MCHUNGAJI JOSEPHAT GWAJIMA MAUTI NA KUZIMU SEHEMU YA PILI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 30 ม.ค. 2014
  • Mauti na Kuzimu sehemu ya pili
    Mauti na kuzimu vina uhusiano wa karibu sana, kama ambavyo kwenye maandiko kila ilipotajwa mauti na kuzimu inatajwa, somo hili lilifundishwa na mchungaji Josephat Gwajima Ufufuo na Uzima Kawe na maelfu ya watu wakafunguliwa kutoka vifungo vya mauti walivyokuwa navyo.

ความคิดเห็น • 9

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว

    Asante baba kwa mafundisho mazuri

  • @muthangyam
    @muthangyam 8 ปีที่แล้ว +2

    Thanks I have found My mentor in net. From KEnya, Percy

  • @zitakomba5803
    @zitakomba5803 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akusaidie usichoke

  • @uwrtvuwrtv3575
    @uwrtvuwrtv3575 4 ปีที่แล้ว +1

    Kweli kweli kweli

  • @gloryngae9621
    @gloryngae9621 10 ปีที่แล้ว +1

    paster tunashukulu kwa kutufungua macho maana tupo gizani sana na mungu akuzidishie sana utukombea mchungaji Ngwajima

  • @gloryngae9621
    @gloryngae9621 10 ปีที่แล้ว

    paster mimi ninashida sana na wewe naomba mawasiliano mimi siishi hapo dar nipo nje ya Tanzania ni Holland na shida na wewe niongee anagalu tu