Tambua madhara ya tumbaku katika mwili wa binaadamu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ก.ย. 2024
  • Utumiaji wa tumbaku kwa binaadamu umesababisha matatizo ya afya kwa kiasi kikubwa na kuwaua zaidi ya watu milioni 8 kwa Mwaka kote duniani. Aina zote za bidhaa za tumbaku zina madhara na hakuna kiwango salama cha matumizi au kuwa karibu na zao hilo. Magonjwa ya moyo na kifua pamoja na saratani ni miongoni mwa madhara yake utumiaji wa Tumbaku.

ความคิดเห็น •