🔴

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 31 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 46

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  3 หลายเดือนก่อน +2

    💪💯JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO 🔥🔥 chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

    • @Mariam-w9s3b
      @Mariam-w9s3b 3 หลายเดือนก่อน

      Mungu azidi kuwalinda ndugu zetu kila gum Lina njia ya kutokea inshallah

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 13 วันที่ผ่านมา

    Mashaallah mashaallah

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 3 หลายเดือนก่อน +2

    Muogope Mungu usiombe radhi
    Na usimchezee Mungu
    Ukijistiri ni wewe mwenyewe humvalii mtu wala humvalii Muomani

  • @111dudi
    @111dudi 3 หลายเดือนก่อน +7

    Bora warudishe Watanzania wote nyumbani. Waishi kwa raha makwao.waomani tutapumzika na midomo ya akina Zari na wenzake

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 3 หลายเดือนก่อน

      Yaan wamekazana hasa hata sijui Nia Yao nini

    • @111dudi
      @111dudi 3 หลายเดือนก่อน

      @@zuweinaalhabsya8773 wivu kuona wenzake wanapata

    • @MamaMama-xp4nk
      @MamaMama-xp4nk 3 หลายเดือนก่อน

      Yaan hizi habar zimenichosha​@@zuweinaalhabsya8773

    • @BibiClassic-rl2jo
      @BibiClassic-rl2jo 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂
      Muoman mtanzania ndugu yako
      Sasa unamfukuzaje nduguyo amekuja kujitafuta
      Kila jambo lipe muda
      Km waoman walivyo ondokewa na muingereza Tanganyika
      Basi ipo siku
      Watanzania watakuwa hawaji kufanya kazi
      Labda biashara na kutembeleana
      Maana tuna watoto wetu Oman
      Mama mtanzania
      Na baba muoman
      Watanzania watakuja kimatembezi km watoto wetu wa kioman wakija Tanzania kimatembezi
      IPO Siku
      WATAENDA Nchi zingine kufanya kazi tusikilize story za Nchi zingine

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani nani aliwalazimisha kwenda huko Oman.
      Hata hapa nyumbani tunaona vituko wanavyowafanyia waajiri wao majumbani. Wengi wao ni majeuri, uchafu na wizi.

  • @piliramadan875
    @piliramadan875 13 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa kuswali ni lazma

  • @hadijahamza-l9z
    @hadijahamza-l9z 2 หลายเดือนก่อน +1

    achanane na oman

    • @Mariam-ke4og
      @Mariam-ke4og 2 หลายเดือนก่อน

      Hadija huwezi kumwambia aachane na Omani umaanisha nini acha ujinga asiseme ukweli mkishapata shida huko ndiyo mnamkimbilia da Zari mwache aseme mnamsumbua sana

    • @hadijahamza-l9z
      @hadijahamza-l9z 12 วันที่ผ่านมา

      @@Mariam-ke4og tuliza komwe nawewe uwe unajibu kitu ukiwa umekielewa na mm ni mtanzania siwezi tetea oman kwahiy kuniambia mm mjinga ukome

    • @hadijahamza-l9z
      @hadijahamza-l9z 12 วันที่ผ่านมา

      nawala.mm.siwez mkimbilia zari kwa sababu zari siyo ajent bali ni mtu anaye paza sauti 🤣🤣🤣hata ningekuwa huko oman wa kumfata ni ajent au kumuambia boss anirudishe nyumban

  • @سعودعبدالعزيزماسيخاطرالسعدي
    @سعودعبدالعزيزماسيخاطرالسعدي 3 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo sisi watanzania niwaongo sana tunatabia za kuzusha

  • @abdifaraji2883
    @abdifaraji2883 หลายเดือนก่อน

    Hizi ni taarifa za upande mmoja. Wahojini na hao wajiri wao. Watanzania wana sifa tatu; waongo, wakaidi na wezi, wanamwibia hata maiti

  • @musakutenga9848
    @musakutenga9848 3 หลายเดือนก่อน +2

    Hongera Fungameza umeelewa kakaa kwa mtu shida kazi uarabuni ni utumwa mbona ulaya huku hakuna mambo hayo

