Ushuhuda mkubwa sana mtumishi wa Mungu.ninakuombea Mungu akupe ujasiri katika safari yako ya wokovu Bwana Yesu akuvike ujasiri wa mtume Paul.ututajie na hao watumishi wanaokwenda kuzimu ili watu wajue kusimama wao kama wao.Mungu akubariki na Akutunze.na mtumishi wa Mungu jactani Mungu akubariki sana bila wewe shuhuda hizi tusinge sikia.Bwana Yesu akulinde na akupe haja ya moyo wako.Amen
Mussa umepitia mambo mengi ,duh jamani kweli Yesu ni mwokozi zidi ya wachawi,Mungu tutetee sana,kwani wachawi wanatutesa sana kwa kweli.huu ushuhuda wa mussa,utatusaidia sana.
Mussa or Jacktan me niko Rocky city nawezaje kupata cd please maana nataka nisikilize kwa kutulia haswaaa...ili niweze kujiami kwa Damu na Nguvu za Roho Mtakatifu..pleaseeee
Alafu wakati mtu anatoa Ushuhuda mwandishi inabidi ujaribu kumcontrol ili asiwe anatoka sana nje ya mada moja na kukimbilia mada nyingine ili tupate mtililiko mzuri ulionyioka na pia itasaidia kuokoa muda, maana kuna wakati anaongea mambo mengi ambayo hayako kwenye mtiririko nankufanya clip ijae mapema uku jambo kuu kinakuwa limezungumziwa kidogo sana
Nash T umeuliza swali nimekujibu..Malumbano hapa si Mahala pake.Majini ni viumbe visivyoonekana ambavyo vimeumbwa na Mwenyezi Mungu na wenyewe wanamsujudia Mungu kama tufanyavyo binadamu wa kawaida,hakuna alokulazimisha uamini ila ukweli mchungu ni huo.
Ulikwisha samehewa. Amini tu Mussa. Nakushauri tafuta mfadhili uweke ushuhuda wako ktk maandishi kitabuni. Itafaa sana. Ubarikiwe Mussa.
Ushuhuda mkubwa sana mtumishi wa Mungu.ninakuombea Mungu akupe ujasiri katika safari yako ya wokovu Bwana Yesu akuvike ujasiri wa mtume Paul.ututajie na hao watumishi wanaokwenda kuzimu ili watu wajue kusimama wao kama wao.Mungu akubariki na Akutunze.na mtumishi wa Mungu jactani Mungu akubariki sana bila wewe shuhuda hizi tusinge sikia.Bwana Yesu akulinde na akupe haja ya moyo wako.Amen
Imani yangu imeongezeka sana kusikia kwamba umemwona Lusifa, sasa nina uwezo wa kufyeka maovu yote kwa jina kuu la Yesu
Bwana na akutende mema ndugu Musa na azidi kukutia nguvu ya kueza kuumaliza USHUHUDA huu 😭😭Bwana akufunike kwa Damu ya Yesu 🙏🙏🙏
Jaman Mungu akutie nguvu, kijana wa Yesu
Mungu wa Mbinguni utulinde na utuepeshe na haya
Tumpe Yesu Kristu maisha yetu maana yeye ni muweza wa yote.
Merci beaucoup !.. Aksanti sana kwa kazi yenu!.. Que le TOUT PUISSANT vous protège... YESU ni BWANA 💃..
