Zari The Bosslady: Nimetafuta wanaume waliopevuka, wasomi na wasiofanya usaliti lakini nimekosa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 19 ก.ย. 2024
  • Zari The Bosslady anadai kuwa amesaka wanaume waliopevuka, wasomi na wasioweza kusaliti katika mapenzi lakini hajapata ndio maana bado yupo na Diamond Platnumz

ความคิดเห็น • 100

  • @kokujuli4816
    @kokujuli4816 6 ปีที่แล้ว +1

    Asante Kwa ushauri mzuri Kwa Mama Tee ,jitahidi kuwa na mahamuzi sahihi utapata amani

  • @justinerevocatus2955
    @justinerevocatus2955 6 ปีที่แล้ว +11

    Kishampenda chibu awezi kung'oka wcb 4rever

  • @annemmbone8326
    @annemmbone8326 6 ปีที่แล้ว +2

    wanaume ni sawa tu zari utawacha mond ukutane na the worst one mmh just pray for him na kuvumilia tu

  • @venushabuya7135
    @venushabuya7135 6 ปีที่แล้ว +1

    Good advise. Personally I cant stay with a man who comes out in open to say he loves the X or any other. Hata hana heshima ya kunificha.

  • @shaabanmusa5127
    @shaabanmusa5127 6 ปีที่แล้ว +13

    Mapenzi hayana Elimu Wala umri, Mapenzi hayashauriki n hamna mkamilifu ktk chini ya jua, Mapenzi sawa n upepo tu, ukweli wanao wenyewe Al mhm waache n maisha yao ukiwa hauna Subra daily utabadili waume Kama nguo laaaaacvyo hatutoishi Mithili ya wazee wetu mpaka kuzikana au uzeeeni pa1 ikizidi sn utaingia ubayani tu

    • @evaraphael2516
      @evaraphael2516 6 ปีที่แล้ว

      Shaaban Musa . Huyu anampenda mond tu .mwongo kisebusebu na kiroho papo. Waache wapendane. Kusaliti kupo tu. Si kwa wanaume pia wanawake.mond na zari forever.

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 6 ปีที่แล้ว +11

    Hakuna ushauri hapo bali huo ni ujinga wanaume wote sisi ni wale wale sasa ataachana na wangapi!?? Kwani huyo alie mshauri yeye hana mwanaume na kama anae nauwakika gani kua kama huyo mwanaume hana mwanamke zaidi yake!???

    • @hildamatinga4446
      @hildamatinga4446 6 ปีที่แล้ว

      Maingo Maulidi "umenena" wote ni vinyonga wasiochoka kubadilika badilika na kutulia na rangi moja

  • @sarahgerald7825
    @sarahgerald7825 6 ปีที่แล้ว +3

    all man there are the same so play your game wll zari hukiruka mukojo unakanyanga mavi be with d if he wll love you

  • @millyakiruti5628
    @millyakiruti5628 6 ปีที่แล้ว +3

    wanafiki utawajua tuuu wao kazi kuharibu mapenzi ya watu

  • @graceochieng2090
    @graceochieng2090 6 ปีที่แล้ว

    Wise advice

  • @ummal-shuwehdy2217
    @ummal-shuwehdy2217 6 ปีที่แล้ว

    Good advice, hope she will take it

  • @yusuphjaphari154
    @yusuphjaphari154 6 ปีที่แล้ว +3

    the chibs wanapendana Jmn. wanafki bado roho zina wauma2

  • @chozidamama5442
    @chozidamama5442 6 ปีที่แล้ว

    Yes💕💕💕💕💕💕💕💕

  • @RemmyWilliams
    @RemmyWilliams 6 ปีที่แล้ว

    Then l think is not our bussnes. No One is perfect.no family is perfect . Remember ( you only know what they wants you ti know) usiko lala ujui litendako. Africaaaa ,amkeni. Jaribuni kuwa busy kwa maisha yenu, Sio kujaji ya wengine. Nyie Sio Mungu.

