"Tundu la Saba" | MAHABA (Season one) Episode 7

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 219

  • @ndally7864
    @ndally7864 5 ปีที่แล้ว +25

    kigoma hatoki boya mrithi wa kanumba kigoma ♥♥♥🔥🔥

  • @shabanimustafa7993
    @shabanimustafa7993 5 ปีที่แล้ว +41

    alie gundua kuwa jamaa mwingine kila episode ana dem mpya,, anyooshe kidoole..

  • @g.gwemela5159
    @g.gwemela5159 5 ปีที่แล้ว +14

    Menina menina. Doooooo, hatari sana mama. Umependeza. Jamani mnajua sana sana sana.

  • @travodavie9518
    @travodavie9518 5 ปีที่แล้ว +11

    Dah! sema menina ni dada mzuri mpaka tena

  • @hajimnubi4581
    @hajimnubi4581 5 ปีที่แล้ว +12

    Mimi kama mtu wa kwanza kukuendorse kama mrithi halali wa kanumba huniangushi...mwijaku, kule wasafi wana msemo wao..ungekua wa kule wangesema huna kazi mbovu,kaza buti kaka,thanks for the new series on clouds fm,ushauri mtafute mzee jenerali ulimwengu,he is a gud actor..hajatumika sawasawa,nilimshauri same marehemu kanumba akasema Sawa, lkn bahati mbaya yakatokea yaliyotokea,apumzike kwa Amani

  • @abdulmalisha3881
    @abdulmalisha3881 5 ปีที่แล้ว +32

    Hamna urafiki mbaya kama kuwa na rafiki ambaye hamna level moja ya maisha......unaimba raggae mwenzio anaitikia charanga

  • @dianaluigi4620
    @dianaluigi4620 5 ปีที่แล้ว +6

    Mwijaku najuta kuchelewa kufahamu kazi zako

  • @chakaboy1113
    @chakaboy1113 5 ปีที่แล้ว +1

    Aisee mwijaku meninaa
    Ebu tufanye tuondoke tunapoteza elaaaa 😀😀😀😍😍

  • @pwalter335tv5
    @pwalter335tv5 5 ปีที่แล้ว +20

    Wazee wa tundu la saba gonga like twendesawa.....😂😂😂😂🔞🔞

  • @joycemusa8809
    @joycemusa8809 5 ปีที่แล้ว +5

    Wawoo nakupenda Burr mwijaku uwii

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 5 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂tundu la saba weye kula Mwijaku unajuw

  • @openmindtz
    @openmindtz 5 ปีที่แล้ว +7

    Maneno ya mwisho ni ya hekima sanaaa....! More bless to the crew

  • @mubanassortz
    @mubanassortz 5 ปีที่แล้ว +2

    *Mwijaku Menina Munajua Sana Nyinyi Watu*

  • @kungukimani9260
    @kungukimani9260 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice mwapendeza na uingizanji wenu🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @josephngonyani164
    @josephngonyani164 5 ปีที่แล้ว +1

    mwijaku nimekukubaliii aiseee unatisha kaka

  • @bellahyuzzomylife4428
    @bellahyuzzomylife4428 5 ปีที่แล้ว +2

    hahahaa mwijaku bana unaniacha hoi ila wanaume wasio na kazi kila wanachofanywa wanakimbilia neno moja tuuuuu au kwa kuwa sina kazi😁

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 5 ปีที่แล้ว +2

    Hahaha "tundu la saba" nnlikua sijuii asee

  • @godfreymalinga1476
    @godfreymalinga1476 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku nakuelewa sana yani wewe kibongobongo ww level nyingie ongela unatisha

  • @issashomari1218
    @issashomari1218 5 ปีที่แล้ว +1

    💥💥💥💥 kaka upo vzr endelea kutupa mambo

  • @shinehussein1021
    @shinehussein1021 5 ปีที่แล้ว +15

    😂😂😂😂 ila Mambo ya Tundu la saba jamany khaa...

  • @husnamajid1491
    @husnamajid1491 5 ปีที่แล้ว +3

    Mbona siku hizi hamtuwekei jaman 😭😭😭😭😭

  • @bettybetty3518
    @bettybetty3518 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂🤣🤣eti mze wa t...la s...!!!

  • @abuaishatyonlinetv1880
    @abuaishatyonlinetv1880 5 ปีที่แล้ว +3

    NIMEPITIA KAZI HIZI KIASI FLAANI NI NZURI ,
    ILA KUVAA JAMANI KUVAA,
    KUVAA JAMANI TUNAOMBA BONGO MOVE MUNATAZAMWA NA WATOTO , MUNATAZAMWA NA WATU WENGI NAWAOMBA KWA JINA LA MUNGU MWENYEZI KUVAA JAMANI MUJISTIRI SIO USHAMBA MUNAIFUNDISHA JAMII NINI

  • @rojakijana1162
    @rojakijana1162 5 ปีที่แล้ว +1

    Kile ulicho nitunzia siku zote naomba leo unipatie hahaha bongo movie bana !

