Dual carriage way and wider road expansion is the solution to all of those nonsense accidents in Tanzania! Vibarabara vyembamba kama “MTAA WA KONGO” ni hovyo sana, haswa kwa nchi kubwa yenye ardhi kubwa Kama Tanzania, kuwa na vibarabara vyembamba kama penseli ni aibu na fedheha mbovu sana 🤓! Ajali mbaya karibia kila siku bwana 😡!
Innalillah wainaillah rajuun yaarab tupe mwisho mwema
Allah type mwisho mwema mungu awapumzishe Salama ndugu zetu dah ila inauma mno
Duuuh poleni sana ,Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu.
😢😢😢😢😢 jamani jamani poleni sanaa
..RIP ndugu zetu
Inalilah wainalilah rajuuni
Poleni sana ndugu zetu wa mailikumi
😢😢😢😢😢😢 mungu wangu jaman jaman umeenda kuokoa wenzako kumbe unaenda kufa inauma sana
Poleni ndg zetu
Sisi wote niwa allah na kwake tutarejea
😢😢😢😢
Loly limekosa bleki baada ya kugonga watu au lilipotoka lilikuwa halina bleki
Dual carriage way and wider road expansion is the solution to all of those nonsense accidents in Tanzania!
Vibarabara vyembamba kama “MTAA WA KONGO” ni hovyo sana, haswa kwa nchi kubwa yenye ardhi kubwa Kama Tanzania, kuwa na vibarabara vyembamba kama penseli ni aibu na fedheha mbovu sana 🤓!
Ajali mbaya karibia kila siku bwana 😡!