  • @zennakailo8106
    @zennakailo8106 6 ปีที่แล้ว +14

    Kweli kabisa kampaa ushauri mzur (akiwa na akili ataufanyia Kaz🏃🏃🏃🏃

    • @teddyjaneth9078
      @teddyjaneth9078 6 ปีที่แล้ว

      Zenna Kailo mhmmm Zena Zari hajakataa ushauri...!! Na Ww unafikili Zari hana akili??? Wewe ni mwanamke na kama umepata mwanamme hakuchiti say thanks God Mara elfu kumi. Cus Mapenzi hayana kupefuka wala kukurumbaa. Yaan hayana utoto wala utu uzima. Wote masikio kama antenna. Macho kama kivyonga. Kila kipitacho na king'aacho wao ni thahabu. Tena wanaume mwenye pesa ndio usiseme. Ukitaka ku enjoy Mapenzi kidogo sio sana!! Mwanamme ambae hana pesa. Nyie temeeni mate chini. Muacheni Zari wa watu wivu tu ndio umewajaa

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 6 ปีที่แล้ว

    yan kamwambia vzr sana coz uyo.dai amezidi jmn

  • @lilianngare4747
    @lilianngare4747 6 ปีที่แล้ว

    Zari live ua life achana na ushauri wa kukupotosha mmeridhiana wenyewe na mapenzi hayachagui uwezo rangi kabila wala dini

  • @tatusalim3189
    @tatusalim3189 6 ปีที่แล้ว

    True moja kwa elfu ndio mzr

  • @hopechidera
    @hopechidera 6 ปีที่แล้ว +1

    Kupata mwanaume wa hizo qualities tatu ni bahati,siyo pesa au urembo ndo inampaga mwanamke bahati ya mume!wamwache Zari sababu pia naye anajuwa kuwa pesa zake au urembo wake haumaanishe bahati kwake kupata mume mtulivu wakumpa heshima kwa watu na kumuheshimu mwenyewe

  • @kakamau0384
    @kakamau0384 6 ปีที่แล้ว +5

    Hakuna Mwanaume anae weza kumfuata anacho taka mwanamke ata siku moja ukiona hivyo hilo Sio mwanaume bali ni Bwabwa!!!

  • @PidfourYoungTz
    @PidfourYoungTz 6 ปีที่แล้ว

    Duh huyo mgombanixhi nahata wanao mxaport wagombanixh....ila akiona xahih naende tu kwan alixha kili anatafuta....

  • @nancynsekela3770
    @nancynsekela3770 6 ปีที่แล้ว

    Uyo mdada aliemshauri zari ana mapenzi ya kweli kabisa

  • @ismailabdalah8779
    @ismailabdalah8779 6 ปีที่แล้ว +5

    Huyu ni mwehu hapa duniani hakuna mwanaume mwenye mwanamke mmoja sasa kama wewe una Mme mpeleleze Leo utaona.

    • @christinabiyengo2955
      @christinabiyengo2955 6 ปีที่แล้ว

      Tabia yako usifananishe na wanaume wengine, wacha Mungu wapo na wazinzi wapo!

  • @vashtyjeriy338
    @vashtyjeriy338 6 ปีที่แล้ว

    aaa mimi ukucheat nami nacheat twende sambamba na vile wanaume wapenda matako ya kichina😂😂😂

  • @johnnydepp3218
    @johnnydepp3218 6 ปีที่แล้ว +3

    Nonsense, mapenzi na elimu nivitu 2 tofauti ma proffesor wangapi wako na michepuko nje? mpaka wanafikiya kuza nje!

  • @bidiiyako6803
    @bidiiyako6803 6 ปีที่แล้ว

    Dah, Maumivu ya kwa Roho, Maskini......

  • @shunaside8956
    @shunaside8956 6 ปีที่แล้ว

    Huwez kupata mwanaum msomi zari bcs ww mwwnyw ni mjinga ingekua unajielewa zar usingeshindana na watu......

  • @zamzamhamisi7332
    @zamzamhamisi7332 6 ปีที่แล้ว

    Hana akili uyo

  • @allykassim1455
    @allykassim1455 6 ปีที่แล้ว

    watu wanashindwa kuelewa kabsaaa.mapenzi mnayajuaaa au mnatoa tu ushauriii? waacheni wenyewe wafanye maamuzi.wao ndo wahusika wakuu..plz hebu waacheni wafanye yao.nasi tunayetu jamani.pengine cc tunamatatizo kuliko wao.kweli kabisa.thx.SnS

  • @magialbert9436
    @magialbert9436 6 ปีที่แล้ว

    kwl kabsa

  • @greatthinker370
    @greatthinker370 6 ปีที่แล้ว

    Siyo kila jambo lazima ku comment vingine ni vya kipumbavu..

