Mch Moses Magembe - KITABU CHA MATENDO YA MITUME | KIPINDI 02

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
  • Siku ya Tano ya Kongamano la Umisheni katika chuo cha Biblia Southern Bible College Itende-Mbeya.

ความคิดเห็น • 10

  • @leticialaulian6391
    @leticialaulian6391 2 ปีที่แล้ว +1

    Mchungaji Moses wewe ni mnenaji wa Injili ya kweli. Tuko nyuma yako kwa maombi , Bwana Yesu akuzidishie UWEZA NA NGUVU Kutoka juu upate kuifanya kazi yake bila kuchoka.

  • @kimbulikambale5150
    @kimbulikambale5150 2 ปีที่แล้ว +4

    Na kupenda sana Mzee wangu, najua kuna siku nitakuona, ninapendezwa na mafundisho yako na namna yako ya kufundisha, nipo DRC/Butembo. Kupitia haya mafundisho na pata vitu vingi sana.

  • @anyigulilemwaigomole3012
    @anyigulilemwaigomole3012 2 ปีที่แล้ว

    Amen Amen Amen Amen

  • @fatumaremy
    @fatumaremy ปีที่แล้ว

    Amena

  • @maselepaul2857
    @maselepaul2857 2 ปีที่แล้ว

    GOD BLESSN US

  • @shedrackjosephat1761
    @shedrackjosephat1761 ปีที่แล้ว

    Naomba mwenye hizo notes anisaidie via email please

  • @laurentemmanuel2242
    @laurentemmanuel2242 2 ปีที่แล้ว

    🙏

  • @mercyshekhina6717
    @mercyshekhina6717 2 ปีที่แล้ว

    Powerful 🙏

  • @petergenya7379
    @petergenya7379 2 ปีที่แล้ว

    Glory to JESUS