  • @davidphares5316
    @davidphares5316 5 ปีที่แล้ว +7

    😂😂😂😂😂😂😂mwijaku huend mbingun

  • @ashurasalim953
    @ashurasalim953 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂😂 tundu la Saba 😂😂😂😂😂😂😂

  • @jaffarjaffar938
    @jaffarjaffar938 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku oman tunakukubali sana sana 🤣

  • @skwamiujiza379
    @skwamiujiza379 4 ปีที่แล้ว

    mwijakuu😂😂😂 uioni mbinguu et kulaaa😂😁😁😁

  • @bishocomedian2943
    @bishocomedian2943 4 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 iyi movies na ipenda sana

  • @samirazahoour921
    @samirazahoour921 4 ปีที่แล้ว

    Meninaa katoee nyimbo una sauti nzr mashallah

  • @kbtv3621
    @kbtv3621 5 ปีที่แล้ว +11

    Mwijaku nakukubali sana ila tuna kuitaji apa Canada kaka njoo Toronto

  • @kelvinkimambo7534
    @kelvinkimambo7534 5 ปีที่แล้ว +1

    Very nice series very talented presentation ila menina umetisha sana hii series mi nafata nikuangalie wewe na mwijaku😂😂

  • @pedesheetzpedesheetz5346
    @pedesheetzpedesheetz5346 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku... Mkorofi

  • @annethulimboka8846
    @annethulimboka8846 4 ปีที่แล้ว

    Mmetisha kinomanoma mazee!!!!!.

  • @davidchiti2514
    @davidchiti2514 5 ปีที่แล้ว +1

    I reallyliketheseguys...keep it up

  • @emmanjacob9722
    @emmanjacob9722 5 ปีที่แล้ว +4

    Over time iko sawa

  • @zuhurasangu1155
    @zuhurasangu1155 3 ปีที่แล้ว

    Safi muvi

  • @selemanindege9933
    @selemanindege9933 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwijaku namkubali eti kulaaaa🤣🤣

  • @liliantemu543
    @liliantemu543 5 ปีที่แล้ว

    😀😀😀mzee Wa tundu la7...keli kuna misemo khaa

  • @mpgavi3144
    @mpgavi3144 4 ปีที่แล้ว +1

    such a nice African series need to add CC, please add CC for we the African foreign viewers ..

  • @faridaessa7844
    @faridaessa7844 4 ปีที่แล้ว

    😂😂😂tundu la saba😂😂😂hatari hiyo

  • @munnababygal8460
    @munnababygal8460 5 ปีที่แล้ว +4

    jamani mwijaku anajua kuigiza hadi raha

  • @noahchepe8036
    @noahchepe8036 5 ปีที่แล้ว +5

    hahaha et "kulaaa kula wewe Dareselama hapa"

  • @chakaboy1113
    @chakaboy1113 5 ปีที่แล้ว

    Mwijakuuuu unanivunja mbavuuuuuuuuuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃😃😃😃😃😃😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😃😃😃😃😃
    Eti kulaaaa kulaaaa mjin hapaaa😂😂😂

  • @lucasmatonya2332
    @lucasmatonya2332 5 ปีที่แล้ว

    Mwijaku Mungu anakuona haki huendi mbinguni

  • @fathima2ajm247
    @fathima2ajm247 5 ปีที่แล้ว +3

    Mpo vzr sana

  • @jafaritego9498
    @jafaritego9498 5 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂nyi wapuuzi sana

  • @tonythadei9608
    @tonythadei9608 5 ปีที่แล้ว +1

    Mwijaku waache wakuseme hao ni binadamu makuma hao mwijako unajua bro napenda kazi zako mwijaku unajua tena sana from kigoma

  • @andikimanasebadonavine9490
    @andikimanasebadonavine9490 5 ปีที่แล้ว +1

    Mapenzi ni hatali sana mazee

  • @Mali-bd6jx
    @Mali-bd6jx 5 ปีที่แล้ว +4

    Video za maana....

  • @selemanibatenga6327
    @selemanibatenga6327 5 ปีที่แล้ว +2

    "Mpaka sikuu ya harusi" nakubali

    • @ukhtysakinaa7664
      @ukhtysakinaa7664 5 ปีที่แล้ว

      kweli mpaka cku harusi lkn wafanye tundu la 7 khaa makubwa

  • @bahatienock5064
    @bahatienock5064 3 ปีที่แล้ว

    Aaaaa hatali jaman

  • @kimwanahhamza1166
    @kimwanahhamza1166 5 ปีที่แล้ว

    😀😀😀hata mie kinge waka uwiiii kusalimian gan huko na kukumbushiana utoto huko ila mwijaku kwann usitafte kazi

  • @خسنموس
    @خسنموس 5 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah mwijaku unajua sana.

