 หลายเดือนก่อน

    Iendap kumetokea mwenye kufanya nivigumu mno wayeye kudumu juu wengi humchimba kwa chini ndio ili wabaki wakinyonya wananch kma kupee

  • @aishaebitokenakukubatisoma5726
    @aishaebitokenakukubatisoma5726 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona mnatubomolea majumba kama mnatutetea madikini

  • @mudymagazine3003
    @mudymagazine3003 6 ปีที่แล้ว +1

    Wazee wa misifa

  • @abubakarikisuju5374
    @abubakarikisuju5374 4 ปีที่แล้ว

    Kwa hali hii makonda umekuwa raia itakuwaje?

  • @simonkailanga
    @simonkailanga 7 ปีที่แล้ว +7

    Huomsimamo uendelee mpaka usiishie njiani tumbuwa timbuwa mpaka kwa makonda iwapo kama itakuwa nikweli

    • @kijolimgeni199
      @kijolimgeni199 5 ปีที่แล้ว

      tolu mnyama kweli kabisa usemayo

  • @halimamwishehesaid3436
    @halimamwishehesaid3436 6 ปีที่แล้ว +1

    Nikwel kabisa rais wet wat weng huish kwakutuzurum ss tusio nakt ww timbuat na mbung atakulinda milele

  • @ramadhaniwambangulu716
    @ramadhaniwambangulu716 8 ปีที่แล้ว +1

    Naomba urafiki na ramadhani wambangulu

  • @laumlimbila4337
    @laumlimbila4337 7 ปีที่แล้ว +1

    daaah!?

  • @atubarikiyessaya4076
    @atubarikiyessaya4076 8 ปีที่แล้ว

    huruma sana

  • @halimamwishehesaid3436
    @halimamwishehesaid3436 6 ปีที่แล้ว

    Apa kazit

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 6 ปีที่แล้ว +2

    Tumbua hadi mafisadi wote wakuelewe

  • @michaelwaryoba4904
    @michaelwaryoba4904 8 ปีที่แล้ว +3

    Watumbue hao makonda, bado majipu mengine yapo jiji!

    • @hamzamtila8304
      @hamzamtila8304 6 ปีที่แล้ว

      Je na hili jipu la makonda utalitumbua au utaliacha?

    • @kijolimgeni199
      @kijolimgeni199 5 ปีที่แล้ว

      Michael Waryoba Tumbua bila ganzi mueshimiwa

  • @immamlowe734
    @immamlowe734 7 ปีที่แล้ว +3

    Wamezoea tumbua baba

  • @dottoemannuel5712
    @dottoemannuel5712 6 ปีที่แล้ว

    uyonimwanae hawezikumfanyachochote

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 8 ปีที่แล้ว +1

    "Kabwe rudi nyumbani ukitoka gerezani.. uje ujiunge nasi sote tushirikiane.. kulijenga taifa.. taifa letu changa Kabwe..!"
    Haya ndiyo Mwalimu alikuwa kisema.. mtoto akilila wembe UKIMPATIA.. UTAMKATA PALE PALE..! Kaka Kabwe kaipata freshiii.. Lmao..!

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 ปีที่แล้ว

    Kaka ?????

  • @danielhumble4292
    @danielhumble4292 6 ปีที่แล้ว +1

    Mbona hujampa nafasi yakujitetea kama yule mkurugenzi wa mkoa fulani uliambiwa ni mwizi.
    Huo mh.sio utendaji kazi bali ni geresha zako tuu utawafumba wavivu wa kufikiri lkn kwa werevu hawatadanganyika hata siku moja

  • @editasamwel2377
    @editasamwel2377 6 ปีที่แล้ว

    Mziki

  • @mukundubayeyetom9704
    @mukundubayeyetom9704 8 ปีที่แล้ว +2

    HUYU NAE ANAPENDA FITINA,NKT

  • @siliviamwando6448
    @siliviamwando6448 6 ปีที่แล้ว +1

    Makonda dhambi hiyo inakufuata

  • @ramambongo4069
    @ramambongo4069 6 ปีที่แล้ว

    Mbona makonda humsimamishi ni mwanao ila yote ni ya Mungu makonteina ndio hayo unapiga danadana tu ila wakil wa kwel ni Mungu

    • @mufasamufas6023
      @mufasamufas6023 6 ปีที่แล้ว +1

      Sasa mfanyakazi wa serikali si binadamu kama wewe yale makontena siyo ya wizi ameyanunua akawa anaomba apunguziwe kodi mzee magu kamwambia hakuna cha kufanyakazi serikalini wala nini kama huna pesa yapigwe mnada na ndio kilichofanyika sasa afukuzwe kazi kwa kosa gani hapo

  • @rosembuna955
    @rosembuna955 6 ปีที่แล้ว

    Rose Mbuna mbeya nna mapacha watatu ofisi ya Raisi niliambiwa ntapewa msaada mpaka leo:hakuna: tusaidieni watoto hawa nashindwa kuwamudu Mheshimiwa Magufuli:0784485142:walichukuwa picha ustawi wajamii:vyeti vya kuzaliwa wakasema subiri mpaka leoWana miaka minne na nusu

    • @sangijamadukwa1486
      @sangijamadukwa1486 6 ปีที่แล้ว

      Rose Mbuna bando la kuingia utube unalpata wapi? Lea hao wanao

  • @godlovebalaka3008
    @godlovebalaka3008 7 ปีที่แล้ว +1

    itafahamika 2

  • @albertosanga7744
    @albertosanga7744 6 ปีที่แล้ว

    Sasa ni zamu yako mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu