MC MADEVU AWAPA MBINU WAADVENTISTA WA SABATO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 13 ต.ค. 2024
- @Mtangazaji MC Madevu ambaye hutumia sanaa ya uchekeshaji kufikisha ujumbe kwa jamii ametumia sanaa hiyo kuwapa baadhi ya mbinu Waadventista wa Sabato wanazopaswa kuzitumia katika kufikisha utume wa kanisa hilo na maisha ya kila siku katika jamii mbalimbali.
Woooooow! Mc. Madevu. Kazi yako ni njema hii nondo nimeikumbuka imefanana na ile ya tukuza festival
Mwamba siyo mwamba?
Mtangazaji Media...., Songa mbele Bosi. Tunabarikiwa sana vijana wako from Tanzania......!
th-cam.com/video/pIujr7BfjHw/w-d-xo.html
Hongerah sanaaaaa mkuu
Umenibariki sana 🤗🤗🤗👍🏽❤️❤️❤️😂😂
Umenigusa sanaaa moyo wangu na Yesu akubariki Madevu
Aminaaaa sana..mc Madevu bless up sana💥💥
th-cam.com/video/pIujr7BfjHw/w-d-xo.html
Bonge la mbinu my young bro nimekupata vzr
Knowledgeable Comedian.
th-cam.com/video/pIujr7BfjHw/w-d-xo.html
Yesu ni mwambaaaaaa japo shetani anatutingisha tingisha lakini ipo cku mwamba akirudi
Mwamba unajuaaa🙌🙌🙌🙌ukuje Dom aseeeee🤗
th-cam.com/video/pIujr7BfjHw/w-d-xo.html
Dom up
Nimecheka mpaka nimetoa chozi mc madevu baby umetisha karibu sabato
My teacher miss you
Good 👍
Mc Madevu uko juu💪💪💪
Aya bwana
Nakuelewa sana barikiwa
Blessings sana man of God
th-cam.com/video/pIujr7BfjHw/w-d-xo.html
Sawa ticha na kubali sana
🤣🤣🤣🤣🤣🙌🏽Nakubali sana Mc Madevu
Good
Mwalimu haswaaa!!!!!
Jamaaa anajua 😂😂😂😂😂😂💪
th-cam.com/video/pIujr7BfjHw/w-d-xo.html
Hahahaa madevu umenichekesha kwamba ww utapaa miguu juu kichwa chini ila jamaa
Hahahaha😃😃😃 Mungu akubariki San
Glory to his name
😂😂😂 nampenda MC
Ubarikiwe
Damn he's good.
😂😂😂😂 Safi sana
Eti sa mbona ana hasiraaa
Mc Madevu Safi sana
Safi Mr.Madevu
🤣🤣🤣🤣🤣ujumbe mzuri sana
Yesu mwambaaa
😂😂😂😂😂😂yesu mwamba
Kwa mafundisho ya ivi sikosi ibada
Hahahaha mc madevu umetisha nimekufurahi sana
Kumbe uyu jamaha ni msabato
Kubwa kuliko
Tuliosoma Midland high school tujuane hapa tuliofundishwa na meshack
Npohapa
😂😂😂😂MADEVU respect
Karnda kuandaa masksni😂😂😂😂
Hivi mc mandevu wewe ni msabato??????
🤣🤣🤣🤣🤣
Injili sijawahi kusikia mnaihubili tatizo porojo injili zaburi na Taurati zimo kwenye quran
🤣🤣🤣
🤣🤣
Wazo zuli sana
Waislam tuna ujua ukristo sana mpaka tunajua wapi pakukosoa wapi pakueleza usahihi CHAKUWASAIDIA KWANZA SOMENI UISLAM THEN MTAJUA NINI TATIZO.
Kila mtu na iman ake kaa kwa kutulia
Yesu ndio njia ya kweli na uzima
Imani ya mtu n.a. iheshimiwe
Mbona wanaotoka huko kwe Uislam wakiwaambia ukweli mnabisha
🤣🤣🤣🤣🤣