IPHONE 15 ILIVYO NIPONZA PART 1

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • #simulizi #story #skendompya
    IPHONE 15 ILIVYO NIPONZA PART 1
    Chiku ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Dokolu, Tanzania. Alijulikana kuwa mrembo na mwenye akili nyingi, lakini maisha ya chuo yalimbadilisha. Alipojiunga na chuo, alikua na ndoto za kufanikiwa na kuwa mfano bora kwa jamii. Lakini, alikutana na marafiki waliosababisha ajikute katika njia zisizofaa.

ความคิดเห็น • 1