SABABU NNE ZA KUTOA ELIMU KWA WATEJA WAKO KUHUSU BIASHARA YAKO KUPITIA MITANDAO YA KIJAMII
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 12 ธ.ค. 2024
- Unawezaje kuwafahamisha wareja wako mambo mbalimbali kuhusu biashara Yako kupitia mitandao ya kijamii.
Mtangazaji: @mcswash
Muelimishaji: Elia Sereka
#entertainment #business #socialmedia #media #biashara #mitandao #masoko
Nakubali apo, red ocean to blue ocean strategies
Nondo kuntu hizi!! Fundisha ili ueleweke… Ukieleweka unapendwa… Ukipendwa, huduma yako itakuwa ya kwanza kichwani mwao pindi watakapoihitaji au kuipendekeza kwa ndugu, rafiki, na jamaa.