  • @jenidaud6882
    @jenidaud6882 5 ปีที่แล้ว +1

    Nitawafuatilia mpaka mwisho

  • @begaca
    @begaca 4 ปีที่แล้ว

    Napenda mwijaku anavo act paka so POA

  • @rehemanassor4024
    @rehemanassor4024 5 ปีที่แล้ว

    Tundu la 7 uwiiiiiiiiiiiii ndonaskia leo munguwangu 🙆🙆🙆🙆🙆🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃🏃

  • @luqmanpato1101
    @luqmanpato1101 5 ปีที่แล้ว +6

    MIMI MTOTO UNANIDANGANYA NA KEKI😁😁😁DAH MWIJAKU HII INAFUNZA PIA NA KUBURUDISHA

  • @janethlengeju18
    @janethlengeju18 5 ปีที่แล้ว

    kumbe mwijaku yuko vizuri sana dah!

  • @aishajuma8323
    @aishajuma8323 5 ปีที่แล้ว +2

    Thank dj plz muendelezo 8 nice move

  • @YouTuuuuuuube
    @YouTuuuuuuube 5 ปีที่แล้ว +2

    huo mtundu wa saba kwenu . Uku amber ruty ana tundu la kumi . . hahaha

  • @barakamusanailon1465
    @barakamusanailon1465 4 ปีที่แล้ว

    Mukasa ni mzee wa swagg

  • @valencembaza434
    @valencembaza434 4 ปีที่แล้ว

    So nice muv

  • @thamiyuucute7098
    @thamiyuucute7098 5 ปีที่แล้ว +1

    Tundulasabaa😂😂😂😁😁😁😁😁

  • @estermgaya5641
    @estermgaya5641 5 ปีที่แล้ว +1

    mukasa kama ni Penseri kabaki na kifutio

  • @Jameskaguo
    @Jameskaguo 3 ปีที่แล้ว

    mukasa anazingusana kila siku dem mpya hahahaa

    • @rich.kizza10
      @rich.kizza10 2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂

  • @abcdefgger
    @abcdefgger 5 ปีที่แล้ว +1

    Nice 👌👍

  • @sashasaah526
    @sashasaah526 4 ปีที่แล้ว +1

    😂😂😂😂🇷🇼much love

  • @mnembachambuya4956
    @mnembachambuya4956 3 ปีที่แล้ว

    hizi tamthilia zirudisheni asee dah

  • @rashidkalabi8212
    @rashidkalabi8212 5 ปีที่แล้ว

    Kuna muda nakuonaga maneno meeeengiii kumbe unaweza kaka...na cast wako wote umewatengeneza wametengenezeka nataman njaribu na mm kila kitu kinawezekana brother big up

  • @UseniRama-f8e
    @UseniRama-f8e 6 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤

  • @sharifajanqabari4731
    @sharifajanqabari4731 5 ปีที่แล้ว +4

    😂😂😂😂mzee wa tundu la saba

  • @lucasmatonya2332
    @lucasmatonya2332 5 ปีที่แล้ว

    Tundu la Saba 😁😁😁😁😁pumbavuuuuuuuuu kabsa zambiii

  • @eliamwapule8356
    @eliamwapule8356 5 ปีที่แล้ว

    😃😃😃😃😃😃 tundu la 7

  • @jafarysharo2819
    @jafarysharo2819 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahaha kula we kula 2

  • @swaleheramadhan1654
    @swaleheramadhan1654 5 ปีที่แล้ว +7

    Nimejikuta nacheka tu watu wananishangaa kwenye Daladala,,,, Jamaa eti kulaa wee mpumbavu nini

  • @andrewstiphen4462
    @andrewstiphen4462 5 ปีที่แล้ว +1

    jamaa wako vizur sana

  • @alfredymalata269
    @alfredymalata269 5 ปีที่แล้ว +1

    Acha upumbavu huo ww kuraaaaaaaaaa 😂😂😂

  • @joycewaziri1227
    @joycewaziri1227 5 ปีที่แล้ว

    Kwel uyu kaka

  • @munadifyonza809
    @munadifyonza809 4 ปีที่แล้ว

    Huyu kupenda penda Leo tundu LA 7

  • @ndalawasimon7842
    @ndalawasimon7842 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahaaaaaa umalaya umeniponza

  • @njmanjma8626
    @njmanjma8626 5 ปีที่แล้ว

    Mkasa macho yako vpi...hiyo lensi yako smart.