waoh ushuhuda mzur sana nakufunika kwa damu ya yesu christ kaka
Yesu anatupenda sana,shetani alijua ametufaidi nass tukajiona wakufia motoni, tulikua tunamuogop shetan kuliko kumuogopa Mungu,ndugu yangu uliekwsha kupokea neema ya wokovu usije ukarud nyuma,maan km mataifa wanahubiriw hawaokoki mm nawew je tuliopat neema hii tukirud nyuma tutakuaje?plz plz,tuumalize mwendo,, yakobo 4:7,
Musa Mungu Ameshakusamehe. Umefanya Jambo Njema 🙏🙏🙏
Tunaomba part 7, hii ni moja ya shuhuda kali sana kuwa kuzisikiliza tokea clouds fm njia panda 2014 mpaka leo
Huyu jamaa atengeneze movie zitamlipa sana na watu wengi itawafikia
Mussa umepitia mambo mengi ,duh jamani kweli Yesu ni mwokozi zidi ya wachawi,Mungu tutetee sana,kwani wachawi wanatutesa sana kwa kweli.huu ushuhuda wa mussa,utatusaidia sana.
Mussa chessa Mshike Yesu Kaka !!!!
Mungu ni mwema
We hadithia tu achana na watazamaji, unapoteza flow mpaka unaboa
Mpaka namuogopa Sasa,,🙆🙆🙆
Kwl ujue hata mm nimechukua namb yake lkn nmeanza kumwogopa
😁😁😁😁hapn jmn me mbon nmemtext
Mona unaliaibisha Jina la yes ashakuambia lima mamlaka unaogopa nini sasa
@@josephatjoseph1755 Mambo aliyo yafanya mazito mno ,
MUNGU akulinde wasikuuee wachungaji feki
Bwana Yesu asifiwe sana, muchungaji nitapata vipi DVD hiyo? Nipo Kenya
Eeh Yesu kristu wwe ni Mwema siku zote uyu ushuhuda unanigusa kbs
Please Jacktan weka huo ushuhunda wote tusikize,musa ako na maneno yenye yatatusaidia
Weka part 7
YESU nimuweza
Mbona umeirudia hii!! Weka mwendelezo
Ila ungeendelea tutuletea ushuhuda hasa wa misukule ni jinsi gani,wanavyochukuluwa,katika mazingira yapi?na wanaishi vipi baada ya kuchukuliwa?
Hivi ndugu wa hao watu waliokufa kwenye huyo ajali wanakuonaje saiv unavyoongea
Unasemaje kuhusu skofu ngwajima mzee wa kurudisha misukule? mwambie mfanye naye kazi ya kurudisha.
Mussa or Jacktan me niko Rocky city nawezaje kupata cd please maana nataka nisikilize kwa kutulia haswaaa...ili niweze kujiami kwa Damu na Nguvu za Roho Mtakatifu..pleaseeee
Ushuhuda mkubwa sana
Asante Yesu
Nawezaje kupata cd?
🤔
God is good all the time
Part 7
Tuweke part 7
Alafu wakati mtu anatoa Ushuhuda mwandishi inabidi ujaribu kumcontrol ili asiwe anatoka sana nje ya mada moja na kukimbilia mada nyingine ili tupate mtililiko mzuri ulionyioka na pia itasaidia kuokoa muda, maana kuna wakati anaongea mambo mengi ambayo hayako kwenye mtiririko nankufanya clip ijae mapema uku jambo kuu kinakuwa limezungumziwa kidogo sana
Tunaomba sehemu inayofuata
Nina swali kuna wenye wansema kuna majini mazuri ma baya je!? Kuna ukweli kwa hilo!!?
Nash T ni kweli,kuna majini wema na wabaya.
@@hora8707 uhhhhh but with my religion hainiambii kitu kama hicho
Nash T umeuliza swali nimekujibu..Malumbano hapa si Mahala pake.Majini ni viumbe visivyoonekana ambavyo vimeumbwa na Mwenyezi Mungu na wenyewe wanamsujudia Mungu kama tufanyavyo binadamu wa kawaida,hakuna alokulazimisha uamini ila ukweli mchungu ni huo.
@@hora8707 uhhhhh sio malumbano dadangu kuelimishan sio mbaya BT anyway its ok
Nash T Karibu mpendwa..Mwenyezi Mungu atunusuru kwa hili na lingine.🤲🏾