Mm nahamini hawa hawakutaka Uislamu sahihi hata kama kipindi iko salafia aikufika ila hauna nafasi kubwa ya upotevu kiasi hiki pia kitendo cha wao kuwapanga watoto wadogo hii inamaanisha walipenda upotevu kuliko njia sahihi pia kuipinga dahaawa salafia adi leo maanaye hawakutaka uislamu wa kwer
Itakua ulikua hujazaliwa, hata huku kwetu Zanzibar alifika, watu wakachanga pesa weee. Sasa wakati akiulizwa suala, akijibu kimakosa mzee wake hapo hapo humng'ongoneza majibu. Aliulizwa suala la mwezi, aliganda kwanza, akawahi kuambiwa mwezi mtu afunge anapouona ndani ya mji wake.
Alhamdulillah shekh Allah akuhifadhi
Tulikua kizan sana alhamdulilah sasa elimu ipo waz
Matapeli hao😂,Sema mtoto mmoja wa mwisho sio sharifu,anamuiga muqaddima anaopenda nurdin kishk kuutumia
Mtihani . Mtoto wamemkalilisha alafu wanamuita shariff
Alhamdulillah neematu islam wa sunna wa ikili salama
Kweli matapeli hao,akinamazinge sule,walisahau kumfundisha salaam ya jeneza ,siku Moja handeni Tanga walimtanguliza mbele aswalishe swala ya maiti lkn akarukuu.
😅😅
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂nimevunjika mbavu hapa huyu mtoto mnae picha zake Hadi Leo.wahadhiri wa tz walitumia kutapelia hela za watu
Mwaka 1996 kama sijakosea alifika Mombasa mtoto sharifu kutoka Tz. Alitusilimisha mtaa wa Likoni Bomani 😅😅😅
Alhamdulillah
Hizo zama mama zetu walitapeliwa sana😅
Mm nahamini hawa hawakutaka Uislamu sahihi hata kama kipindi iko salafia aikufika ila hauna nafasi kubwa ya upotevu kiasi hiki pia kitendo cha wao kuwapanga watoto wadogo hii inamaanisha walipenda upotevu kuliko njia sahihi pia kuipinga dahaawa salafia adi leo maanaye hawakutaka uislamu wa kwer
TULIPIGWA SANA
Wapii mbona sikumbukii
Duhhh ata zangu alizipata
Jamaa hatari hao
Wali6okea wapi hawa sikumbuki
Itakua ulikua hujazaliwa, hata huku kwetu Zanzibar alifika, watu wakachanga pesa weee. Sasa wakati akiulizwa suala, akijibu kimakosa mzee wake hapo hapo humng'ongoneza majibu. Aliulizwa suala la mwezi, aliganda kwanza, akawahi kuambiwa mwezi mtu afunge anapouona ndani ya mji wake.
We shekh ni kafiri uwezi kutokana watu ivyo
We wajua hukumu na hatua za kufikia kumuita muislam "kafiri"
Hivi wewe umepiga mswaki?
Wakianza kuchangisha😂 utatoa tu, nakumbuka alikula zangu sh 30😂 nilikuwa na 50 nikabaki na 20
😂😂😂😂😂
@mobilespecialschool4216 yes Mr