Barikiwa sana nabii David Richard , usipungukiwe na chochote ..Mungu anatupenda saana hata amekutuma kwa majira haya kutupa ufaham wa mambo ya rohoni kwa namna hii kubwa na ya ajabu . Asante sana sana ukazidishiwe utii katika kazi ya Bwana na wote tulopewa neema hii ya kuskia tuyahifadhi haya ktk mioyo yetu na kuyatendea kazi .na wote ambao neema hii bado haijawafikia ni maombi yangu iwafikie .Asante sana baba umefanyika sana baraka ktk maisha yetu .
May Almighty God protect you our beloved Prophet. You are the best. God is using you mightly our Prophet. Mankind need your teachings big time. Your teachings are powerful.
Asante sana prophet mimi niliwai kumuona katika maono nikamwuliza mungu huyu ninani BWANA AKINIAMBIA HUYU NIMALAIKA ALIYEANGUKA ANALIKUWA NA MAJESHI MENGI SANA ILA HAKUNIAMBIA JINA LAKE
Thank you so very much,Sir, for more revelation,you are teaching us very important, message,we need this so much,I remember your testimony,about heavens.
Ndio maana unaona leo hii makanisani watu wana sali huku wamevaa mavazi ya ukahaba,manywele bandia,wamechubua ngozi na hawataki kuambilika wanasema Mungu anaangalia roho! Na baadhi ya watumishi wanalikubali hilo,kweli kabisa ni roho ya ulaghai
Am blessed by your teaching on lilith n other teachings hv been following up am vry new in tis channel and let me say you r going far hv learnt things vry shocking, bblsd mightily, On top I hv a question pliz, who was the father of CAIN brother to Abel pliz
@@cynthianawambugha7663 Hapa duniani si kwetu, kwetu ni mbinguni aliko Baba.... 1 Yohana 2:15. Na ukiipenda dunia, upendo wa Baba haukai ndani yako. Sasa ni heri isimame, ili mimi nifly😇...kama impendezavyo Mungu aliye juu.
@@cynthianawambugha7663 Namtetemesha sana uyo mwovu, kwa maana Yesu yu nami ndani yangu😊. Wala sina shaka ya kwamba ipo siku ntarejea nyumbani huko juu🤗
Ubarikiwe sana nabii, nisadie nimeona kwa ndoto Mara mbili mwanamke lakini ukimwangalia sana juu ni mwanamke chini nimwanaume namaanisha sehemu za siri nizakiume na juu nikike huakaribu kulala Mimi lakini nikaishinda na pia mwanangu pia akauona , nisadie iiniroho yanini?
The bible says your son's and daughters shall prophesy,young men shall see visions while old men shall have dreams,hakika ili neno limetimia,Bwana Yesu yu karibu kurudi kabisa.
Amen ,but what about Jezebel being mentioned in Revelation because of her immorality.In Revelation,its being said that woe to those who have drink from her immortality. So naomba ufafanuzi pia
Barikiwa sana nabii David Richard , usipungukiwe na chochote ..Mungu anatupenda saana hata amekutuma kwa majira haya kutupa ufaham wa mambo ya rohoni kwa namna hii kubwa na ya ajabu . Asante sana sana ukazidishiwe utii katika kazi ya Bwana na wote tulopewa neema hii ya kuskia tuyahifadhi haya ktk mioyo yetu na kuyatendea kazi .na wote ambao neema hii bado haijawafikia ni maombi yangu iwafikie .Asante sana baba umefanyika sana baraka ktk maisha yetu .
Prophet... Please we need English translation.
IL0VE YOU MY FATHER
Mungu aendelee kukutumia kwa Utukufu wake. Amen
Lord Jesus have mercy on me, take more of me and give me more of you my Jesus,, thank you man of God. God bless you 🇶🇦
May Almighty God protect you our beloved Prophet. You are the best. God is using you mightly our Prophet. Mankind need your teachings big time.
Your teachings are powerful.
I'm very blessed, elimu hii tunayopata ni ya kipekee Mungu akuzidishie neema yake ili nasi tuweze kupata zaidi.
May God help us.
Asante sana prophet mimi niliwai kumuona katika maono nikamwuliza mungu huyu ninani BWANA AKINIAMBIA HUYU NIMALAIKA ALIYEANGUKA ANALIKUWA NA MAJESHI MENGI SANA ILA HAKUNIAMBIA JINA LAKE
Thenkyu my spiritual Dad,,, we're learning n blessed in this leverations
Jesus heal me🙌🏻
Asante YESU kwa kumtumia NABII wako kutupa siri za ufalme wa giza
This man of God has been a very helpful since I knew him
God bless you father
Siri ya ajabu sana,barikiwa daddy
Tumia kiswahili zaidi ueleweke vzr usipende kuchanganya
Kweli umenisaidia
Thanks Dad for reaveal to us deep secret may God bless you and protect ur destiny in Jesus name
Asante kwa mafundisho yenye mafunuo 🙏 nakuombea Mungu aendelee kukutumia katika viwango vya juu zaidi
AMEN AMEN. no wonder the country m in now ina mambo za ajabu just in the name of the situation we are in🤨🤨 🇸🇦shindwe kwa jina la YESU
It's good to know the truth. Very many of us have been affected by this spirit. In knowledge you shall wage your war. Thanks Prophet.