  • @Doro2022
    @Doro2022 6 ปีที่แล้ว

    Yuko sawa kwasababu diamond bado ujana unamsumbua kwaiyo angetafuta mwanaume ambaye ameshafanya yadunia yote kama yeye

  • @Leo9Elite
    @Leo9Elite 6 ปีที่แล้ว

    Nooooooo

  • @alidyaya4512
    @alidyaya4512 6 ปีที่แล้ว +2

    Lesson is all men cheat...uwez kimbia maji usipo yaoga utakunywa..

  • @neiestrueben7002
    @neiestrueben7002 6 ปีที่แล้ว

    Baby one thing is fo sure LOVE takes two whatever chemistry they have Zari n Diamond it's between them Diamond might cheat n do all the bad boys stuff n similarly Zari may do the same buh it will always be about them

  • @castochionda2574
    @castochionda2574 6 ปีที่แล้ว

    mtoa ushauli hajakunwa Barabaraaa

  • @aminamserwenda6612
    @aminamserwenda6612 6 ปีที่แล้ว +1

    Huyo anaye mshauri yeye mwanaume aliye naye ni mtakatifu? watu bwana wanapenda kushauri wenzao yakwao yamewashinda wanajifanya wako vizuri. hakuna mwanaume aliye mkamilifu akiwa hana hili ana lile

  • @josephochieng2522
    @josephochieng2522 6 ปีที่แล้ว +3

    I think this was a mature convo between two ladies,I have always said I'm out here zari, not perfect, but with the above qualities!

    • @SimuliziNaSauti
      @SimuliziNaSauti  6 ปีที่แล้ว

      +Joseph Ochieng ha ha ha

    • @josephochieng2522
      @josephochieng2522 6 ปีที่แล้ว +1

      SimuliziNaSauti Hey guys, thx for nod, congratulations, you're my favorite.

  • @hawaamohamed1665
    @hawaamohamed1665 6 ปีที่แล้ว

    Tulia zari na diamond wewe ndo wakumrekebisha wanaume wote ni hao hao tena naona bora ya huyo baba tifa kwanza kiumri bado Mdogo ukiangalia wewe ni mtu mzima fikiria baba watoto wako wa kwanza mliachana sababu ya nini na Leo tena uachane na diamond Mimi kiukweli sikushauri kabsaa utazaa na wanaume wangapi na nini watoto unawafundisha baki na mond bwana wanaume wote Malaya hao wanawake wanakunvunja moyo lakini wewe komaaa sawa mamy

  • @RemmyWilliams
    @RemmyWilliams 6 ปีที่แล้ว

    Tatizo ni kuwa Zari anapenda ustar , bila Diamond anaogopa kupotea. Mtafute star mwingine....

  • @yusuphjaphari154
    @yusuphjaphari154 6 ปีที่แล้ว

    Mmmh.!!!

  • @marymtui9806
    @marymtui9806 6 ปีที่แล้ว +4

    Ushauri WA kipumbavu mapenzi toka lini yaka pevuka au siku hizi mwanaume msomi asimamishi kwa wanawake wengine mpaka kwa mpenzi wake???? Embu muacheni zar na maisha yake amechepuka bushi ni diamond??? Labda uumbe wako

  • @jasminsamirsamir9238
    @jasminsamirsamir9238 6 ปีที่แล้ว

    Ndio maana ukweli zari anatudhalilisha sawa au hajiamini nn

  • @asilaalhabsi6481
    @asilaalhabsi6481 6 ปีที่แล้ว +1

    Maneno ya Malika safi sana lkn hawezi kuwapa atabaki kuwadanganya mtt vinuka mkojo wasio saizi yake

  • @ummimohammed1856
    @ummimohammed1856 6 ปีที่แล้ว

    Mapenzi hayana chaguo mgande uyo uyo mpk ujue moja kufa yy au ww lkn fungeni ndoa tu msizini km wanyama.

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 2 ปีที่แล้ว

    Want ume tuko wengi ila kila mtu nawake haijalishi mnapitia mangapi!.Akiwa wako ataenda atarudi mtakomaa

  • @neemaayams3922
    @neemaayams3922 6 ปีที่แล้ว

    Mapenz hayana ushauri ht cku moja wataelewana tu

  • @ndindamunyao364
    @ndindamunyao364 6 ปีที่แล้ว +5

    Ni kweli but yeye kapenda mti wa Diamond kijana mdogo 28yrs

    • @bidiiyako6803
      @bidiiyako6803 6 ปีที่แล้ว

      Hahahaha, Ndinda munyao, sisi wote twashangaa lakini mambo yako hapo!!! Tajiri mzima mzee na mtoto wa 28yrs??

