Walter wewe ni zaidi ya muimbaji kaka angu. Nyimbo zako zimenipa moyo sana wakati nipo kwenye hali ya kifo na uhai , niliuona muujiza wa bwana Yesu nilipokua kitandani oyi hospital 😢. Kupitia nyimbo zako aswa ule wimbo wa "Usinipite " pamoja na majibu yakutisha toka kwa madaktari lakini niliendelea kujipa moyo kwamba Mungu wetu ashindwi uku nikisikiliza nyimbo zako . Mwenyezi Mungu azidi kuzibariki kazi za mikono yako ❤❤❤
Hatari Sana Aiseeee Muziki Taratibu Aiseeee 🔈🔉🔊🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Kali sna...Ngoma yenyewe Iko Katika Roho tunde from Kenya.Big up🎉❤❤
Utukufu kwa Mungu.
Wimbo unagusa sana! Unajikuta tuuu unabubunika.
Mungu akuinue viwango na viwango kwa kazi yake.
Aiseeee daaah hii nyimbo ni kali mnooo
Mungu aendelee kukubariki bro kila unapopita🙏🙏🙏🙏
Nice Bigg ujawah kosea 🙏🙏💯
Hemani mwako nitulie❤ Yesu nakupenda
Zaidiii nikufaham Yesuuuu zaidi🙏
Yesu nikiskia jina lako machozi yananitoka nakupenda
Mbele Yako niiname Yesu nakupenda 🙏🙏🙏zaidi nikufahamu Yesu niwe karibu Yako oooh Jesus😭🙏🙏
Mungu wetu akutendeye mema tena mkali wetu
Walter chilambo my mentor 🔥🔥🔥🔥🔥🔥am from Nairobi Kenya 🙏🙏🙏🙏🙏
Hope I will meet you one day nifanye na wewe ngoma huku Kenya
Hemani mwako nyumbani mwakooo... Congratulations to you home boi
Nabarikiwa sana na nyimbo zako❤
Nakubali hii ngoma itawagusa wengi sana Mungu akuinue zaid
Amen 🙌🙏👏😇.. Yesu huisha mioyo yetu kila atakae sikia wimbo huu mzuri awe na kiu ya kutaka kukufahamu zaidi
You are my exceptionnel favority gospel artist 🙌🙌👌🙌🎶🎶🙌👌🙌🙌Amen
Très propre félicitation
sijui hii nyimbo nimeirudia mara ngapi leo...nyimbo nimeisikiliza siku nzima inanibariki....🔥🔥🔥Walter Mungu azidi kukubariki kwa kazi nzako nzuri
Wimbo mzuri, Barikiwa
One of my favorite song from the Album 🙏✅✅
Kaka unajuaa❤
Nyimbo yangu pendwa
Moto sana kaka barikiwa zaidi
Barikiwa mwanangu
🔥🔥🔥 moto sana Chilambo, you are my role model
Wimbo mzuri
🔥🔥🔥🔥 so amazing 😍
Niceee one ❤
First to comment
Mbele yako niiname ❤️❤️
What a beautiful & refreshing gospel song❤. Shukrani brother Walter
Good job❤❤
I ran out of words, the song bless me a lot
amazing brother
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Walter wewe ni zaidi ya muimbaji kaka angu. Nyimbo zako zimenipa moyo sana wakati nipo kwenye hali ya kifo na uhai , niliuona muujiza wa bwana Yesu nilipokua kitandani oyi hospital 😢. Kupitia nyimbo zako aswa ule wimbo wa "Usinipite " pamoja na majibu yakutisha toka kwa madaktari lakini niliendelea kujipa moyo kwamba Mungu wetu ashindwi uku nikisikiliza nyimbo zako .
Mwenyezi Mungu azidi kuzibariki kazi za mikono yako ❤❤❤
😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nime pokeya kitu
🙏🙏🙏🤲
Video yake kwann haijafanywa kwa nyimbo Kali kama hiii?? Chilambo just do it
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤
Bro mbona siku nyengine uwa auwimbi kiswahili big UP sana bro
BROO IMBA NA MC BABY
🙏🙏🙏