Jesus is the ultimate truth
Ansante sana baba david kwa huu neno..mungu aku bariki
I like these teachings of Angels either evil or the Holy ones. It's better to gain that knowledge....Asante Prophet D.R
Am learning Dady,deep learning.Holy fire surround u,moto wa Mungu ukulinde baba.
Amen prophet I never knew such a name
AMEN BABA.
Asante Mungu kwa kinipa Siri hii kubwa
Thank you prophet iknow and ibelieve GOD is to gether with your service
Amen I agree believe recieve and trust in the Almighty name of Jesus Christ be blessed servant of God I have learnt something
I'm here again 2023
There is a reason why God made me find, Jesu hataki nipotee. asante Yesu.
Asante sana Nabii David Richard kwa mafundisho ya kipekee na siri kubwa zilizo fichwa sanaa.
Najifunza mambo mhimu sana sana barikiwa dad Prophet Richard
Amen,shalom peace
THANK YOU BRO
YOUR BLESSED 🙋
Thank you.
Thank you so very much,Sir, for more revelation,you are teaching us very important, message,we need this so much,I remember your testimony,about heavens.
Dad ,can i ask u qz
How about Lilith .WA Adam
May God continue revealing secret of Lucifer for the children of God
Mungu Hakubariki sna kwli
Ameen
Asante nabii wa kweli.
Ahsante sana. Ubarikiwe prophet
Thank you my spiritual father, kwa kweli nimejifunza mambo mengi.
I love you brother God bless you ,you really inspire me brother thank you
Thanks
Amen
Ameen thank for that teaching
Ndio maana unaona leo hii makanisani watu wana sali huku wamevaa mavazi ya ukahaba,manywele bandia,wamechubua ngozi na hawataki kuambilika wanasema Mungu anaangalia roho! Na baadhi ya watumishi wanalikubali hilo,kweli kabisa ni roho ya ulaghai
Kwajina la Yesu ashindwe
Amen papa
Barikiwa Sana daddy ! Nimejifunza kitu kikubwa Sana .May God bless you and keep you daddy
Am blessed by your teaching on lilith n other teachings hv been following up am vry new in tis channel and let me say you r going far hv learnt things vry shocking, bblsd mightily, On top I hv a question pliz, who was the father of CAIN brother to Abel pliz
Who is Oshun wakuu
Dunia simama, nifly aisee🙆🏼.....ninayo ham ya kurudi nyumbani, nyumbani kwetu ambako Lilith hawezi fika. Jesus help me🙏🏻
Wataka kurudi umepigana vya kutosha? ama unakimbia vitu haitosamama hadi kieleweke😁💃
@@cynthianawambugha7663 Hapa duniani si kwetu, kwetu ni mbinguni aliko Baba.... 1 Yohana 2:15. Na ukiipenda dunia, upendo wa Baba haukai ndani yako. Sasa ni heri isimame, ili mimi nifly😇...kama impendezavyo Mungu aliye juu.
@@Marianne-t1z 🤣🤣🤣najua hapa c kwetu swali langu ni umetetemesha ule mwovu vya kutosha
@@cynthianawambugha7663 Namtetemesha sana uyo mwovu, kwa maana Yesu yu nami ndani yangu😊. Wala sina shaka ya kwamba ipo siku ntarejea nyumbani huko juu🤗
@@Marianne-t1z HALLELUJAH may GOD keep on giving you strength of fighting back
🙏🙏🙏 man of God
Ubarikiwe sana nabii, nisadie nimeona kwa ndoto Mara mbili mwanamke lakini ukimwangalia sana juu ni mwanamke chini nimwanaume namaanisha sehemu za siri nizakiume na juu nikike huakaribu kulala Mimi lakini nikaishinda na pia mwanangu pia akauona , nisadie iiniroho yanini?
this was for me yooh
Amena
God bless you
🙏
The bible says your son's and daughters shall prophesy,young men shall see visions while old men shall have dreams,hakika ili neno limetimia,Bwana Yesu yu karibu kurudi kabisa.
New subscriber! I'm learning alot....
Thank you Prophet.
Amen Prophet
🙏🏽
Waaaaaa yeah it's true..
Asante dad
Ee..bwana nisaidie nimjuwe huyu nabii wako zaidi katika roho
Eti Jezabel catch fire 🔥 😂😂😂😂😂😂😂
Nimesikia story nyingi kuhusu lilith lakini nimekua siamini kumbe ni kweli
Kuna wakati nilisoma kua lilith alikua mke wakwanza wa Adamu ,,
Hata Mimi niliwahi sikia
Walitoa wap hy miil hao fallen Angels ,kwn Lucifer aliubw mwanaum na Lilith mwanmk au
😂😂😂 Lilith😂😂 hay majina unayatoa wapi?,Mbona haiko kwa biblia?
Find Bibilical Hebrew Isaiah 34:14...You will know who is Lilith.
Kaachini soma biblia yako kwa utulivu, umakini na kwa kurudia utaweza kupata maarifa na kuyajua usiyoyajua mtu wa Mungu
Swanglish
Amen ,but what about Jezebel being mentioned in Revelation because of her immorality.In Revelation,its being said that woe to those who have drink from her immortality. So naomba ufafanuzi pia