WAKATI WA KUSUBIRI- Family of Praying Women

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 10 ก.ย. 2023

ความคิดเห็น • 5

  • @alistidiakamugisha
    @alistidiakamugisha 10 หลายเดือนก่อน

    Mungu wa Mbinguni aendelee kuwabariki sana kwa huduma hii watumishi wa Mungu

  • @tumpekadaga
    @tumpekadaga 10 หลายเดือนก่อน

    Kipindi kimenibariki sana, naomba kiongozewe muda ikibidi.. barikiwa sana Baba

  • @familyofprayingwomen587
    @familyofprayingwomen587  10 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana kwa comments hizi Bora saana
    Tutaendelea kuwachilia kitu kingine muda si mrefu. Neema ya Bwana itufanikishe wote

  • @upendorichard3883
    @upendorichard3883 10 หลายเดือนก่อน

    Wakati wa kusubiri ni wakati wakukua kiroho, kuongeza fellowship na Mungu. Wakati wakusubiri ni wakati wakumtukuza Mungu, maana tunajua yakua maana ya imani ni; "Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana". (Waebrania 11:1). Wakati wa kusubiri hujenga na kukuza imani yetu juu ya Mungu wetu. "Na kazi ya saburi ni uthabiti wa moyo; na kazi ya uthabiti wa moyo ni tumaini".(Warumi 5:4)

  • @gvasongvasoncoltd6538
    @gvasongvasoncoltd6538 10 หลายเดือนก่อน

    Kipindi kimekuwa kizuri saana ila kimekua kifupi kuna mwendelezo?