    • @ndindamunyao364
      @ndindamunyao364 6 ปีที่แล้ว

      Zari now she's 37yrs after 10yrs hatakua 47yrs,,,,, Diamond hatakaa na nyanya kweli???,,,pesa ndio zinamsumbua,,,Kaka Kula bataa

    • @ndindamunyao364
      @ndindamunyao364 6 ปีที่แล้ว

      Kimenuka ,,,, Diamond na Hamisa wanakutaka bata Dubai

    • @didahahmed8672
      @didahahmed8672 6 ปีที่แล้ว

      hahaha

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 ปีที่แล้ว

    😂😂😂😂zari majibu yako me hoi

  • @abdallahbakari4409
    @abdallahbakari4409 6 ปีที่แล้ว

    Mnafiki tu uyo hapendi kumuona mondi akiwa na zari.tumuulize yy msafi,?

  • @maulidsalim6505
    @maulidsalim6505 6 ปีที่แล้ว

    Aondoke tu watu wanasubir nafas asijekujutia tu na huyo mshauri anakitu anata akione na sio mwema kwanin asimpatie njia ya kumdhibit anampa ushaur wa kuachana

  • @canonlinetv8669
    @canonlinetv8669 6 ปีที่แล้ว +1

    yeye Mme wake anazo hizo sifa!!!, na kama anazo yeye hasijisifu kwa ujinga mbele ya jamii maana mwanamke kumkontrol mwanaume sio sahihi ni ujinga mtupu

  • @amyvan3392
    @amyvan3392 6 ปีที่แล้ว +1

    ushaur mzur kbs ila tatzo nikwamba zari akimtaka uyo mwanaum mwenye hato msaliti bas asubir jesus akirudi awe nae

  • @nairahtamara3694
    @nairahtamara3694 6 ปีที่แล้ว

    Mmmh le mi read comments

  • @iddimsoshi2982
    @iddimsoshi2982 6 ปีที่แล้ว +2

    Wanapenda nasana

  • @khalidoonmzakiru2042
    @khalidoonmzakiru2042 6 ปีที่แล้ว

    Au unamtaka Simba???? akitoka mama Tifa

  • @christinakilanga8731
    @christinakilanga8731 6 ปีที่แล้ว

    Sasa atabadili wanaume wangapi

  • @sharifa2274
    @sharifa2274 6 ปีที่แล้ว

    Hakuna mkamilifu kila mwanaume ana matatizo yake huyo anayempa ushauri yeye mwanaume wake anauhakika kama hatongozi mjinga

  • @mwaijaramadhani6662
    @mwaijaramadhani6662 6 ปีที่แล้ว

    Huyu zari embu tulia saizi tuna sikilizia ya lulu mtz mwenzetu subiri la lulu lipite basi na huyo alopevuka kote

  • @maymunamunamaymunamunaa6039
    @maymunamunamaymunamunaa6039 6 ปีที่แล้ว +2

    Mh

  • @henriettenkuba9793
    @henriettenkuba9793 6 ปีที่แล้ว

    Zari yuko kwenye usingizi

  • @siwatuabduli3258
    @siwatuabduli3258 6 ปีที่แล้ว +1

    Uyu malika ayupo sawa uyo mpevu anayosema atakua na mpevu mwenzake walionza uko nyuma umri co neno ira eshima ndio chamsingi

  • @khadijambuta4360
    @khadijambuta4360 6 ปีที่แล้ว

    mapnz ayana umri dda

  • @salimhadija2369
    @salimhadija2369 6 ปีที่แล้ว

    Yes she should think twice cox it'd true zari is bleeding inside BT outside pretend s to be okey swallow yr pride then face the facts yu come out lean

  • @fatwimamakungu5456
    @fatwimamakungu5456 6 ปีที่แล้ว

    Mwanaume atafutwi ila akikuona akakupenda atakuja mwenyewe sio utafute ukitafuta mume wamtu