    • @saidal-hadhrami
      @saidal-hadhrami 3 หลายเดือนก่อน +1

      Wachukuwe huko ulaya, na cc tunahitaji peace of mind maana kuna watu akili zao zipo chini ya nyayo zao , kila siku malumbano na still wanawaleta bila kujali utu wetu sijui kwa nini wanaoenda kujipendekeza kwa Waafrika

    • @fatmasalim8293
      @fatmasalim8293 3 หลายเดือนก่อน +2

      Bora mwende ulaya sasa mwenda fanya nini arabu mzungu hata afanye nini hamna neno ngoja mwarabu mtaona maneno vibaya acheni vitu hamuelewi

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 3 หลายเดือนก่อน

      ​@@fatmasalim8293halafu wazungu ndio hawawapendi waafrika si unajua wanawaita nini Kila siku wazungu wanauwa watu weusi

    • @abdifaraji2883
      @abdifaraji2883 หลายเดือนก่อน +1

      Huko ulaya huoni ubaguzi wanaofanfyiwa watu weusi? Wenyewe Wazungu hawataki mkae huko. Mnazamia nchi za watu na kuchana pasport zenu, mkipata shida hamna pa kukimbilia. Hata huko Africa ya kusini kwa Wafrica wenzenu hawakutakini. Hujiulizi kwa nini. Mnafukuzwa na wengine kuuliwa na bado mmeng'ang'ania kwenda. Hata huku Tanzania mahausigali wana vitimbi vingi.

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 3 หลายเดือนก่อน +3

    Na yanaotokea Tanzania hamuaoni.
    Nyani haoni ……..malizia

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 3 หลายเดือนก่อน

      Wanaona ya Oman tu ya kwao hawayaoni yaan Natamani ifike siku 1 niamke Asubuhi nisiikie watanzania wamefungiwa. Duu itakuwa furaha tele siku hio

    • @BibiClassic-rl2jo
      @BibiClassic-rl2jo 2 หลายเดือนก่อน

      😂😂
      HUWEZI mfungia mlango ngugu yako anaye kuja kwako kujitafuta
      UDUGU
      Ndiyo ulivyo
      Waoman na watanzania wamezaliana sanaa na Oman na Yemen
      Kuliko Nchi zingine za ughaibuni
      Kwa maana hiyo ktk UDUGU kuongeleana ni vitu vya kawaida​@@zuweinaalhabsya8773

    • @irenemichael
      @irenemichael 2 หลายเดือนก่อน

      Hee tufungiwe tena😢​@@zuweinaalhabsya8773

  • @Bintmsanif
    @Bintmsanif 2 หลายเดือนก่อน

    Na hawa ajent mchongo ndio washenz sana wanaleta watu kimagendo halaf wanawahangaisha tu

    • @111dudi
      @111dudi หลายเดือนก่อน

      @@Bintmsanif Wenyewe wanaridhika kwa sbb wanapata mshahara mara sita au saba ya mshahara wanaopata Tanzania. Kazi no makubaloano,kama hiwezi acha urudi nyumbani. Wao wanataka waje.nchi z watu halafunwaweke sheria zao.haiwezekani

    • @Bintmsanif
      @Bintmsanif หลายเดือนก่อน

      @111dudi kwenda zako na ww ndo wale wale

  • @jokhaali5893
    @jokhaali5893 3 หลายเดือนก่อน

    Hivi nyinyi MAPITO hakuna wa TANZANIA wengine katika nchi nyengine, bali wapo OMAN tu, wazo langu ni bora muwareheshe WA TANZANIA wote kwao ili waende kupata raha na sio shida na changamoto wanazopitia hapa kwetu OMAN

  • @sikitujuma4866
    @sikitujuma4866 3 หลายเดือนก่อน

    Zari hata hapo tanzania nilikuwa na rafiki zangu wahindi wakanya kazi wawili wantoka mbagara asubuhi wanakuja namandazi yao ndio wanakunywa chai naunga wao vyakula kuna bibi mtu mzima ndo anabaki nao wanae washinda dukani. Hata cho hawaruhusiwi kutumia wanamaliza kazi zote ndo wasonge tonge lao wale wanatiliwa kimchuzi kidogo ndo wale wali mpaka ubaki labda siku kazaa ndio wapewa hata sahani hawezi kutumia

