Bwana Yesu asifiwe Sana Apostle Vera Muro hakika nabarikiwa sana na hii huduma yako nashukuru Mungu nimeomba na wewe leo hakika nimepata amani. Mimi huwa nateswa sana hizi ndoto za kuota nikiwa shuleni. Lakini nashukuru Mungu sana nimeanza kuona break through
Tunamshukuru Mungu kwa ajili yako apostle vera❤
Mtumishi Mtumishi umepondeka
Ameeeeeeen mtumishi MUNGU akubariki
Amen
Amen amen san
Bwana Yesu asifiwe Sana Apostle Vera Muro hakika nabarikiwa sana na hii huduma yako nashukuru Mungu nimeomba na wewe leo hakika nimepata amani. Mimi huwa nateswa sana hizi ndoto za kuota nikiwa shuleni. Lakini nashukuru Mungu sana nimeanza kuona break through
Roho mtakatifu anavyoweza kubadilisha mausha
Amen Amen Amen
Nimebarikiwa sana
Barikiwa sana...Mungu anakutumia sana kwaajili yangu
Mungu ni mwema sana ,ananipenda amenifanya nikufaham wewe mtumishi wake
Mtumishi Vera Mungu akutunze kwaajili ya kusudi lake...unatusaidia wengi