  • @mr_kajombaremelo_og2134
    @mr_kajombaremelo_og2134 5 ปีที่แล้ว +2

    Mwinjaku 💪

  • @maxmaizer4631
    @maxmaizer4631 5 ปีที่แล้ว +3

    😂😂kigoma stand up

  • @maryamsaid6741
    @maryamsaid6741 5 ปีที่แล้ว +3

    Tundu la Saba kumbe kinyume na maumbile 🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @benjamininyambaso5041
    @benjamininyambaso5041 4 ปีที่แล้ว

    hahahahaahhaahha kulaa wewe tunda la sabaa😂😂😂

    • @maryamkhamis3461
      @maryamkhamis3461 3 ปีที่แล้ว

      ,,😅😅😅 love so much ❤️❤️❤️

  • @madamboss348
    @madamboss348 5 ปีที่แล้ว

    Kulaaaa kulaaaa😂😂😂😂😂😂
    Mzee wa tundu la saba😆😆😆😆😆😆

  • @aminahassan1546
    @aminahassan1546 5 ปีที่แล้ว +6

    Wew acha kuharibu jina la tanga mchezo huo uko kila kona

  • @nasrajames5746
    @nasrajames5746 4 ปีที่แล้ว

    Uyu mkasa malaya

  • @maryamsaid6741
    @maryamsaid6741 5 ปีที่แล้ว

    So sad daaaaaaaah meninaaaa😂😂😂😂😂😂😂

  • @hassanissa4792
    @hassanissa4792 5 ปีที่แล้ว +2

    menina ni mzuri kuliko mkeo mwijaku

  • @zunaylaally607
    @zunaylaally607 5 ปีที่แล้ว

    Mzee wa tundu la Saba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @jamesminja2888
      @jamesminja2888 4 ปีที่แล้ว

      Me natokea Kilimanjaro moshi kiukweli nimependa sana act zenu znamafunzo sana pia mko vizuri sana so unafiki mwijag big up bro unaweza ziba pengo LA kanumba pambana bro nmewakubali wrote kwa ujumla mko vyema sana sana

  • @nicholausjohnnigo1215
    @nicholausjohnnigo1215 5 ปีที่แล้ว +2

    ww jamaa unaweza kuigiza, unatufunza kwenye mahusiano yetu

  • @hadijahmwajombe9588
    @hadijahmwajombe9588 5 ปีที่แล้ว +1

    asanteni kwakazi nzuli

  • @siayakorimoy7770
    @siayakorimoy7770 5 ปีที่แล้ว +1

    Hahahahhahah mwijaku huwezi kuimba jamani unamalizia nakupenda tuuu 🤣🤣🤣🤣

  • @shabanmlekwa9513
    @shabanmlekwa9513 5 ปีที่แล้ว +1

    Hii episode ya leo sio kabisa. I mean mbaya. Imetumia maneno makali mno, so huwez angalia kifamilia.

    • @aishamawalla1839
      @aishamawalla1839 5 ปีที่แล้ว

      Shaban Mlekwa asa mahaba ukatizame na wanao?

    • @mkumbafidels6807
      @mkumbafidels6807 5 ปีที่แล้ว

      Mwambie huyooo

    • @shabanmlekwa9513
      @shabanmlekwa9513 5 ปีที่แล้ว

      @@aishamawalla1839 Yeah, some time, itakapoaza kurushwa kwenye TV series.

  • @pedesheetzpedesheetz5346
    @pedesheetzpedesheetz5346 5 ปีที่แล้ว +1

    Lakin move zenu siwez watch na dada mama

  • @ajheemclassicaltv7608
    @ajheemclassicaltv7608 5 ปีที่แล้ว +20

    KAMA UNA MTU HANA WIVU NA WW KWENYE MAHUSIANO YENU BASI JUAA WW MSINDIKIZAJI KWENYE JAMVI LA MAPENZI

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว +1

      Hahaha kabisaaaa wivu muhm

    • @ajheemclassicaltv7608
      @ajheemclassicaltv7608 5 ปีที่แล้ว

      @@husnauthman7609 umeona maana balaa

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว

      @@ajheemclassicaltv7608 sanaaa

    • @ajheemclassicaltv7608
      @ajheemclassicaltv7608 5 ปีที่แล้ว

      @@husnauthman7609 hahaa njoo whatsap haha uone maajab watu wanajadili mambo haha wivu sio kitu wanasema pesa haha

    • @husnauthman7609
      @husnauthman7609 5 ปีที่แล้ว +1

      @@ajheemclassicaltv7608 wasap ya nan

  • @barakayusto1904
    @barakayusto1904 5 ปีที่แล้ว +2

    Kula mtoto wakitanga broo

  • @dullykingaro9548
    @dullykingaro9548 5 ปีที่แล้ว

    Ebagamwe nihatari eti mtt kanielewa nimlenyuma mwijaku naye et kulaaaaaa ,hahahahajahaajhaahahahah nimecheka mpaka bc alivo kulupuka kujibu et kulaaaaàaaaaa.