  • @tatunaally1510
    @tatunaally1510 6 ปีที่แล้ว +1

    dunia ya sasa hakuna

  • @juliakamarey7488
    @juliakamarey7488 6 ปีที่แล้ว

    zari y aani ataoleka na wanaume wangapi?heri avumilie na diamond

  • @princeuzieri4548
    @princeuzieri4548 6 ปีที่แล้ว

    Mapenzi ayana elimu bhana

  • @rayrayroblox5663
    @rayrayroblox5663 6 ปีที่แล้ว

    Hakuna mwana umme asio chiti .hasa hasa hawo wanayo tumika mma ofici ndo zawo ku chiti .hakumushahuli vibaya ila wana umme wote ni ayina moja kuhonja honja inje ndo zawo

  • @doricemachumu6433
    @doricemachumu6433 6 ปีที่แล้ว

    nikweli kabisa huyu mtoto atsumbua sana miaka28 atakupa ngonjwa LA moyo

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 6 ปีที่แล้ว

    Mapenzi hayanaga ushaur.

  • @jA-ox7vz
    @jA-ox7vz 6 ปีที่แล้ว

    👀🙊🙉🙈

  • @christinabiyengo2955
    @christinabiyengo2955 6 ปีที่แล้ว

    Ikiwa wewe mwenyewe haumchi Mungu utatakaje mcha Mungu! Biblia inasema chuma hunoa chuma, yaani jinsi ulivyo unapata anaekufanana hivyo hivyo. Ushindi wa dhambi upo ktk kumcha Mungu pekee.

    • @salimmagembe40
      @salimmagembe40 6 ปีที่แล้ว

      Huyo anaye mpa huo ushauli siyo sahihi kwanza hajielewi yeye mwenyewe na vile vile anamwambia hivyo ili yeye achukue hiyo nafas ????

  • @charleswambura4761
    @charleswambura4761 6 ปีที่แล้ว +1

    Uyu anae mshauri kaolewa

    • @jumaissa2509
      @jumaissa2509 6 ปีที่แล้ว

      Hugo mdada ni mwehu sana sio mzima hata kidogo

  • @shufaamohameed2603
    @shufaamohameed2603 6 ปีที่แล้ว

    Japo mapenzi hayaitaji hivo vitu ila ni ushauri mzuri kwa zari

  • @michaelmchodo4887
    @michaelmchodo4887 6 ปีที่แล้ว

    wanaume waafrika

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 6 ปีที่แล้ว

    huyo kwa diamond beki hazikabi kabisaaa kama mtu anambaye amepoteza kizibo😝😝😝

  • @agnesmoriss7463
    @agnesmoriss7463 6 ปีที่แล้ว

    amefanya poa aache kupost ujinga hana heshma karibu akua na wajukuu ushamba tu

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 2 ปีที่แล้ว

    Before you eat fish you have to take out born! Zari kagundua ni wivu tuu.Mafarakano yako na yataendelea kuwepo hakuna malaika.Yeye nae ananani mbona hajasema?!

  • @nzomukundafatuma5364
    @nzomukundafatuma5364 6 ปีที่แล้ว

    Kweli ila zari anapenda imaharufu sasa mwana mume atakaye mukubalia kuika uchi mutupu na zile Videos za xxx pole sana.
    Ninani zaidi wa mutukama mond tu.
    Ndie mana ata Ivan Basso alimukimbia

  • @emjay1016
    @emjay1016 6 ปีที่แล้ว

    hilo linamtaka mond tu halina lolot

  • @maryammeme2615
    @maryammeme2615 6 ปีที่แล้ว

    Ywajua anachokipata kwa mondi chezea msuguo ww

  • @angelcaserecky44
    @angelcaserecky44 6 ปีที่แล้ว +2

    mchochezi mkubwa wew ujui kupenda wewe

  • @aishaelias986
    @aishaelias986 6 ปีที่แล้ว +1

    desperation ya fame will kill you

  • @ismayilhaawailikeit6072
    @ismayilhaawailikeit6072 6 ปีที่แล้ว

    HOHOHO MIDOMO MIDOMO MUMEPATA FASI YA KUCHOCHOKO HI HITTERS HOW'S PERFECT IN YOUR LIFE?? EVERY BODY TALK TO KIDS YOU THINK SHE DON'T KNOW THAT SHE HAVE KIDS SO LIVE ZALI ALONE BASI GOD KNOWS HER LIFE THE BLOOD OF ZALI ITS MIX