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 3 หลายเดือนก่อน +2

    Balozi wamechoka na wameshawagundua
    Mtu anatoka kwao anaenda omn kujiuza
    Huyo kijana anaumakini
    Lkn huyo Zari anataka kuiponda omn
    Sasa mmefahamu

    • @zuweinaalhabsya8773
      @zuweinaalhabsya8773 3 หลายเดือนก่อน

      Lakini anafaidika nini Sasa kama ye Nani anamjua. Yaan Oman Kuna wafanyakazi WA nyingi wanakuja hata sijui kwanini wamekazana na Hawa watu jamani huku Kuna wahindi wasrilanka waphilipino Kuna Hawa wa Neymar wanakuja Sasa Mashaallah wote Hao wachapakazi hasa. Off Yao ni mara 1 kwa mwezi yaan raha tupu Hawa watu

  • @saidal-hadhrami
    @saidal-hadhrami 3 หลายเดือนก่อน +1

    Tunaomba Watanzania uwe na heshima kidogo, waomani hawanunui watu, kilichopo ni mikataba ya kazi na ndio maana mnalipwa mshahara kwa mwezi, mnapewa chakula , nguo, matubabu

    • @irenemichael
      @irenemichael 2 หลายเดือนก่อน

      Yaaan mpaka vinyolea kwapa😂

    • @Mariam-ke4og
      @Mariam-ke4og 2 หลายเดือนก่อน

      Nani kakwambia Watanzania hatuna heshima acha kashfa unataka na sisi tukujibu ?

  • @ummohamed4404
    @ummohamed4404 3 หลายเดือนก่อน

    Kandamizi rudi kwenu kwa usalama

  • @OfficialA83640
    @OfficialA83640 3 หลายเดือนก่อน

    Pakuishi vp kwani Bet Suleiman c ipo amuweke au kumefungwa jumba lote lile anakosa pakumuweka mkaka mmoja😢

    • @Bintmsanif
      @Bintmsanif 2 หลายเดือนก่อน

      Yaan saiv hamna bet suleiman wala nn ukienda pale unafurushwa urud ulipotoka wala hawakuskiliz wanakuambia urud jumanne au jumatano ndo cku za kuskiliza sasa utajua pakwenda ni shida kwa kweli

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 2 หลายเดือนก่อน

      @Bintmsanif Km umetokea Ubalozi ndy kwa Suleiman hupokelewi lkn km huyo kaka inshu yake alikuwa anaijua angemchukua tu lkn Alhamdulillah alipata wakumuhifadhi na amerudi Salama

  • @Salsabiil12
    @Salsabiil12 3 หลายเดือนก่อน +1

    Ulaya ni kwa waxungu na ukifany kaz kwa mzungu unataman ucache

    • @twix1404
      @twix1404 3 หลายเดือนก่อน

      Kabisa na hela yako unapewa mshaara unapewa bila longolongo

    • @RitbayRitbay
      @RitbayRitbay 3 หลายเดือนก่อน +1

      Kwani waarabu hawakup nchi za kizungu wanakutuma kma mbwa hamsem ila unafik wenu upo kwa waarabu mnatemewa mpk mate lkn kimy hamuchukui video mnajua mtapigwa bastola moja kwa moja

  • @HawaaMkubwa
    @HawaaMkubwa 3 หลายเดือนก่อน

    Zari huwezi jua agents mchongo ukifika Airport ndio unajua

    • @irenemichael
      @irenemichael 2 หลายเดือนก่อน

      Mimi pia nimegundua airport kwamba sijasafirishwa kihalal Sasa nilipopata changamoto ndiyo nikajua agent ulimpa pesa Hana msaada Tena.

  • @سعودعبدالعزيزماسيخاطرالسعدي
    @سعودعبدالعزيزماسيخاطرالسعدي 3 หลายเดือนก่อน

    Nikweli ata wafanyakazi wa ndani wanamatatizo sana tunashauliana fitu vya kijinga